fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 667
- 721
Hamjambo wadau?
Nimekuja hapa kupata msaada wa ushauri kwa hali yangu hii,miaka ya nyuma kidogo nilikua nina furaha sana katika love and sex life yangu,japo nilikua sina mpenzi mmoja ila nilikua nafurahi everymoment of my life mpaka last year nilipopata mpenzi ambaye alinifanya nitulie na nimuone kama my future wife,tulikuja kuachana baada ya kugundua kua huyu mwanamke ni maji mara moja yaani mtu akimshawishi kidogo tu kakubali kama ukawa ilicoshawishiwa na lowassa,yaani my two friends walimtongoza akakubali na nikamfanyie test ya new number bila kunijua kwa kuchat tu whatsapp akathubutu kunitumia picha zake za utupu,niliumia sana ila nikapotezea
Sasa inapita 8 month nimeishi maisha ya upweke sana sana miezi ya mwanzoni nilikua hata najaribu kufukuzia girls ila wakinitosa napotezea ila kwa kipindi kama miezi minne hivi nimekua sina hata hisia ya mwanamke yaani hata siwawazi,sifkiri hata sex kitu ambacho nilikua siwezi kukikosa,nimekua completely numb,ni mimi na kama mimi hata washkaji wakipiga stori za wanawake sichangii waka sihis chochote,kuna wanwake wawili wanajileta ila hata sihisi chochote,Upweke umekua kama rafiki yangu na nimetokea kuupenda sana sababu it is always on my side,upweke hautokuja kunisaliti..
je ni hali ya kawaida baada ya kuumizwa?au kuna kitu chengine behind this?