Natumai hamjambo wananzengo
Wakuu kwa mtizamo wangu naamini hakuna urafiki mgumu hapa duniani kuuishi bila kulana kama urafiki wa Ke & Me. Urafiki huu huanza vizuri but unapofikia kati na kuendelea matokeo yake hua ni kulana tu. Karibu mara zote napojihusisha katika urafiki huu matokeo yake hua nikulana.
Sasa nachojiuliza ni mimi pekee mhanga wa huu urafiki au hata ninyi wakuu? Pia walofanikiwa kuuishi urafiki huu bila kulana mnatumia mbinu zipi?
Karibuni kushare.