Urafiki wa Kikwete na Lowassa

Urafiki wa Kikwete na Lowassa

Huyu mleta mada nahisi atakuwa ni shekhee ponda ni mchochozezi kweli kweli

Sheikh ponda alishawahi kukuchochea wapi we mbulula changia vitu vya maana acha kutaja watu wasio husika au Kwenye uzi umeona amezungumziwa Ponda? Tumia akili sio kuropoka kama unaumwa tumbo la kuhara
 
Naona kwenye Uzi huu wamejaa wachochezi na wapendwa kujua maisha binafsi za watu. Kwenye uchaguzi huu hakuna cha urafiki wala cha uwadui. Kilichopo ni mwenye nguvu na anayekubalika. Lowassa hakuna hata chembe ya Shaka kuwa ndiyo anayekubalika na mwenye nguvu ndani na nje ya CCM.

Tungeweza kupata combination ya Lowassa na Dr. Slaa hii ingekuwa safi Sana.

Huo ni mtazamo wako tu peke yako
 
@Kichuguu


Rais wetu kwa jinsi alivyojipambanua katika hotuba zake za hivi karibuni hana muda mchafu wa kumfanya mtu mchafu kama lowasa kuwa mrithi wake. Hata ungekuwa wewe, kwa kutumia akili kidogo, je, unadhani kuwa atamkabidhi mtu asiyesafishika hata kwa dodoki na sabuni?

Akili yako changanya na akii ya kuambiwa halafu toa jibu. Utapata jibu mwenyewe. MKwangu mimi Hell nooooooooooooooooooooooooooo!

Tatizo la JK ni kizabazabina, anachosema sicho anachokuwa nacho moyoni. Sept. 2010 alimnadi Mramba kule Rombo akiwaambia warombo kwamba wamchague Basil pamoja na kwamba alikuwa na kesi ndogo ambayo aliahidi ingekwisha..... nafikiri kila mmoja anajua imekwisha namna gani.

attachment.php

Na kule Tanga juzi Jk kawaomba wachungaji na mashekh wawaambie waumini kuwakataa watu wanaotumia pesa kusaka uongozi. Kwa nini asiwe mkali straight kusema kwamba watu ambao wameanza kampeni kkabla ya wakati wawe disqualified? HAWEZI kwa sababu anajua hawezi kuzuia mafuriko kwa mkono.
Najiuliza, CCM wana ubavu wa kukata jina la Lowasa fisadi? Lowasa nijina tajwa kwenye Scandal ya Vodacom ya vocha za jero jero zilizopelekea kampuni ya Shivacom kuvuliwa uwakala. Kampuni ya Alphatel (Lowasa ni mmiliki) akishirikiana na Rostam mwenye hisa 35% vodacom pamoja na Tanil Somaiya - super dealer wa Vodacom walishirikiana ku durufu vocha za miatano kwa kipinidi kirefu na kusababisha hasara za pesa nyingi kwenye kampuni ya Voda. tyle ya Wizi huu ni kama ule utakaoukuta Sicily au Little Italy pale NY. Vurugu zote zimefanyika, Vodacom wakasitisha mkataba na Shivacom lakini ajabu nasikia wameishia kulipa fidia kuubwa kwa Tanil Somaiya. Kazi ya Rostam hiyo.
Lowasa wampige chini CCM na chama kimeguke kwa sababu mashabiki wake ni waganga njaa au wampe ridhaa aje huku nje akutane na hasira ya wananchi..

AUhG3sRNY6HN96ASNXYvn60pcdfwmxCfI9XScjtNxOk7H6Tgdv61xSq6n43ScjtNxOk7Hb3n8HyuyT2qzoFpbAAAAAElFTkSuQmCC
 
Sifa kubwa ya watu wa pwani na waislamu ni unafiki
 
Kati ya vitu huwezi kumhusisha Kikwete ni wizi,anaweza akawa na madhaifu ya upole hapa na pale na kuwa na moyo wa huruma kuwachukulia hatua kali waliokosea lakin Kikwete is clean.Hana tamaa na pesa.Weka hiyo kwenye kumbukumbu zako.

Lowassa ni mfanyabiashara wenye hisa zake katika deal mbalimbali, hatufautiani sana na Chenge kama alivyokiri Chenge kuwa yeye ni nyoka mwenye makengeza,anayeangalia sana palipo na pesa.

Kikwete is clean? Are you serious???
 
Kumbuka tu in politic there are no permanent friends. Lowassa alibeba lawama za madhambi ambayo Kikwete alikuwa mhusika mkuu, aliahidiwa kurudishwa serikalini hapo baadaye, haikutokea. Sasa Kikwete anaogopa Lowassa anajua madudu yake, na huenda akamuumbuua kama vile Kikwete alivyomuumbua Mkapa kwa kunasa nyaraka zake za siri.

Kwa uliyoyasema basi inaonekana Kikwete hamtaki Lowassa si kwa sababu ya maslahi ya Taifa,isipokuwa ni hofu ya nini jamaa atafumua pindi na yeye akishika madaraka.Ama kweli mtenda hutendwa pia,jamaa anaogopa kivuli chake!
 
He is powerless over the powerful!!
Subirini mzione muscles za mwenyekiti.

Muscles zipi hizo ambazo kashindwa kuzionyesha muda wote huo aje azionyeshe kwenye dakika za lala salama? Hatujasahau kikombe alichompimia M/Kiti wake 2005 wakati anaitafuta Ikulu kwa udi na uvumba ndicho hichohicho na yeye anapimiwa!
 
Najua unakumbuka vizuri ahadi uliyowekeana na rafiki yako kipenzi mwaka 2005 wakati wa mchujo wa wagombea Urais.
Kama sio rafiki yako unajua fika sasa hivi usingekuwa rais wa Tanzania.
Kama sio yeye hata uwaziri usingepata, sasa hivi ungekuwa ni mbunge wa Bagamoyo.
Kama sio yeye unafahamu fika sasa hivi rais angekuwa ni Salim A. Salim.
Kumbuka vizuri, wajumbe wengi walikuwa upande wa mpinzani wako, kama sio nguvu ya rafiki yako wasingekuchagua kamwe.!
Sasa ni wakati wa kulipa fadhila,. Ile ahadi mliyowekeana kipindi kile ndio muda wa kuitimiza huu, Kumbuka rafiki yako sasa hivi anahitaji sana msaada wako kama ule uliokuwa unauhitaji wewe kutoka kwake mwaka 2005.
Ni matumaini yetu Watanzania hautavunja AHADI.
Wahenga walinena " Waungwana daima wanatimiza ahadi zao" wakati wa kutimiza ahadi yako ni huu muda bado upo.
 
We unadhani watu wanarithishana tu uRais? !!Eti ile ahadi uliyoiweka ni wakati wa kuitimiza!!!
Watanzania ndo tunachagua nani aongoze hili taifa...
 
Ahadi ya mheshimiwa JK ni kuhakikisha anatupatia maisha bora.
Anajua fika kuwa juhudi kubwa aliyoifanya na mafanikio makubwa nchi iliyopata Tangia awe rais vitakuwa bure kama atamwacha mtu ambaye hafai pale ikulu
Mheshimiwa JK, taifa daima kwanza
 
Mungu ni mwema naamini atatuonyesha mambo makuu tusiyoyatarajia kabisa ambayo yatafanya nchi yetu iendelee kuliko hapa tulipo
 
Marais wenye nia njema na nchi wanazoongoza hupenda kuwaachia watu wanaofaa hicho kiti cha urais.
Hiyo ni namna ingine ya kuiambia nchi kuwa kama kuna sehemu sikufanya vizuri hilo halikuwa lengo langu - ila sasa mkubalin huyu anafaa

Miaka 10 ya kuzungukwa na vichwa vya pale ikulu na sehem zingine JK hawezi baki na mawazo ya zamani.
 
Bado kunakitu unategemea toka kwa utawala.huu?
 
unao ushahidi wa ahadi hiyo ? na je kwa akili yako unadhani ni sawa kwa watu wawili tu kukubaliana kugawana miaka ya kuwatawala watanzania mithili ya wakoloni walivyowafanyia watumwa ?
 
Tumeshajionea wana Team lowassa wakiwa na frustration katika kipindi cha masaa 48 yaliyopita lakini hakuna aliyekiri kukwama.

Hii ni thread ya kwanza kukubali mkwamo katika Team lowassa

Tumeshihudia tabia chafu ya Team lowasa kumdhihaki mwenyekiti..eti EL alimsaidia JK kuingia madarakani na kwamba bila yeye JK angeshindwa!

Yaani EL aliamua na amedhamiria kumblackmail mwenyekiti wa ccm na rais wa JMT.

wafuasi wa EL wameonesha jeuri ya fedha na ubabe dhidi ya mwenyekiti wa ccm na rais wa JMT.

PENGINE EL hausiki bali tatizo ni team aliyoichagua kuitumia #Teamkibonde


Hili ni kosa kubwa lilofanywa na Team El ambalo watalijutia.

El amejitahidi kulirekebisha bila mafanikio na sasa tunaona revelation za wafuasi wake.

Teamlowassa wametumia fedha,hadaa na ubabe ili tu kujionesha kuwa wao ni zaidi ya chama na system na wananchi...huu ni upuuzi !

Kwa taarifa yenu ninyi Teammapesa ni wachache na sisi ni wengi.
Na mkimzidi mwenyekiti wako watu wa kumlinda kwa njia yoyote ile.

EL alikuwa mtulivu kama yeye lakini wapambe wake wamejikweza na malipo wanayoyapata ndio haya sasa....to BOW DOWN WHEN IT IS TOO LATE

RAIS mwinyi alijituliza akapewa nchi lakini ninyi Team mapesa mnajidai wajuaji sasa msubirini #ngariba awaketete.
 
Unategemea akumbuke nini wakati Hana cha kupoteza. ..unamjua fastjet au unamskia
 
Duu.... hii ni kali kuliko hata kiroba aina ya jogoo! Tutasikia mengi kutoka kwa team lowassa baada ya jina lake kukatwa,nadhani hata richmond walipigawote na swahiba wake jk!
 
Back
Top Bottom