Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

Hii Tanzania ina watu wa ajab sana, wanaotetea uraia wa nchi mbil ni wale waliojazwa upepo et ughaibuni ni land of opportunities... wakafanya walivofanya wakaukana uraia wa tznia, sasa wanalia lia kurudisha njaa tu hapa, wanawekeza nini?

Kina Mengi, Mufuruki, na wengine mbona hawana uraia wa nch mbil? et expertriates., waapii... ni ujuz gani bongo hakuna? ubinafsi tu!

Kama wanataka uraia wa nchi mbili ndo wawekeze tuungane tuseme NO..! huyu MEMBE cjui ana akil gani... uraia ni wa nch moja tu, hata tukiwa shirikisho! matamaa fisi ndo wanaotaka kutuharibia nchi yetu.. et kenya imeendelea kwa uraia wa nch mbili.. ni kufikir ujinga tu, kenya imeendelezwa na wakenya wenyewe, vivyo hivo Tanzania... maana hata kod hamlip Tz alaf ng'a ng'a!

Sisi wenyewe tutaijenga Tanzania na wala hatumsubir raia yeyote wa nch yeyote kutuendeleza..! Tanzania ina mamilionea kibao, Wataalam Weng Tu, sema CCM Haiwatambui, haiwatumii.. sembuse raia wa nch 2! plz BIG NOP.
 
Soma faida za uraia mbili ktk nchi yyt kabla ya ku comment. Hakuna usaliti wwt bali ni njia ya maendeleo. Nchi zoote za ulaya zinaruhusu uraia hata 10 kama unaweza. Ss Tz ndo wamesoma saana au wana uchungu saana na nchi yao au??

Ni kweli ni faida ya Maendeleo, Lakini Kumbuka huwezikusema unataka kuleta maendeleo wakati hata ABC au Basic maendeleo bado na kujifanya eti unataka wataalam. Ni kweli unaitajika ila sio kwa hali tuliyo nayo sasa, Kwanza tufike steji fulani ya maendeleo ndio tuseme sasa tunaitaji nguvu kutoka nje, lakini sisi hata umasikini hujatutoka tunataka kukaribisha na wengine?

Hivi China wanao?
Kama hawana ni kwanini?
 
Soma faida za uraia mbili ktk nchi yyt kabla ya ku comment. Hakuna usaliti wwt bali ni njia ya maendeleo. Nchi zoote za ulaya zinaruhusu uraia hata 10 kama unaweza. Ss Tz ndo wamesoma saana au wana uchungu saana na nchi yao au??

Hatujafikia Uchumi wa ulaya wewe Mkimbizi, Ulaya waliendelea kwanza na kujikuta kuwa wanashortage ya Watu/Labour/Exparties na ndio maana wakaanzisha hiyo kitu, sisi bado sana. Human Resource iliyopo Tanzania leo ni kubwa sana na bado serekali ya MACCM haijaweza kuiExploit hata nusu sasa mnataka mtujazie na hao KUPE waliokana Uraia wanini?
BIG NOP!
 
Kunamsemo usemao, asiyejua maana ni kam usiku wa giza, ndugu yangu huwezi kuwa huru san kwenye nchi ambayo ww c mzawa kisheria wacha kuwa ulizaliwaTZ ukakana uraia, ndugu zetu wapo nje wengi kwa kutafuta maslahi lkn wangependa wawekeze home kisheria kama wazawa na siyo expertrates kama ulivyo shauri, unasema labda Waziri anamaslahi yake juu ya watoto aliozaa nje, hayo si kweli ila Dual citizenship ni kwa faida ya Taifa lako na ww kwa ujumla, nimekutana na wengi wanaoombakurudi home kama raia ili waweze shiriki katika kujenga nch lkn bado maamuzi ya wabunge wengi wanafanana na ww kuwa hakuna haja watu hao warudi kama wa TZ, nashauri kuwa Membe afanye haraka sana mwaka huu usipite tena jambo hili liruhusiwe, na baada ya miaka 3 utajua uzuri wa jambo hili, wapo matajiri wakubwa sn nje wambao wangetaka waanzishe kampuni zao kama raia wala c wageni kwa manufaa ya vijana wa TZ,
Ukitoka nje ya nchi utajua maana ya jambo hili, lkn ukitoka nje ya mkoa hutaujua umuhimu wa jambo hili,
Nawkilisha.

Unaishi Tanzania kweli wewe? Hivi unajua Masharti ya Uwekezaji ukiwa kama Mtanzania na ukiwa kama Mgeni yapi ni Rahisi?
Labda nikupe Dodondoo
1. Ukiwa mgeni Tax holliday 5 Years unapata Kwa uwekeZaji mpya kwa mzawa hakuna.

2. Ukiwa kama Mgeni always ur first class citizen na ukiwa mwenyeji tena mswahili ur 3 class citizen.
 
Hatujafikia Uchumi wa ulaya wewe Mkimbizi, Ulaya waliendelea kwanza na kujikuta kuwa wanashortage ya Watu/Labour/Exparties na ndio maana wakaanzisha hiyo kitu, sisi bado sana. Human Resource iliyopo Tanzania leo ni kubwa sana na bado serekali ya MACCM haijaweza kuiExploit hata nusu sasa mnataka mtujazie na hao KUPE waliokana Uraia wanini?
BIG NOP!

Kibanga aliepigwa na mkoloni:
Unatakiwa uelewe hoja kabla huja andika comment zako.
Issue hapa sio walioukana uraia bali ni watanzania waishio nje ambao watoto wao ni raia wa nchi za nje.
Mtu mwenye hali kama hii japokuwa yy ni mtanzania wtt wake hawatokuwa na haki kama yake.
Na kama uwezo wa kujenga anao basi hajengi kutokana na sheria ya nchi.

Na lakuongezea kuhusu hao unao waita wakimbizi. Sijui km unafahamu maana ya ukimbizi. Lkn wtz walioko nje ya nchi yao ambao wanaishi
Wanaijenga nchi yao kwa hela ambayo hawamwibii mwananchi wa tz. Na wengi walioko nje wanachokifanya ni kuzifuata zile wakoloni walizo zichota kutoka tz. Thats all.
Tofauti na hao mafisadi wanao kuibia ww na wananchi maskini ambao ndio wanao tunga sheria km hizi.
Wacha roho korosho. Uraia ukishabaki kwako tu na wanao. Hao waliko nje watt wao wampelekee nani. Au wamwachie mkolono aliempiga kibanga!
 
Unaishi Tanzania kweli wewe? Hivi unajua Masharti ya Uwekezaji ukiwa kama Mtanzania na ukiwa kama Mgeni yapi ni Rahisi?
Labda nikupe Dodondoo
1. Ukiwa mgeni Tax holliday 5 Years unapata Kwa uwekeZaji mpya kwa mzawa hakuna.

2. Ukiwa kama Mgeni always ur first class citizen na ukiwa mwenyeji tena mswahili ur 3 class citizen.

Hii dondoo yako inakuwepo kwa ajili ya serikali yako ambayo imejaa mafisadi.
Na ww kama unajali nchi yako tax relief ya miaka 5 ya nini. Hapa tunataka mtanzania anae ishi nje awe na uwezo wa kuombea wanae na mkewe uraia bola kupoteza uraia wake wa awali. Na sio anaejiita mtz wakati yy kaisha ukana uraia wake.
Kibanga wake up before your colonial master come to weep you up again!
 
Hivi tujiulize Kijana wa Kitanzania aliyeenda kutafuta maisha nchi nyingine akajisomesha, akaanzisha familia, akapata kazi na akachukua uraia wa wa nchi anayoishi.

Huyu kijana ana NGO ambayo imeshasaidia Tanzania zaidi ya $100,000, vilevile kijana huyu kasomesha mtoto wa kaka yake, kasaidia familia yake wazazi na ndugu wengine. Kijana huyu vilevile anachangia kwenye jumuia ya watanzania anakokaa kama vile kusafirisha Watanzania wanapokufa kwenda nyumbani. Kijana huyu mwenye miaka kama 35 sasa hayawahi kupokea wala kutoa rushwa. Huyu kijana wa Kitanzania ambaye sio raia na wale Watanzania walioishi Tanzania maisha yao yote lakini wanajihusisha na rushwa, wamesomeshwa na serikali, hawasaidii nyumbani, walevi, wahuni na wanasaini mikataba mibaya ni bora nani???.

Kama unaona huyu kijana sio Investment kwa Tanzania ingawa amesihi Tanzania kwa miaka zaidi ya ishirini basi baati mbaya kwani nchi ayeishi wameona manufaa yake na ndiyo maana wana maendeleo zaidi.

Marekani mfano unaweza ukaja bila hata $100 lakini baada ya miaka kumi wanakupa uraia na unatengeneza $100,000 kwa mwaka sasa tukiambiawa umasikini wetu unaletwa na ubinafsi tunabisha lakini vitendo vinasema ukweli.
 
Hivi tujiulize Kijana wa Kitanzania aliyeenda kutafuta maisha nchi nyingine akajisomesha, akaanzisha familia, akapata kazi na akachukua uraia wa wa nchi anayoishi. Huyu kijana ana NGO ambayo imeshasaidia Tanzania zaidi ya $100,000, vilevile kijana huyu kasomesha mtoto wa kaka yake, kasaidia familia yake wazazi na ndugu wengine. Kijana huyu vilevile anachangia kwenye jumuia ya watanzania anakokaa kama vile kusafirisha Watanzania wanapokufa kwenda nyumbani. unaona huyu kijana sio Investment kwa Tanzania ingawa amesihi Tanzania kwa miaka zaidi ya ishirini basi baati mbaya kwani nchi ayeishi wameona manufaa yake na ndiyo maana wana maendeleo zaidi.

Vyema sana. Sasa mimi nimeshawapa ushauri wa bure nyie mnaolilia uraia pacha, kwamba, fanyeni inventory ya kufahamu:

1. kuna watanzania wangapi nje ya Tanzania wenye kuhitaji uraia pacha,
2. elimu, ujuzi na utaalamu wao, na manufaa ya ujuzi, elimu na utaalamu huo kwa Tanzania,
3. nini wameshafanya Tanzania katika hali ya kutokuwepo kwa uraia pacha,
4. ni fursa zipi za kiuchumi na kimaendeleo wanazikosa kwa kutokuwapo uraia pacha, na
5. nini watafanya Tanzania kiuchumi na kimaendeleo pindi watakapopata fursa hizo kwa uwepo wa uraia pacha,

Majibu kwa masuala hayo ndiyo yatakayo wapa msingi wa kuweka hoja mezani ili kujadili hili suala.
Vinginevyo, mkilijadili kwa hisia tu bila takwimu, hakika hoja haitokubalika kwa wananchi walio wengi.

Kijana huyu mwenye miaka kama 35 sasa hayawahi kupokea wala kutoa rushwa. Huyu kijana wa Kitanzania ambaye sio raia na wale Watanzania walioishi Tanzania maisha yao yote lakini wanajihusisha na rushwa, wamesomeshwa na serikali, hawasaidii nyumbani, walevi, wahuni na wanasaini mikataba mibaya ni bora nani???.

Chifu, hapo umeandika na kuongea kwa hisia sana, badala ya uhalisia. Hivi, unawezaje kutoa jumuisho kama hilo? Ni kana kwamba watanzania wote waishio Tanzania ni walevi, wahuni, wanasaini mikataba mibovu n.k.
Kwani hao walioko Ulaya na Marekani, wote ni vijana wema? Mbona wanakamatwa kwa uwizi wa pesa kwenye ATMs? Wizi kwenye makampuni (refer ishu ya watanzania wezi kwenye kampuni ya Dell kama sijakosea). Kwanza wengi wanaishi kinyume na taratibu za nchi hizo; wanaishi kwa namna ambayo hawawezi hata kurudi kwao!!

Maana yangu ni kwamba, licha ya ubovu wa serikali yetu, lakini huwezi kutoa jumuisho na hitimisho kama hilo, kwani watanzania wenye mapenzi mema na nchi bado wapo wengi sana; mfumo ndiyo umebana.

Marekani mfano unaweza ukaja bila hata $100 lakini baada ya miaka kumi wanakupa uraia na unatengeneza $100,000 kwa mwaka sasa tukiambiawa umasikini wetu unaletwa na ubinafsi tunabisha lakini vitendo vinasema ukweli.

Chifu, vivyo hivyo hata na Tanzania(naona unaanza kusahau ya nyumbani kwenu). Mwekezaji anaweza kuja bila hata senti 5, lakini akaweza kupata mkopo katika benki za ndani, huku akipewa incentives kibao kama tax holiday, non-taxable fuel acquisition etc. Ni kiasi cha kuchangamkia fursa.

Hivyo kama una nia ya kupiga hela kama inavyopigwa USA,basi changamkia tenda. Husibaki ukililia uraia pacha, wakati bila hata ya uraia pacha unaweza kupiga zaidi ya hizo dola laki 1 kwa miaka 10 kwa njia halali kabisa.
 
Hii mambo ya dual citizenship membe aachane nayo kabisa.

Dual citizenship ni advantage kwa raia wa asili toka nchi tajiri za kizungu na asia lakini ni hatari kwa nchi yetu yenye watu masikini lakini rasilimali tele.

Hivi mhindi au mzungu gani mhamiaji anaweza kua mzalendo na kuifia nchi hii kulinda maslahi ya watu wake. Sheria ya asili mtu hutaka uraia wa nchi nyingine kwa maslahi ya kiuchumi tu.

Wabongo waliozamia ughaibuni kwani wanashida gani kuwekeza nyumbani hadi tutoe mwanya kwa wageni kuja kutufilisi.

Tusidanganyane sasa hivi wageni wanatunyonya sasa kwa ujinga wetu tunataka kuwapa fulsa kuongoza nchi yetu kwa uraia bandia.
 
Huu utaratibu bado si muafaka kwa sasa kwa TZ kutokana na ufisadi uliokidhiri nchini hadi maadili ya Uongozi uimarishwe kwenye Katiba na usimamizi imara.
 
Hoja ya uraia wa nchi mbili haina mashiko hata kidogo, wanaopigia chapuo aghlabu ni watu walio na fursa ya kukwapua utajiri wa nhi hii hususan kupitia njia zisizo halali, waliojikusanyia utajiri kwa kufuja rasilimali za taifa, au waliojipatia utajiri usio na maelezo ya kina kuthibitisha uhalali wake, ili wapate pa kukimbilia endapo siku moja uongozi wa nchi hii utakamatwa na wazalendo wa kweli. Mbona hadi sasa tunao ndugu zetu watanzania kadhaa waliochukua uraia wa Marekani na Uingereza na wanaendelea kuja Tanzania bila bughudha wala kikwazo chochote?

Kuhusu fursa ya Watanzania wenye utaalamu na ujuzi kurudi kuongeza nguvu kazi! Membe na wenzake katika baraza la mawaziri wanajitia upofu juu ya maslahi bora ya wafanyakazi? Je, hatushuhudii kila kukicha wataalam kama madaktari na wataalam wengineo wakiondoka nchini kwenda nchi kama Botswana na kwingineko duniani kadri wanapoona fursa ya kupata green pasture?

Uraia wa nchi hauna jipya zaidi ya kutengeneza mazingira salama na kimbilio au chaka la waporaji wa rasilimali za nchi.
 
Dhambi ya ubaguzi haitokuwacha hata ww. Na kama una isue ya kumiliki ardhi. Kuna mapori kutoka ddm kwenda singida hayana mwenyewe. We nenda tu kajichotee. Sema chunga fisi. Ni wengi mno:D:D

Ni bora nikaitwa mbaguzi kwa kutetea ardhi ya nchi yangu kuliko kuitwa mwerevu kwa kuisaliti nchi yangu. Nadhani nimefafanua vizuri sana. Mapori ni mali na urithi wa nchi hivyo hayatakiwi kuguswa kisa tu wewe tukupe ardhi ya mijini. Kama huwezi kuachia uraia wa nchi yako ya asili basi tuachie tanzania yetu hatutaki kuwa watumwa ktk ardhi yetu.
 
ni bora nikaitwa mbaguzi kwa kutetea ardhi ya nchi yangu kuliko kuitwa mwerevu kwa kuisaliti nchi yangu. Nadhani nimefafanua vizuri sana. Mapori ni mali na urithi wa nchi hivyo hayatakiwi kuguswa kisa tu wewe tukupe ardhi ya mijini. Kama huwezi kuachia uraia wa nchi yako ya asili basi tuachie tanzania yetu hatutaki kuwa watumwa ktk ardhi yetu.

mbona kuna usemi wenye mashiko unasema mkataa kwao ni mtumwa,
mtoto akililia wembe .......wamaliziye hapo?
Ujuwe kuna watu wanataka kupiga dili la kuuza mapori na milima yote pingine na gas yote ila uraia unawabana.
Tukikubali mpango nchi kama marekani na nchi za ulaya zikimpata mtu mmoja akawauzia mlima kilimanjaro wakaweka bendera yao pale then huyo mtu akaenda zake marekani kwa sababu ana uraia wa nchi 2 kama balali hatuta wambia kitu na hawana aibu kutangaza pale ni usa na hakuna wa kuwaondoa.na huyo mtu watamlinda kwa garama yoyote ile!!
Kutokana na usemi mtumwa anayetaka kuja kuwekeza kwao aje wala hatutamuliza za siku nyingi wala ulikuwa wapi hatuna tabia hiyo karibuni watumwa wote hme land
 
Tatizo kubwa la Watanzania kwenye maendeleo yetu tunaangaliana watu binafsi badala ya kuangania faidi za baadae za nchi yetu masikini. Kabla ya kukubali au kupinga kitu kama hichi tuangalie nchi kama Kenya ambayo ni ndugu zetu na tunafanana kila namna je hii issue kwao mpaka sasa wameionanaje kwenye katiba yao. Je ina faida na hasara zipi kwa nchi yao. Je tofauti yake na Tanzania ni ipi au ni kitu gani ambacho kimetokea Kenya hakitaweza kutokea Tanzania. Lakini tukianza kufanya issue ni ya Membe na Diaspora pekee wakati hii issue inatokea kwenye nchi nyingi zenye Katiba mpya hata Kenya ni kujidanganya. Hivyo ndugu zangu tuache kuangaliana watu binafsi badala yake tuangalie vitu uzuri na ubaya kwa nchi. India na China mfano kampuni nyingi za Technologia zimeanzishwa na wananchi wao walioenda kusoma nje kufanya kazi na kurudi nyumbani.
 
The question of security can be addressed by forcing Tanzanians with dual citizenship to renounce one before accepting government or sensitive jobs in Tanzania. This is done in Canada, USA and other countries where dual nationality is allowed. The former governor general of Canada was a Haitian with a French passport. She renounced both to be the new GG. Indians allow their people with dual nationalities to visit India visa -free (they are given diaspora Indian passport), they can invest but can't vote. I personally benefitted from having a foreign passport by getting scholarships to study, access to government jobs, assistance with living expenses and travelling visa free to 50 plus countries. I have tried to go back home in Tanzania but neither the government nor the private sector were interested in giving me a position. The highest salary I was offered was 500,00 Tshs a month for my Stanford MBA. I packed my bags, renounced my citizenship (don't want to break the law) and went back. I have no intention of coming back nor of asking for my passport again. If we want to have rapid development, the government and the people must make decisions quickly. We live in an intense competitive world, yet, simple things as dual nationality or land reform takes forever to be addressed. In the meantime, they are loosing many educated Tanzanians like me, every day.
 
Problem of Tanzanians they are going to talk about you and not the country. Kenya with Somali next door they have dual citizenship. I took American passport last year and now my salary increased by 35% this year with a new job. Now I can help my Tanzanian Community here in Texas just yesterday we raised $33,000 to send our dead friend home. I can take more responsibility now I started a fund for my brother son, take care of my parents medical expenses in Tanzania. I am currently building a house in Tanzanian in our family compound any nobody can take it is our family house and if they are going to try to take it just because I have American passport I am ready to shoot somebody. All money we wired is going to the economy from building materials, transportation, banks, phone companies basically the money is helping everybody. If you want Tanzanians instead of making money abroad to be a poor community then dual is not important.
 
I am sorry for the loss of your friend. I keep reminding Tanzanians abroad that it is extremely important to buy insurance so that your family or friends do not have to suffer when you fall ill or die. Insurance rates are cheaper than a bottle of beer or two per day, but you see people not caring about it, and when they die, money has to be found to take the dead body home for burial. Personally, I want to be cremated right here and have no wish to be buried home. I am dead and wherever I may be, it is good enough for me. I guess I think differently in this matter.
 
Dual citizenship ! for whose benefit? The reasons given to support dual citizenship are weak and they are intended to give some powerful political leaders and some elites an opportunity to avoid charges or blunders they might do in one country by escaping to another country. Some people support the idea of dual citizenship by saying that it will facilitate more investment in the country and enable Tanzanians to live freely and being able to be employed permanently in other countries - this is good and we support it. The questions are: In which country Tanzanians with dual citizenship stand up for in times of crisis between the two nations? Can't we see that this idea will give the imperialists chances to plant their puppets in weaker countries like Tanzania? And lastly, what guarantee us that these Tanzanians with dual citizenship will be helpful and supportive to Tanzania?
 
Kinai, I think you live in another world or maybe CCM socialist ideas is running deep in your blood that you fail to see the world evolving rapidly right in front of your eyes. Or maybe you have not travelled or studied the economical benefits migrants bring to their home countries. Is $50 billion dollars weak reason? That's how much Mexicans remit home from USA every year (NY Times, April 27th 2013). I am not going to bother to give you figures of Indians doing manual labour in Saudi Arabia and Dubai and Philippines around the world. When you say blunders or charges, you are not making sense at all. People can be extradited from any where in the world. If I commit murder in USA and run to Tanzania, be assured that I will be caught and sent back to face charges. Hundreds of Americans run to Mexico every year to escape justice but they are often caught, even if the system in Mexico is corrupted. They get caught and sent back to face justice. So you make no sense when you said dual citizenship makes it easier to escape justice unless you are not familiar with Interpol and extradition treaties between nations. You make it sound like Tanzania is one of the wealthiest nation on earth, if that was the case, we would not have to deal with dirty drinking water, little electricity supply, weak education system and rampant corruption in the justice system. We would not be asking donor nations to support our budget every year since basically since independence. So, exactly, what is there for the "imperialists" to gain to plant people like me in Tanzania? You have asked what support we give to Tanzania? Haven't you read about the man above who is building a house, supporting his brother's education???? And when Tanzania received aid from donor nations, whose tax dollars do you think they belong to? Last year I paid $100,000 in various taxes. Every dollar Tanzania gets from donor country, I am contributing my sweat. ME, the Imperialist, you love to hate but love to receive my money.
 
Back
Top Bottom