wewe hauna upweke, kibongo bongo bado upo katika "foolish age". Yani una utoto! Samahani lakini.Umri wangu ni miaka 21 soon I'll be making 22 [emoji881]
Ndio, ni muhimu,.Urafiki unachagua sura ?
Hizi bahati za mashangazi mbona mimi hua sizipati....🤣.... mkuu namimi nina miaka 22, nikutumie picha...😜Tuma picha😁
Jiongeze ukalelewe na lishangazi hilo....😝Umuhimu wake ni upi, elewa ni urafiki wa kawaida
Siumesema wewe ni dereva.....🤔 basi tuma ambayo ndinga inaonekana kabisa umeiegamia...😜[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poa mkuu acha niangalie mazingira ya kutuma