Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,611
najitahidi but naishia njianiTafuta kidada chochote huko mtaani kwenu kisha kitengeneze kikupende
najitahidi but naishia njiani
Una matatizo gani Tajiri? Ebu funguka inawezekana kukosa mpenzi inatokana na ilo tatizo.Jamani mi mpweke sio kawaida sio kawaida sio kawaida namaanisha nateseka sana na upweke.
Sielewi kwanini nashindwa kupata mpenzi wa kuniliwaza.
Si ajitokeze binti yeyote anipende na mimi jamani.
Natajitoa sadaka kwa mwanamke yeyote atakayejitokeza na kunipa moyo wake na hii naweka nadhiri kwa Mungu.
Mimi ni kijana wa kawaida umri 25 years mkazi wa Dar.
Sina ubaguzi wa rangi dini au kabila binti yeyote atakayeguswa na hili ikampendeza karibu tujenge malengo, umri sio kipaumbele changu cha msingi mioyo yetu ipatane.
sijaajiliwa ila nafanya internship ofisi fulani.Unafanya kazi gani?
Kipato chako ni kiasi gani?
Maeneo yako ya kujidai ni yapi?
Una elimu gani?
Umeshawahi kuwa kwenye mahusiano kabla?
Majibu ya hayo maswali ni namna ya kwanza ya kuelewa ukubwa wa tatizo lako kabla sijalipeleka swala lako mbele.
kiufupi sina matatizo kiafya ila nadhani uogaUna matatizo gani Tajiri? Ebu funguka inawezekana kukosa mpenzi inatokana na ilo tatizo.
Ushasema story ilkufanya kua muoga kuingia kwnye mahusianosijaajiliwa ila nafanya internship ofisi fulani.
mi mtu wa club kias ila mda mwingi nikiwa free nafanya mazoezi na kucheza mpira then kulala.
nimewahi kuwa na mahusiano my last relationship ilikua mwez wa 6 kuna story kubwa iliyosababisha kua muoga kuingia katika mahusiano till now
sijaajiliwa ila nafanya internship ofisi fulani.
mi mtu wa club kias ila mda mwingi nikiwa free nafanya mazoezi na kucheza mpira then kulala.
nimewahi kuwa na mahusiano my last relationship ilikua mwez wa 6 kuna story kubwa iliyosababisha kua muoga kuingia katika mahusiano till now
Ondoa uoga mkuu ,mbona hawatishi? Ungejua na wao wakikuona wanakuhitaji uwatongoze usingeogopa...Usianze na wa matawi ya juu ,anza kutongoza mahouse girl ili kujijengea confidence.kiufupi sina matatizo kiafya ila nadhani uoga