Upweke umenichosha

Upweke umenichosha

Rawasen

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
181
Reaction score
73
Tangu nilivoachana na mpenzi wangu wa zamani mwaka jana, nimekua bored all the time na nimegundua kua upweke sio kabisa let engage in other relation and God be front.
 
bora uwe mpweke mkuu kuliko kupata mwenza asiye na mapenz ya kweli,siku hizi makahaba bongo hapa wamebadilisha system ya kujiuza na kutapeli wanaume kwa kutumia kiingereza!!Drama nyiingiiii!
MUNGU ABARIKI
 
yaan tuache masihara anachosema Rawasen ni ukweli ukizoea gmorn, umekula, uko wapi mpenz then vikafutika gafla duu yataka moyo.
ila nakushauri usikueupuke kuanzisha mahusiano unaweza ileunasema afadhali ukaona bongela endless sad movie ukatonesha kidonda. minlikuwa nahisi upweke miezi sita ya kwanza but sahiv cjui nshasahau kuwa kuna issue ya mahusiano kama 3 years hiv and am comfortable nataman niendelee hivihiv
 
Take time usitafute mapenzi kisa upweke umekuchosha... Always I beliave that "in love every thing comes automatical"
 
Kama umeamua God awe front nakushauri uoe kabisaa, ili awe front katika ndoa yako milele.
 
Rawasen
Kweli best upweke mbaya, Mungu akutangulie mbele umpate wa kukuliwaza!
 
Last edited by a moderator:
hiyo kitu ipo sana,haya maplayer wana watu wao wanaowapenda,wakiachwa wanaumia sana upweke mwingi
 
hiyo kitu ipo sana,haya maplayer wana watu wao wanaowapenda,wakiachwa wanaumia sana upweke mwingi

Sijui nikuache ili uexperience hilo balaa kidogo tu!
 
Mkuu anza relation na PESA wanawake watakuja automatically...

The more u become successful, the more they come closer and VICE VERSA.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom