Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,898
- 2,463
Napenda sana niwe karibu nao tatizo kazi ndyo inafanya hiviKua karibu na unao wapenda
Kazi ndyo inatutenganishaKua karibu na unao wapenda
Mkuu pambana ukaungane na familia yako ili usije kufia chumbani,Mwanzoni nilikua napenda kuishi sehemu ambayo haina makelele lkn sasa nimekuwa mtu wa stress sana siishi na familia yangu nimekuwa mtu wa mawazo sielewi hatma yangu kuondokana na stress nakunywa pombe nimekua mlevi lkn nikikaa na wife sinywi kwanza ninanawiri napenda sana kuishi na familia
Na Kama upo mazingira tata ya kupata uhamisho aisee take care ,,anzisha vita ya kuhama .Kazi ndyo inatutenganisha
Tafuta uhamisho uungane naeKazi ndyo inatutenganisha
Napitia kipindi kigumu sana naipenda familia yangu mm siyo mtu wa michepuko nikiwa na familia yangu najitahidi kupata uhamisho lkn inashindikanaMkuu pambana ukaungane na familia yako ili usije kufia chumbani,
Unaweza kujikuta unapoteza na hamu ya kula ndio Mwanzo wa kuvialika vidonda vya tumbo.
Narudia tena pambana ubadili mazingira ukaungane na familia yako hiyo ndio pona yako.
Nina uzoefu wa unachopitia
Yah ni kweli wanaongea mengi lkn nayapuuzia napenda niishi na familia ynguNa Kama upo mazingira tata ya kupata uhamisho aisee take care ,,anzisha vita ya kuhama .
Ni dhahiri upo kituo Cha kazi ambacho kina mauzauza na majungu km kwangu.
Sanaa yaan cku nikija kuishi na my family nitanenepa sana
Uhamisho kwa Sasa Ni pesa TU,Cha msingi chokoza documents ziwepo kwenye faili wakijichanganya kukusainia tu umemaliza. Cheza na mkuu wa idara acha na vibosi Uchwara wanaopenda kujifungia ofsn kupiga jungu kumbe Ni vilazaNapitia kipindi kigumu sana naipenda familia yangu mm siyo mtu wa michepuko nikiwa na familia yangu najitahidi kupata uhamisho lkn inashindikana
Mkuu acha hizo utumishi wa umma ni sio starehe,Mdaa huu Niko geto
Sina demu
Sina Hela
Sina marafki
Sina chochote
Daaah..
Mm ndio Ivo Tena baaas ..hauko peke yako tupo wengi
Naona hujaelewa mada na umedakia kutuletea story za maisha yako binafsi na unachokipitia.Mdaa huu Niko geto
Sina demu
Sina Hela
Sina marafki
Sina chochote
Daaah..
Mm ndio Ivo Tena baaas ..hauko peke yako tupo wengi
Pole aiseeh,wewe uko kama mimi kwenye kukwama uhamisho,nimepambana hadi nimejikatia tamaa,imebid nirud shule tu,maisha haya,only God knows πNapitia kipindi kigumu sana naipenda familia yangu mm siyo mtu wa michepuko nikiwa na familia yangu najitahidi kupata uhamisho lkn inashindikana
π€£π€£π€£Naona hujaelewa mada na umedakia kutuletea story za maisha yako binafsi na unachokipitia.
Kwanza hilo geto ulipangaje bwamdogo?! Sasa kama huna chochote ni geto au ni hall hilo?! π€
Nakushauri tafuta vibarua ufanye, kodi ikiisha hapo ndo utajua kilichomnyima kuku kukojoa π ππΎ