Hiyo para ya mwisho mbona alikujibu vizuri tu, acha kulalamika. Au kila kitu amekukopa? Kama Apendeki2 kelele za nini?
Ha ha haaa aisee kweli
Wewe ni mwanamke? Manake utakuwa njugu in no time.
Fafanuka hebu!!!
Nshamaliza mie.
Unajua kawimbo flani; 'mbuzi karanga bei ganiiiii? Chuma beeee'
jinsia yako kama ni Ke hizo zilikuwa swaga za kukuingiza tunduni tu kwa hiyo umekatiza mawasiliano kisa hana gari hahaa ulimpendea gari ndo iliyokuvutia eeeh
Kama ni Me je??
jinsia yako kama ni Ke hizo zilikuwa swaga za kukuingiza tunduni tu kwa hiyo umekatiza mawasiliano kisa hana gari hahaa ulimpendea gari ndo iliyokuvutia eeeh
Hiyo para ya mwisho mbona alikujibu vizuri tu, acha kulalamika. Au kila kitu amekukopa? Kama Apendeki2 kelele za nini?
Wewe ni mwanamke? Manake utakuwa njugu in no time.
Ndugu mleta mada wewe ni Jinsia gani?