Upweke unanitesa, nahitaji mpenzi wa kunifariji

Mimi ni binti 25yrs, nahitaji mpenzi au mtu wa kuwa karibu nami na faraja, iam going through hard time kiasi na kwa magumu ninayopitia nahitaji rafiki mmoja wa pekee ataenifariji na kunishika mkono nikiwa na huzuni, atanifariji nikiwa mpweke atanipa
kampani nikilia atanifuta machozi.

Nilijaribu mahusiano kadhaa yakaishia vibaya, naomba uwe mwanaume uliepevuka kiakili sio mvulana, uwe na akili ya maisha sio kilaza, mkristo tu.

Angalizo;
Kama unajijua huna nia ya dhati usisogee pm
Kama una mpenzi usisogee pm.
.
Nipo mama nami nimechoka upweke
 
Mwenye sifa zote hizo ni Yesu peke yake.
Mkaribishe yeye utapata amani isiyo ya kawaida.
Hawa wa duniani watakuongezea stress tu.

Huyu wa duniani asipopokea simu utaanza kuwaza mengine,mara hapatikani hewani bp hiyo lkin sio shelimara sijui anawasiliana na x wake mawasiliano ya kawaida kimuhemuhe kimeshakupata.

In short matatizo ni mengi na mapungufu tunayo lkni mtihani unakuja pale ambapo unashindwa kuyachukulia mapungufu wa mwenzako na kuyainjoyi haya maisha.

Kila la kher ktika kufanya maamuzi
Sometimes Yesu mnamsinginzia!
 
Sometimes Yesu mnamsinginzia!
Halafu hawamjui, mwenyewe kawaambia kwamba, wasisumbukie ya ulimwengu huu, watafute kwanza ufalme wa Mungu na mengineyo, yote watapewa kwa "ZIADA".

Leo wao wanatamani wamuone sijui awakanushie hayo, daily wanambebesha hayo aliyowataka wasiyahangaikie, wala yale walioambiwa wayasumbukie hawana shida nayo. Huu Ukristu ni shida kweli, matangazo ya makanisa na wachungaji hayana tofauti kimaudhui na matangazo ya waganga wa kienyeji 'wale wachawi' wote wanahubiri injili yao mpya, "tafuteni kwanza ya ulimwengu huu, 'mbinguni hata uwepo wake ni wamashaka' " vichunguzeni vibao vya matangazo yao.
 
Well said mkuu!
 
Mimi ni binti 25yrs, nahitaji mpenzi au mtu wa kuwa karibu nami na faraja, iam going through hard time kiasi na kwa magumu ninayopitia nahitaji rafiki mmoja wa pekee ataenifariji na kunishika mkono nikiwa na huzuni, atanifariji nikiwa mpweke atanipa
kampani nikilia atanifuta machozi.

Nilijaribu mahusiano kadhaa yakaishia vibaya, naomba uwe mwanaume uliepevuka kiakili sio mvulana, uwe na akili ya maisha sio kilaza, mkristo tu.

Angalizo;
Kama unajijua huna nia ya dhati usisogee pm
Kama una mpenzi usisogee pm.
.
Awe mkristo tuu wengine hutaki acha zako wakati bado binti mdogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom