Mawazo yangu tu. Kuna Watanzania walioko diaspora miaka mingi wameoa au kuolewa na wana watoto.
Kama ni uraia pacha watapewa wote? Maana watu wanaweza kuwa wameoana miaka hata zaidi ya kumi kwenye community of property.
Maana Mali zao ziko pamoja. Ukimpa mmoja uraia pacha na wakaja kuwekeza mapesa yao hapa, hao wengine watakuwa hawana chao kama mwenye uraia akitangulia mbele ya haki.
Maana hata hiyo ardhi hawaruhusiwi kuwa nayo kwa kuwa ni foreigner.