urafiki wa karibu na ex wa rafiki yangu

urafiki wa karibu na ex wa rafiki yangu

Nyorosha maelezo kwanza. Ulikuwa unadate rafiki yake ama yeye alikuwa anadate rafiki yako.

Manake nataka kukushukia kwa kuwa shosti na shemeji zako. Tabia mbaya hizo za kiswazi! Unakuwaje shosti na shemeji yako?!
 
^^
Si vibaya mpaka pale kusudio lako ni kusaliti imani ya rafiki..na ukiisaliti usiendeleze urafiki maana hakawii kusema uliwatenganisha.
^^
 
Ukishasema ex- tayari kwangu mie inamaanisha zamani..
Na kama ni zamani means yamepita
Na kama yamepita basi anything can happen..
talking of today..Kwangu mimi nasema inawezekana..

Habarini za leo wana jamii, ningependa kujua kama ni busara kwa mtoto wa kiume kuwa na urafiki wa karibu na msichana ambaye alikuwa akidate na rafiki yake
 
mkuu hiyo ni kitu hatari sana,nilishakuwa na stuation kama hiyo,mdada akanizoea zoea mwishowe nikamlala,but baada ya muda mfupi tu kama mwezi mmoja nikamwambia kiustaarabu tu kuwa nilifanya makosa na sihitaji tena kurudia kosa hilo.nikakata mazoea tangu siku hiyo
 
Kaka za masiku?
Unajua kwa nini unapaswa kutokuwa shosti na mpenzi wa rafiki yako? Kwa sababu wakizozana utawekwa mtu kati. Lakini hata wakishaachana, ukimualika besdei huyo exkidumu wa rafiki yako, na rafiki yako akaja na current kidumu chake; hapo inakuwaje sasa? Mie shemeji zaidi ya salamu, hata simu simpi! Kama nna issue ntamuambia shosti aniunganishie kwa shemeji.
Ukishasema ex- tayari kwangu mie inamaanisha zamani..
Na kama ni zamani means yamepita
Na kama yamepita basi anything can happen..
talking of today..Kwangu mimi nasema inawezekana..

Ndo nimekuuliza ili unieleweshe baba.
nahisi haujanielewa king'asti
 
Kaka za masiku?
Unajua kwa nini unapaswa kutokuwa shosti na mpenzi wa rafiki yako? Kwa sababu wakizozana utawekwa mtu kati. Lakini hata wakishaachana, ukimualika besdei huyo exkidumu wa rafiki yako, na rafiki yako akaja na current kidumu chake; hapo inakuwaje sasa? Mie shemeji zaidi ya salamu, hata simu simpi! Kama nna issue ntamuambia shosti aniunganishie kwa shemeji.

Ndo nimekuuliza ili unieleweshe baba.

ni hivi nina urafiki wa karibu sana na mdada ambaye alikuwa gf wa rafiki yangu, ila walibreak miaka miwili iliyopita , je kuna uhalali wa mm kuwa karibu na huyo dada ????
 
Nzuri tu dadaangu...
Sema ni ngumu kama bado wanapendana..ila kama it was for good..mbona hata wakionana haina shobo

Kaka za masiku?
Unajua kwa nini unapaswa kutokuwa shosti na mpenzi wa rafiki yako? Kwa sababu wakizozana utawekwa mtu kati. Lakini hata wakishaachana, ukimualika besdei huyo exkidumu wa rafiki yako, na rafiki yako akaja na current kidumu chake; hapo inakuwaje sasa? Mie shemeji zaidi ya salamu, hata simu simpi! Kama nna issue ntamuambia shosti aniunganishie kwa shemeji.

Ndo nimekuuliza ili unieleweshe baba.
 
Kama nataka kuchemsha alipoachia braza?

Nyorosha maelezo kwanza. Ulikuwa unadate rafiki yake ama yeye alikuwa anadate rafiki yako.

Manake nataka kukushukia kwa kuwa shosti na shemeji zako. Tabia mbaya hizo za kiswazi! Unakuwaje shosti na shemeji yako?!
 
Kama uko serious..ongeza ukaribu!
Mradi na wewe usiwe mbabaishaji kama best yako..
Kila la kheri!

ni hivi nina urafiki wa karibu sana na mdada ambaye alikuwa gf wa rafiki yangu, ila walibreak miaka miwili iliyopita , je kuna uhalali wa mm kuwa karibu na huyo dada ????
 
ni hivi nina urafiki wa karibu sana na mdada ambaye alikuwa gf wa rafiki yangu, ila walibreak miaka miwili iliyopita , je kuna uhalali wa mm kuwa karibu na huyo dada ????

@kushandwisdom, wewe Pima kwenye

image.jpg
urafiki vs mdada

which is worth?

chukua moja la .........msamba pasuka!​
 
mjin mcng kiuno!pngnee kanogewaa th way unamtreat gd!kulko hta hyo ex boy wkee!n thn kwn urz ina mabegaa kiac kwmb utshndwaa kuona ndan
 
Urafiki wa karibu wa kiaje Mkuu?

Mimi ni muumini wa urafiki wa karibu wa kawaida na dada zetu, Trust me kuna mahali imenibidi kutumia nguvu za ziada sana kujinasua na pengine kunasua upande wa pili. Wewe unaweza kuwa na lengo zuri tu, lakini wema wako ukakugharimu sana.
Hadi leo sielewi kwa nini ukarimu unachukuliwa kivingine na pengine wanataka kukulipa fadhila kwa hayo makitu...:tape::tape::tape:

Inawezekana sana lakini uwe na lengo na ulisimamie, vinginevyo utajikuta umeshaangukia usikokutarajia. Bora nisijue x then mengine yaendelee kuliko nijue zamani labda SnowBall aliwahi kuomba hifadhi na mimi nijipeleke apo japo mi sio wa kiivyo.
 
Habarini za leo wana jamii, ningependa kujua kama ni busara kwa mtoto wa kiume kuwa na urafiki wa karibu na msichana ambaye alikuwa akidate na rafiki yake
Dah! aisee kwangu naiona mbaya sana maana ishawahi kunitokea wameachana binti akahamisha majeshi kwangu yaani nilikuwa katika wakati mgumu acha tu mbaya zaidi hata majirani walikuwa wanajua kuwa bint ni mepnzi wa rafik yangu ila hawajui kama jamaa ameachana naye maana bint aliendelea kuja geto kunitembelea kama walivyokuwa wanafanya na mshikaji
 
Urafiki wa karibu wa kiaje Mkuu?

Mimi ni muumini wa urafiki wa karibu wa kawaida na dada zetu, Trust me kuna mahali imenibidi kutumia nguvu za ziada sana kujinasua na pengine kunasua upande wa pili. Wewe unaweza kuwa na lengo zuri tu, lakini wema wako ukakugharimu sana.
Hadi leo sielewi kwa nini ukarimu unachukuliwa kivingine na pengine wanataka kukulipa fadhila kwa hayo makitu...:tape::tape::tape:

Inawezekana sana lakini uwe na lengo na ulisimamie, vinginevyo utajikuta umeshaangukia usikokutarajia. Bora nisijue x then mengine yaendelee kuliko nijue zamani labda SnowBall aliwahi kuomba hifadhi na mimi nijipeleke apo japo mi sio wa kiivyo.
Inahitaji moyo sana kusimamia lengo maana wanawake wengine huwa wanataka kumkomoa ex wake kwa kutembea narafiki yake so hapo atafanya kila analoliweza kufanikisha malengo yake si unajua wanaume wengine tukionyeshwa mapaja tu tayari tunakuwa hoi!
 
Hahaaaaa, Mkuu paja tu mtu chali........!!! Haya bhana.

Wengine tuko interested na vilivyofichwa zaidi, men ae very curious when it come to that.

Back
Top Bottom