MaT2B
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 790
- 2,373
- Thread starter
- #21
Hapo ndio na mimi nashangaa, inakuwaje!!Mbona mademu wapo wengi sana mkuu wanatafuta ndoa kwa nguvu zote.
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app

tunaruhusiwa kuja pm kukufariji?Nisaidieni mbinu za kupata mdada ile nianzishe nae Urafiki then mahusiano serious.
Nina umri wa miaka 28, sijawahi kuwa kwenye serious relationship. Natamani sana nipate mdada tupendane ila ndio hivyo sijui sina bahati au ni mdomo mzito.
Nipeni mbinu. Jioni hii nimetoka kutafuta sijapata hata mmoja.
Mfano
Kuna huyo nimemuona anakuja upande wangu, alipokaribia nikamuita. Akanikaushia hata hakugeuka kunitazama.
Napata shida na upweke, hapa usiku naona mrefu sana.
Nisaidieni mbinu za kupata mdada ile nianzishe nae Urafiki then mahusiano serious.

ngoja nije🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️Karibuni

We figo76 msaidie mwenzioNisaidieni mbinu za kupata mdada ile nianzishe nae Urafiki then mahusiano serious.
Nina umri wa miaka 28, sijawahi kuwa kwenye serious relationship. Natamani sana nipate mdada tupendane ila ndio hivyo sijui sina bahati au ni mdomo mzito.
Nipeni mbinu. Jioni hii nimetoka kutafuta sijapata hata mmoja.
Mfano
Kuna huyo nimemuona anakuja upande wangu, alipokaribia nikamuita. Akanikaushia hata hakugeuka kunitazama.
Napata shida na upweke, hapa usiku naona mrefu sana.
Mpe mbinu sasaTatizo lako unawatafuta kama jinsi unavyofata mahitaji sokoni.
Change your strategy mkuu
Mi mwenyewe mpweke ila naishi....komaa mkuu