Upweke unanimaliza, naombeni msaada

Upweke unanimaliza, naombeni msaada

No wife, no kids, no job and still live in my mother place.

Wakuu, nimemaliza chuo four years previously baada ya kusoma sana kwa shida kutokana na kutokuwa na wa kunilipia ada. Toka nimemalize mpaka leo sijapata kazi zaidi ya kufanya kazi ngumu kama porter mlima Kilimanjaro na wakati mwingine nikawa napata za kufunga hema mbuga za wanyama ama kufua nguo za wageni, lakini toka rais aanze kubana na kazi zenyewe hazionekani tena.

Nipo kwenye nyumba ya mama till now na miaka ndio inayoyoma sana coz am over 30 saa ingine uwa naona ata aibu kutembea barabarani. Pamoja na hayo sina ata mtoto ila to be honest I wish even to have a single child, girls today are really tough to handle and I can't afford them, nimebaki njia panda sijui nilisoma ya nini ningejua maisha yangewa magumu hivi ningempa mtu mimba kipindi nipo chuo coz kuna fursa nilikuwa nazipuuzia.

Naombeni ushauri wenu wakuu labda utanisaidia na kunipa mwanga maana maisha yamekuwa magumu sana.
Njooo pm mkuu
 
Stay positive, usikate tamaa na usikubali kuvaa pazia la woga wa aibu, piga moyo konde mtoto wa kiume, toka, pitapita huku na kule, riziki ya mbwa imefungwa mguuni mwake, ukijifungia ndani it may become worse! Communicate na watu mbalimbali, usione aibu kabisa, tumia mtandao kusaka fursa sio kusambaza umbea kama wengine hapa, soma magazeti, soma vitabu kwa wingi, maombi kwa wingi lakini sio kwenye makanisa ya manabii fake na usiende kwa waganga njaa wa kienyeji! Pamoja na hayo jaribu biashara ndogondogo, hata kibanda cha maji, soda, karanga na vocha na kuchaji simu, kitakutoa kwenye hali ya kukata tamaa. Sikushauri Kuoa au kupata mtoto subiri kwanza uandae mazingira ya kuwatafutia riziki, vinginevyo utamzidishia mzigo mama yako, utamuua kabla ya siku zake! Pole sana, you are not alone, piga moyo konde, kuna siku isiyo na jina Mungu atakuinua tu! Best wishes comrade.
 
Back
Top Bottom