Upweke: Muuaji wa kimya kimya

Upweke: Muuaji wa kimya kimya

Nafanya kazi ambayo ethics zake hainiruhusu kujichanganya na watu hovyo hovyo; nifanyeje? (Mi-ni muhanga pia)
ani pamoja na kuwa busy muda wote lakini bado hiyo hali inakutesa??
 
Siamini katika kuachwa hata iwaje!! Hii Dunia ni kubwa sana,, madem wanalia hawana watu huko mtaani
 
Habari za jioni waungwana,kwa wale wenzangu tuliotendwa na kujikuta mnajisemea "mapenzi tena sitaki", mnafanya nini Ku overcome upweke? Upande wangu ni kula lager tu ila hainiponyi sana
Hali ya kuachwa au kuachana katika mapenzi kwa sababu mbalimbali zipo,sababu ambazo hupelekea mtu kuwa na upweke.
Ushauri wangu,tafuta mtu unaemfahamu anae kufahamu na akakusikiliza then akakuelewa,akaelewa hisia zako. Kuongea na mtu it helps kuelezea hisia zako za ndani ambazo unatamani kuzitoa Yaani Kama donge Fulani linakukaba kooni. U will get a relief.
 
usipendelee sana kukaa pekeako
jichanganye na watu itakusaidia
Chuganian upweke sio kukaa peke yako au kua mbali na watu,,upweke ni wewe kutokua karibu na wewe...wewe kutokua karibu yako mwenyewe huo ndio upweke haswa,,kukaa mbali na watu ni kujitenga
usipendelee sana kukaa pekeako
jichanganye na watu itakusaidia
 
Ndiyo inanitesa sana, nikitoka job (mostly around 8pm), najifungia ndani napiga larger zangu ila ulevi ukiisha naendelea kuwa-bored day after another!!!
That makes the two of us
 
  • Thanks
Reactions: Ntu
Back
Top Bottom