Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,289
- 4,648
Urafiki wa kawaida hauruhusu kufahamiana?Umuhimu wake ni upi, elewa ni urafiki wa kawaida
Sasa mbona mimi ni mdogo wako nna miaka 17😂😂😂Hizi bahati za mashangazi mbona mimi hua sizipati....🤣.... mkuu namimi nina miaka 22, nikutumie picha...😜
Dah😂😂Jiongeze ukalelewe na lishangazi hilo....😝
mom pretty mie nimekuelewa achana nae uyoDah😂😂
Domo zegeKijana kwani huko mtaani kwenu hakuna mademu? Mana waliomo humu ndio hawa hawa waliopo kitaani kwenu
Nimeitika mkuu, kuna nini kimejiri hapa kwani...🤨We jamaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona unamkandia mwenzio?mom pretty mie nimekuelewa achana nae uyo
Mtoto amejaa upwiru huyu anajifanya eti mpweke....🤣Dah😂😂
mie nataka nikutoo tootooMbona unamkandia mwenzio?
Upwiru ni kitu cha kusumbua vijana siku hizi kweli😂😂huyo ametaka tuMtoto amejaa upwiru huyu anajifanya eti mpweke....🤣
Unataka kumtoa nani😂😂mie nataka nikutoo tootoo
Itakua hataki kujichukulia sheria mkononi babe..😋Upwiru ni kitu cha kusumbua vijana siku hizi kweli😂😂huyo ametaka tu
Anakua anabadilisha lubricants tu😂😂 mara leo futa la nazi, kesho sabuni keshokutwa nzi kwenye mfuko mara mlenda😂😂😂Itakua hataki kujichukulia sheria mkononi babe..😋