Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
- Thread starter
- #341
Right. Let's keep the debate going then.
Others have argued that dual citizenship is embodied in the concept of Pan-Africanism, which promotes the cooperation among and integration of the African people. Pan-African leader Marcus Garvey notably said: "Africa for the Africans – those at home and those abroad." Kama mtu anaunga mkono Pan-Africanism ataji-contradict kama hataunga mkono duo citizenship.
Okay.
Let me continue with the debate.
Kwanza kabisa, "who are the others?"
Pili, icon wa Pan-Africanism kama Mwalimu hakuwahi kusikika wakiunga mkono dual citizenship, tena alipinga hilo suala (soma Chapter 4 - "Continental Shift: Civilization, Racial Thought and the Intellectual Foundations of an African Nationalism" ya kitabu cha James Brennan (2012) "Taifa: Making Nation and Race in Urban Tanzania"). Sasa sijui hapo utasema Mwalimu alikuwa akijicontradict katika kuwa muumini mkubwa wa Pan-Africanism?
Tatu, vipi kuhusu "Back-to-Africa-Movement", ambapo suala la umoja wa watu weusi nalo lilikuwa ni msingi wa movement hiyo. Ambapo watu kama kina Garvey na Malik El-Shabazz (waamini wakubwa wa Pan-Africanism) wali-advocate suala la mtu mweusi kurudi katika nchi zao za asili. Hapa msisitizo ulikuwa katika kurudi na kuweka makazi ya kudumu katika kuendeleza maeneo yao ya asili (ancentral lands). Ingawa pia masuala la kukimbia uonevu na kudharauliwa katika nchi za kigeni nayo yalikuwa sababu ya hiyo movement. Hawaku-advocate watu weusi wawe na uraia katika nchi za kigeni na nchi zao za asili; wali advocate for African Redemption kwa kupitia kwa mikono ya waafrika waliokuwa mataifa ya nje kurudi kwao, na kwa wageni kuliacha bara la Afrika na watu wake, katika mikono ya waafrika.
Sasa sielewi ni vipi hiyo quotation ya Garvey unataka kuiunganisha na dual citizenship tu bila kuangalia upande wa pili. Katika ideology ya African Redemption, licha ya msisitizo mkuu kuwa katika "Back to Africa" movement, pia msisitizo mwingine ulilenga katika kuhakikisha watu wenye African ancestry popote walipo duniani wanashiriki kikamilifu katika kuhakikisha bara la Afrika linakombolewa kutoka kwenye makucha ya wakoloni na umaskini wa watu wake.
Hapa naona unataka kulazimisha kuunganisha mambo katika kuona hoja ya dual citizenship inapata legitimacy kupitia mgongo wa Pan-Africanism.
Lakini kwangu mimi naliangalia suala zima la dual citizenship from a moral point of view. Whether kuna faida za kiuchumi nor not, sioni why it should be immoral kuwa na dual citizenship. Ukiangalia dual citizenship debate focuses on first generation immigrants who still have direct ties to their countries of birth. Lakini tukiangalia hili suala kwa mapana zaidi kuna aina mbili za African Diaspora. Kundi la kwanza linahusu wale waliochukuliwa involuntary kutoka Afrika in the slave trade aka historic African Diaspora. Kundi la pili linahusu wale waliondoka Afrika voluntarily to emigrate elsewhere in the world: the modern-day African Diaspora.
Chifu unasahau kuna theory ya moral relativism - kwamba hakuna binadamu ambaye kimsingi yupo sahihi au hayuko sahihi katika suala fulani (nobody is objectively right or wrong). Kwamba morality is relative to individuals; unachokiona sahihi wewe, kwangu kinaweza kisiwe sahihi. Mfano watu wa LGBT wao kwao kuwa mashoga, wasagaji na kuoana watu wenye jinsia moja ni sahihi kabisa. Lakini kwa jumuiya za wapinga LGBT, hayo masuala ni immoral.
Moral relativists wanasema kwamba hakuna "ultimate standard of good or evil, so every judgment about right and wrong is purely a product of a person's preferences and environment. There is no ultimate standard of morality, according to moral relativism, and no statement or position can be considered absolutely "right or wrong," "best or worst". (Source: Moral Relativism).
Hivyo suala la dual citizenship likijadiliwa katika misingi ya what is moral and what is immoral, halitafikia tamati na kupata ufumbuzi. Ningeshauri, ni heri tujadili katika misingi mingine (uchumi, ukuaji na usambazaji wa ujuzi na utaalamu, transfer of technology n.k.) lakini si hili la morality na immorality.
Wasalaam.