urafiki wa karibu na ex wa rafiki yangu

urafiki wa karibu na ex wa rafiki yangu

Habarini za leo wana jamii, ningependa kujua kama ni busara kwa mtoto wa kiume kuwa na urafiki wa karibu na msichana ambaye alikuwa akidate na rafiki yake

Iliwahi kunitokea wakati wa ujana wangu....Na matokeo yake dada wa watu nikawa namtafuna. Ila ilikuwa kwa nia njema tu maana alikuwa anahitaji ''a crying shoulder'' kwa wakati huo!
 
Back
Top Bottom