Upweke: Muuaji wa kimya kimya

Upweke: Muuaji wa kimya kimya

Chuganian upweke sio kukaa peke yako au kua mbali na watu,,upweke ni wewe kutokua karibu na wewe...wewe kutokua karibu yako mwenyewe huo ndio upweke haswa,,kukaa mbali na watu ni kujitenga
wewe kutokua karibu yako mwenyewe kivp
 
Ndiyo inanitesa sana, nikitoka job (mostly around 8pm), najifungia ndani napiga larger zangu ila ulevi ukiisha naendelea kuwa-bored day after another!!!
mpaka ufanyiwe canceling labda

maake hilo lishakuwa tatizo
 
Habari za jioni waungwana,kwa wale wenzangu tuliotendwa na kujikuta mnajisemea "mapenzi tena sitaki", mnafanya nini Ku overcome upweke? Upande wangu ni kula lager tu ila hainiponyi sana

Achana na lager iyo ni addiction Kama addictions zingine na wala halitatui tatizo and make things worse,cha msingi face ur problems as they are, Kama umeumizwa angalia wapi umekosea na tatua tatizo kwa anzia hapo,lakin pia jifunze kusamee nafsi yako na sema people are not perfect and move on ila Kama inakuwia vigumu Sana Fanya mazoezi,kula vizuri,jijari na jikite kweny kazi,one of positive influence about negative emotions you can channel them to work for you,write down goals ulitaka kuachive in life anza kuwork hard nazo kutumia izo negative energies utakua umeua ndege wawil kwa jiwe moja,you have reach ur goals and get rid of negative emotions,..

N.B
Avoid being alone to help you detached

Delete all ur x files

Usiwe victim wa negative emotions zako kwa kujilaumu au kumlaum aliye kutenda

Be fresh all the time

And stay positive, eat well,sleep well, speak well and Fanya mazoezi sana
 
Kikweli upweke unatesa sana watu wengi hawaelewi tu,
hata ujichanganye vipi na watu, mwisho wa siku utaingia ndani peke yako na upweke utakuvaa...

Fanya mazoezi pale unaporudi nyumbani kama huwezi jishughulishe na kitu chochote hata kufanya usafi ndani kwako.

Sali, ikijiweka karibu na Mola wako itakusaidia,

Soma vitabu hasa vya dini itakujenga kiimani na kujiona hauko peke yako,

Usipende sana kusikiliza nyimbo za huzuni, zinaongeza hali ya kijihisi mpweke.

Kama mpenzi wa movie, pendelea kuangalia movies za kuchekesha, kucheka kunaleta ahueni katika nafsi.

Pia waweza fanya matembezi ya jioni hata kwenda kula dinner mahali kuliko kula peke yako, kuona watu huko nje kutakufanya ukirudi nyumbani ufikirie matukio kadhaa uliyoyaona na kusahau upweke wako,

Jiunge na sites flani za kutafuta marafiki, huko utakutana na watu tofauti tofauti, mtashare stories na kusahau upweke wako.
 
Kweli@evenhurt kwani nimekuwa nikisikiza miziki ya hudhuni kama "Chikitita tell me what's wrong",nitapunguza kusikiliza
 
Pole mkuu!!! Binadamu hatukuumbwa kua peke yetu!!! Utaona mambo hayajakamilika tu... Kama umetendwa jipe mda hisia zijikusanye alafu tafuta mtu mwingine
 
Kweli@evenhurt kwani nimekuwa nikisikiza miziki ya hudhuni kama "Chikitita tell me what's wrong",nitapunguza kusikiliza
Chiquitita, you and I know
How the heartaches come and they go and the scars they're leaving
You'll be dancing once again and the pain will end..


bonge ya wimbo hiyooo
 
Chiquitita, you and I know
How the heartaches come and they go and the scars they're leaving
You'll be dancing once again and the pain will end..


bonge ya wimbo hiyooo
You will have no time for grieving
Chiquitita, you and I cry
But the sun is still in the sky and shining above you
Let me hear you sing once more like you did before
Sing a new song, Chiquitita
Try once more like you did before
Sing a new song, Chiquitita

Umenikumbusha zamani sanaaa aiseee. Darasa langu la 4 najifunza kuimba na kuzijua hizi nyimbo,pamoja na I have a dream & viva forever.
 
You will have no time for grieving
Chiquitita, you and I cry
But the sun is still in the sky and shining above you
Let me hear you sing once more like you did before
Sing a new song, Chiquitita
Try once more like you did before
Sing a new song, Chiquitita

Umenikumbusha zamani sanaaa aiseee. Darasa langu la 4 najifunza kuimba na kuzijua hizi nyimbo,pamoja na I have a dream & viva forever.
hahahaaa!! you are gud too man!
my best part is

I have a dream, a fantasy
To help me through reality
and my destination makes it worth the while
pushing through the darkness still another mile
i believe in angels.........

hahahah, viva forever bro!! ni wimbo wa kike sana huo nilikuwa natupa huko, though ni mzuri, naweza kukusamehe kwakuwa ulikuwa wimbo poa
 
Back
Top Bottom