Upweke unauma, natafuta mwenza

Mungu kaumba aisee hivi MTU unawezaje kupenda mwenye mwonekano wowote? ahaaaa inna nikijipitisha na pande langu LA mwanaume unaanza kunikodolea, never write something under stress, itakucost.

Ila wadada tuna unafiki, si kasema hata kilema sawa ajitokeze uone.

Kukosoa uumbaji wa mungu ni dhambi ushaandika yote hayo sentence ya mwisho ilibidi uachane nayo nina uakika sicho kilicho moyoni mwako.

nalog off.
Kila mtu ana taste yake, ndio maana tumeumbwa tofauti kilema sio ugonjwa, ina maana vilema wote unaowajua hawajaoa au kuolewa? Hao mahandsome na mapande ya jitu nimeshawaona na nimeahakuwa nao wengi sijaona kipya na kizuri walichonifanyia what I need is someone ambaye tutaheshimiana katika biblia hamna sehemu iliyoandikwa wanawake wapendeni waume zenu noo bali wanawake waheshimuni waume zenu ukimuheshimu mwanaume wako hapo ndipo upendo huzaliwa hayo ni maoni yangu na kamwe hatuwezi kufanana mawazo me am online!!!!!!!
 
Pole, samahani kama nimekukwaza.Ila kiukweli umehitimisha vibaya dada yangu mpendwa.Hebu soma tena mada yako.
Wengi wenye disability hujiona hawana thamani na hawawezi kupendwa, ni wagumu kuonesha hisia zao mbele zetu wanawake kwa kuogopa kuwa humiliated kwa jinsi walivyo, binafsi sijali uumbaji wa Mungu as long as anajielewa na kuweza kusimama kama baba wa familia ndicho nilichomaanisha, after all bado naelewa kuwa tumeumbwa tofauti kimtazamo na wengi watashangaa sababu wanawake wengi wanapenda sana high level person mimi niko tofauti kutokana na mengi niliopitia nimejifunza na nimefundishika vilivyo.
 
Mkuu, na sisi wa Ushirombo, Lyambamgongo tuliopo Bukombe mkoani Geita ndani ndani huko..... Je tunayo nafasi ya kukutoa upweke hata kama hatujawahi kufika Daslam...!!??
 
Kila mtu ana taste yake, ndio maana tumeumbwa tofauti kilema sio ugonjwa, ina maana vilema wote unaowajua hawajaoa au kuolewa? Hao mahandsome na mapande ya jitu nimeshawaona na nimeahakuwa nao wengi sijaona kipya na kizuri walichonifanyia what I need is someone ambaye tutaheshimiana katika biblia hamna sehemu iliyoandikwa wanawake wapendeni waume zenu noo bali wanawake waheshimuni waume zenu ukimuheshimu mwanaume wako hapo ndipo upendo huzaliwa hayo ni maoni yangu na kamwe hatuwezi kufanana mawazo me am online!!!!!!!
Wengi wenye disability hujiona hawana thamani na hawawezi kupendwa, ni wagumu kuonesha hisia zao mbele zetu wanawake kwa kuogopa kuwa humiliated kwa jinsi walivyo, binafsi sijali uumbaji wa Mungu as long as anajielewa na kuweza kusimama kama baba wa familia ndicho nilichomaanisha, after all bado naelewa kuwa tumeumbwa tofauti kimtazamo na wengi watashangaa sababu wanawake wengi wanapenda sana high level person mimi niko tofauti kutokana na mengi niliopitia nimejifunza na nimefundishika vilivyo.
Mbona ww ni wife material kbs,sikutegemea kama ungekuwa na kauli nzuri namna hii,ila wanaume wengi kuishi nyumba ya mwanamke kwakweli hapo ndio kwenye kigugumizi...
 
Nasikiaga wangoni wazuri sana kitandani na wavumilivu sana kwenye ndoa kama uchache wao. Ila sasa ilo swala la kuja kuishi kwako ndo tatzo linaanzia hapo labda tuuze iyo nyumba tukajenge kwingine ili watu wanione nimeshiriki ujenzi. Hahahaaa
 
Siwezi kumwambia mwanaume aje aishi kwangu hayo yatakuwa makubaliano yetu kadri tutakavyoona inafaa
 
Nasikiaga wangoni wazuri sana kitandani na wavumilivu sana kwenye ndoa kama uchache wao. Ila sasa ilo swala la kuja kuishi kwako ndo tatzo linaanzia hapo labda tuuze iyo nyumba tukajenge kwingine ili watu wanione nimeshiriki ujenzi. Hahahaaa
Wanawake wote ni wazuri kitandani kwani sisi ni wachezaji tu na nyie ndo marefa kazi kwako refa kuuchezesha mchezo
 
Unaonekana ni mwanamke unayeijuwa thamani ya mwanaume hasa yule atakayekuoa ila najiuliza utaweza vipi kutofautisha yupi anakufaa japo si jambo gumu ila kwako shinikizo kubwa ni upweke uliokuwa nao...Zaidi nimefurahishwa na majibu yako yaliyojaa hekima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom