Urafiki wa Mwanamke na Mwanaume ni mgumu

Wapo wagumu ukianzisha izo habari urafiki unaisha,
Mwanamke akiwa rafiki alafu hajakutambulisha mpenzi wake ujue anakusubili wewe
Anakutege ili uone jinsi alivyo yupo single kweli mwanaume mate yatakutoka
Akikutambulisha mwanaume wake huwezi fanya kitu kwake
Mbona unaweza mkuu mi natambulishwa ila nachafua[emoji28][emoji28]
 
wanakutunuku? au maana kuna wengine wana uruma tu hawaoni tabu kujiachia
Ila mimi namheshimu sana rafiki aliyenitambulisha mpenzi wake lakini akinipa asitegemee nitamuacha salama,
Lakini siwezi kuanza kumuomba tufanye
 
Si kweli, mimi binafsi ni mume wa mtu nina rafiki yangu wa kike tangu tuko sekondari, kwa sasa ameolewa lakini huwa naenda kwake tunaongea vizuri wakati mwingine ananiambia tukae chumbani kwake kuepuka kelele za watoto sebuleni! Hakuna hata hisia za mapenzi
ngoja tumalizane na hili tutarudi kwako utueleze vizuri...!
 
Ninaye mmoja huyo kanizidi Miaka 2 hivi anaoneka jimama kidogo [emoji3]

Yeye anataka urafiki Ila Mimi natamani nimmege Kuna siku nilimpania kweli Nile mzigo Ila roho ikasita atavunja urafiki

Nikaamua kuchuna tu

Ila roho inauma sana nikimuona na washkaji wengine huwa nahisi wanammega .

Huyu anakujaga home anakaaa Hadi saa 3 kila nikitaka kula mzigo nasita wakati wengine huwa nasafisha tu kiulaini

Nimeamua kumuweka friend zone Ila ipo siku nitamla tu ngoja tutafute hela[emoji3][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tafuna ww
 
Mkuu naogopa nikiingia kwa pupa atanichukia mielele maana ana misimamo hatari

Ila one day nitapiga tu maana umri alio nao ashavuka stage zile za kuolewa akiwa mbichi .

Yuko 30+ so huyo nitakula tu Kuna siku nitajitoa ufahamu liwalo na liwe[emoji3][emoji1787][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamsomesha tu!
 
Si kweli, mimi binafsi ni mume wa mtu nina rafiki yangu wa kike tangu tuko sekondari, kwa sasa ameolewa lakini huwa naenda kwake tunaongea vizuri wakati mwingine ananiambia tukae chumbani kwake kuepuka kelele za watoto sebuleni! Hakuna hata hisia za mapenzi
Hahaha
 
Wee jamaa chumbani?😀😀
 
Falaa wewe [emoji23][emoji23][emoji23], umetuona vilaza kweli.
 
Mie siwezagi huo urafiki..! Tofauti na hapo huyo rafiki wa kike awe anakaa mbali ila kama ni Karibu na tunaonaba mara kwa yaani kumla nitamla na urafiki utaishia hapo
 
Back
Top Bottom