Kumbuka tu in politic there are no permanent friends. Lowassa alibeba lawama za madhambi ambayo Kikwete alikuwa mhusika mkuu, aliahidiwa kurudishwa serikalini hapo baadaye, haikutokea. Sasa Kikwete anaogopa Lowassa anajua madudu yake, na huenda akamuumbuua kama vile Kikwete alivyomuumbua Mkapa kwa kunasa nyaraka zake za siri.
Mbona pale stadium hamkuyasema haya.Kumbuka tu in politic there are no permanent friends. Lowassa alibeba lawama za madhambi ambayo Kikwete alikuwa mhusika mkuu, aliahidiwa kurudishwa serikalini hapo baadaye, haikutokea. Sasa Kikwete anaogopa Lowassa anajua madudu yake, na huenda akamuumbuua kama vile Kikwete alivyomuumbua Mkapa kwa kunasa nyaraka zake za siri.
Lowassa is powerful over the powerless
siasa raha sana..... kumbuka uwekezaji huu una zaidi ya miaka ishirini hivyo sayansi ya siasa itakupa matokeo yake tar 12/07He is powerless over the powerful!!
Subirini mzione muscles za mwenyekiti.
siasa raha sana..... kumbuka uwekezaji huu una zaidi ya miaka ishirini hivyo sayansi ya siasa itakupa matokeo yake tar 12/07
Kumbuka tu in politic there are no permanent friends. Lowassa alibeba lawama za madhambi ambayo Kikwete alikuwa mhusika mkuu, aliahidiwa kurudishwa serikalini hapo baadaye, haikutokea. Sasa Kikwete anaogopa Lowassa anajua madudu yake, na huenda akamuumbuua kama vile Kikwete alivyomuumbua Mkapa kwa kunasa nyaraka zake za siri.
acha unafiki, kwanini unawagombanisha mkapa na kikwete,eleza sifa kiongozi wako sio kuleta mboyoyo hapa.
Mwalimu Kichuguu,
Katika urafiki huu, mmoja aliubeba msalaba wa aibu na kuwajibika kwa niaba ya mwenzake. Aliyekingiwa kifua badala ya kurudisha fadhila, kageuka kuwa ndumilakuwili.
Hili lazima liwe somo kwa Wanasiasa wetu, waachane na ushirika wa kichawi. Ni heri watu waaminiwe na kupewa dhamana na majukumu kutokana na uzalendo na umahiri wa kuwajibika kwa ufanisi kwa kufuata maadili na si kuutaka Urais kama mashindano ya Urembo!
He is powerless over the powerful!!
Subirini mzione muscles za mwenyekiti.
I beg to differ. Kikwete ni mwizi. Alianza enzi za IPTL akiwa waziri wa nishati na madini. Soma taarifa ya Brian Cocksley ndio utaelewa. Ametengeneza hela nyingi tu katika mikataba ya madini pamoja na kuhongwa na wazungu wanaochimba madini, hasa wale wa Nyamongo na ndiyo maana hawakuguswa licha ya kwamba ndugu zetu waliuawa huko kwa visingizio vya kuvamia eneo la machimbo ya mwekezaji. Kikwete is not clean at all.Kati ya vitu huwezi kumhusisha Kikwete ni wizi,anaweza akawa na madhaifu ya upole hapa na pale na kuwa na moyo wa huruma kuwachukulia hatua kali waliokosea lakin Kikwete is clean.Hana tamaa na pesa.Weka hiyo kwenye kumbukumbu zako.
Lowassa ni mfanyabiashara wenye hisa zake katika deal mbalimbali, hatufautiani sana na Chenge kama alivyokiri Chenge kuwa yeye ni nyoka mwenye makengeza,anayeangalia sana palipo na pesa.