yote nasuka, hata kilimanjaro, jicho la mke mweza. pia nasokota kama zile za kimasai.
nilidhani unasuka na kilimanjaro nimlete mke wangu kwako!!
japo sikuamaini ila hebu nikumbushe kwanza, bado ofisi yako ipo pale liberty ama umehamia makoroboi? kama ukiweza kufika pale ngokos karibu na dampo huwa mnapaita nyota ya warembo naweza kukagua kazi zako kama utafaa kumpokea my waifu wangu.... otherwise ataendelea kuhudumiwa pale pale
mi mke wangu anasuka twende kilioni..sijui huyu nae anaisuka hiyo syle??
mh! Hapa umedanganya, mtoto six ni hacker ktk mitandao na sio msosholojia! Kha!
mh! Hapa umedanganya, mtoto six ni hacker ktk mitandao na sio msosholojia! Kha!
tafadhali mtue my huz tenaaa!!!! yeye sio hacker, nitakushtaki kwa mwanasheria wa familia ruttashobolwa kwa kumdhalilisha kipenz changu!
no siku hizi nimehamia perfect salon Lwempisi House nyerere road!
morning guys,
nahisi ni vyema tukafahamu proffessional zenu, mtu anaweza kupata shida asipate mtu wa kumsaidia kiutaalamu. kama tujuavyo hapa kuna ma-doctor kama dr MziziMkavu.. dr. Riwa, wanasheria kama rutashobolwa na wenginie. hakimu Judgement ila sina uhakika. haya tajeni proffesional zenu tufahamu. . .