Urafiki huu unawezekana?

Urafiki huu unawezekana?

Inawezekana.

Nina rafiki nilisoma naye primary, tukafaulu shule moja, akaolewa mi nikaendelea na masomo tumekua marafiki kwa miaka yote. Home kwao wananijua na kwetu wanamjua.

Mumewe ananijua na ninamjua. Hatujawahi hata kukumbatiana. Sasa hivi ni nesi mi nipo na bahasha zangu ila bado marafiki.
 
Hahahahahah...Tunza tu hizo bahasha mkuu, huyo rafik ako ni mzuri?
 
Inawezekana.

Nina rafiki nilisoma naye primary, tukafaulu shule moja, akaolewa mi nikaendelea na masomo tumekua marafiki kwa miaka yote. Home kwao wananijua na kwetu wanamjua.

Mumewe ananijua na ninamjua. Hatujawahi hata kukumbatiana. Sasa hivi ni nesi mi nipo na bahasha zangu ila bado marafiki.
Uko na bahasha zako mkuu[emoji1] [emoji1]
 
Naomba niulize ikiwa inawezekana mvulana na msichana wawe BFFs tu na kubakia friendzone bila nia za kimapenzi ama watakua wanajidanganya tu?

Maoni yenyu tafadhali...
The guy loves you, lakini hicho unachokitafta utakipata.
 
Naomba niulize ikiwa inawezekana mvulana na msichana wawe BFFs tu na kubakia friendzone bila nia za kimapenzi ama watakua wanajidanganya tu?

Maoni yenyu tafadhali...
Inawezekana sana
 
Back
Top Bottom