Upuuzi wa Star TV...

Tdm255

Member
Mar 17, 2018
8
3
Leo Star TV mmenikera sana katika kurusha matangazo yenu kwenye kurusha kipindi cha BBC saa 3 usiku. Taarifa inasomwa mnakata mnatuwekea matangazo ikiishapita mnturudisha tena kana kwamba kuna baadhi ya taarifa hazipaswi kusomwa katika kituo chenu.

Mmetukomoa kwa kutowasikiliza wahanga wa mauaji kisiwani zanzibar. Ni kama mmefurahishwa na kitendo kilicho wakumba watanzania wenzetu.

Hatutavumilia upuuzi huu. Uozo huu unakoma kuanzia kesho. Kura yangu .... Sauti yangu. 2020 sirudii tena kosa
 
Wana saccos, kama hawajasikia Habari za Lissu huwa wanawashwa washwa sijui na nini. Lissu hawezi kuwa Rais.
 
Leo Star TV mmenikera sana katika kurusha matangazo yenu kwenye kurusha kipindi cha BBC saa 3 usiku. Taarifa inasomwa mnakata mnatuwekea matangazo ikiishapita mnturudisha tena kana kwamba kuna baadhi ya taarifa hazipaswi kusomwa katika kituo chenu.

Mmetukomoa kwa kutowasikiliza wahanga wa mauaji kisiwani zanzibar. Ni kama mmefurahishwa na kitendo kilicho wakumba watanzania wenzetu.

Hatutavumilia upuuzi huu. Uozo huu unakoma kuanzia kesho. Kura yangu .... Sauti yangu. 2020 sirudii tena kosa
Wana tabia za ajabu sana,leo wameweka tangazo taarifa Human rights watch.
 
Leo Star TV mmenikera sana katika kurusha matangazo yenu kwenye kurusha kipindi cha BBC saa 3 usiku. Taarifa inasomwa mnakata mnatuwekea matangazo ikiishapita mnturudisha tena kana kwamba kuna baadhi ya taarifa hazipaswi kusomwa katika kituo chenu.

Mmetukomoa kwa kutowasikiliza wahanga wa mauaji kisiwani zanzibar. Ni kama mmefurahishwa na kitendo kilicho wakumba watanzania wenzetu.

Hatutavumilia upuuzi huu. Uozo huu unakoma kuanzia kesho. Kura yangu .... Sauti yangu. 2020 sirudii tena kosa
Mbona Dialo mwana CCM Tena nguli
 
Back
Top Bottom