upuuzi wa ccm na VIBARAKA WAKE;

upuuzi wa ccm na VIBARAKA WAKE;

mimi sinta kujibu kwa matusi yako kijana,wanao sema ukweli nyie ccm mna waita wa puuzi anaesema ukweli na mkwepa ukweli nani mpuuzi? Tatizo la wana ccm ni kutokubali ukweli, wapi chadema imeleta vurugu? Kama sio jeshi lenu la polisi? Kudai haki na kulinda mafisadi ni lipi vurugu? Nani asiyejua hila zilizo fanywa na ccm tangu lema aliposhinda arusha? Jibu narudia tena asiye mwana arusha asiisemee arusha wana arusha wanajua mbinu zote na hila za ccm kuifanya arusha isitawalike na kuisingizia chadema kama unabisha subiri tarehe 30 wana arusha watau dhiirishia uma ccm kwisha arusha,

Usipoteze muda wako kuwajibu wapuuzi
 
Tatizo chadema wanaona kama wao wameshushwa na Mungu ili waiongoz nch kwa mabavu.4get tht bado wachanga sana.
 
Matukio mengi ya vurugu, umwagaji damu na uhalifu yanaihusisha chadema mf ni la kibanda na la tindikali igunga

Kibanda alitekwa na vijana wa Mwigulu.
Mwangosi aliuawa na Policcm.
Arumeru ccm waliua
Igunga vijana wa mwigulu walimwagia tindikali kijana wa watu, leo Mwigulu kamfanya kimbola.

Chadema ingemdhuru mtu leo hii wangekuwa wanaozea jela.

CCM nawachukia kutoka moyoni
 
Mkuu PRINCE CROWN,
Yote uliyoyasema ndiyo ukweli wenyewe, kwakweli hali ya ccm Arusha ni tata kabisa. Kuna wagombea udiwani wa ccm walikuwa wanajiunga na chadema tarehe 18, bahati yao polisi walivuruga mkutano kwa kupiga mabomu!

CCM hata waje na mapanga nasema tutalinda kura hakuna utani.

Pinda amewapa mamlaka polisi kuwapiga raia, maana yake ni kwamba raia nao wamepewa kibali cha kujitetea! Arusha hatutishwi na Pinda wala mama yake na nani
Katibu wa chadema mkoa wa kinondoni yuko jela kwa kumwagia mtu tindikali
 
Ndiyo propaganda zenu mnataka kui qualify. Haki haijawahi kushindwa na dhuluma hata siku moja!
Kileo amekamatwa kwa hila ili kuiaminisha umma uwongo wenu na hila. Mtawakamata wengi kwa hila lakini nakuambia mwishobwa yote ni chadema washindi
 
Kwanza nenda shule ukajifunze kuandika jambo na kulipa shape ya kueleweka kwa wasomi na waelewa,nashukuru umesema una uelewa mdogo,lakini ndani ya CHADEMA kuna waelewa wengi tena chuo kikuu,jitahidi wakati mwingine waone wakusaidie ku-shape stori yako then leta humu.Humu kuna Great Thinkers kibao sasa unapokuja na uelewa wako mdogo unazidi kujiaibisha pamoja na kwamba una jambo muhimu!

La pili sikiliza wewe Dogo mwenye uelewa Mdogo,hakuna ubishi kwamba Chadema inakubalika Arusha,na hakuna Ubishi kwamba Chadema haiongozi Arusha,hilo liko wazi na kwa watu wenye akili kubwa na uelewa kama sisi tunalitambua hilo,isipokuwa tatizo ni kwamba hakuna amani Arusha.

Kwa maelezo yangu hapo juu na kwa nguvu iliyonayo CHADEMA mjini Arusha nilitegemea sana kupata matokeo chanya na viongozi wake walipaswa kutumia mwanya huo kuliweka jiji la Arusha katika ramani nzuri kwa sababu kuna faida nyingi kwenye jiji hilo na moja kubwa ni kwamba ni jiji linaloingilika sana na wageni kutoka nje ya nchi,sasa wangetumia kuweka kila kitu sawa ikiwa ni pamoja na siasa zake zinazoongozwa na Chadema ili wageni wapate la kusema.

Kibaya sana na kinachonishangaza ni kiwamba kila vurugu na mauaji ya watu ni lazima zitokee kwenye mkutano wa chadema,ok.yawezekana ni wapinzani wao CCM ndio wanaowafanyia hivyo ili waonekane wana vurugu,lakini kwa sababu kuna watu wengi ndani ya Chadema ni Great Thinker walipaswa kubadili mbinu na kutumia mbinu nyingine katika kufanya siasa zao.

Leo hii hata wageni wanaobahatika kuingia Arusha na kushuhudia matukio hayo,wanaondoka na sura kwamba Chadema ndio wakiorofi.nasema sipendi,sipendi sipendi kabisa.

Hivi Chriss Lukosi yupo wapi...? Nadhani yale magonjwa yake kuna watu kawaambukiza..
 
Kibanda alitekwa na vijana wa Mwigulu.
Mwangosi aliuawa na Policcm.
Arumeru ccm waliua
Igunga vijana wa mwigulu walimwagia tindikali kijana wa watu, leo Mwigulu kamfanya kimbola.

Chadema ingemdhuru mtu leo hii wangekuwa wanaozea jela.

CCM nawachukia kutoka moyoni
hii ni sehemu ya taarifa ya jukwaa la wahariri kuhusu kutekwa kibanda chadema imehusika
3.4. Kibanda hakuhama Free Media kwa amani. Uchunguzi unaonyesha kuwa miezi kadhaa kabla ya kuondoka kwake alianza kupoteza mamlaka. Mwenyekiti wa Kampuni ya Free Media Ltd, Freeman Mbowe alianza kumsikiliza zaidi msaidizi wake ambaye alikuwa Naibu Mhariri Mtendaji, Ansbert Ngurumo kuliko yeye Kibanda. Kwa maneno yake, anasema:“Nilihofu kuwa Mbowe anaweza kutugombanisha. Nikaona ni bora niondoke nisije nikagombana na Mbowe au Ngurumo.”Anasema alianza kupoteza mamlaka yake na kutoaminika kwa mwajiri wake baada ya kuandika makala kuhusu Abdulrahman Kinana ambayo kabla ya kuiandika hakuwa na wazo la kuondoka. Yaliyofuata baada ya makala hiyo, yalimshukuma aondoke.
 
Hii ni sehemu nyingine ya taarifa ya tume ya jukwaa la wahariri. Kada wa chadema anahusika
4.1. Uchunguzi ulifuatilia masuala mbalimbali ikiwamo miendendo ya watu waliotajwa kwa njia moja au nyingine kuhusinaa na tukio hili. Hata hivyo, karibu watu wote waliohojiwa, akiwamo Kibanda mwenyewe aliyeumizwa walimtaja kwa kutilia shaka mwenendo wa kijana Joseph Ludovick. Hofu yao, iliongezwa nguvu na maandishi aliyoyachapisha Ludovick kwenye mitandano ya kijamii siku ya Machi 6, 2013.
 
Ndiyo propaganda zenu mnataka kui qualify. Haki haijawahi kushindwa na dhuluma hata siku moja!
Kileo amekamatwa kwa hila ili kuiaminisha umma uwongo wenu na hila. Mtawakamata wengi kwa hila lakini nakuambia mwishobwa yote ni chadema washindi
Watu wabaya sana nyie, kwann mlitaka kumuua mamake zitto kwa bastola???
 
Kwanza nenda shule ukajifunze kuandika jambo na kulipa shape ya kueleweka kwa wasomi na waelewa,nashukuru umesema una uelewa mdogo,lakini ndani ya CHADEMA kuna waelewa wengi tena chuo kikuu,jitahidi wakati mwingine waone wakusaidie ku-shape stori yako then leta humu.Humu kuna Great Thinkers kibao sasa unapokuja na uelewa wako mdogo unazidi kujiaibisha pamoja na kwamba una jambo muhimu!

La pili sikiliza wewe Dogo mwenye uelewa Mdogo,hakuna ubishi kwamba Chadema inakubalika Arusha,na hakuna Ubishi kwamba Chadema haiongozi Arusha,hilo liko wazi na kwa watu wenye akili kubwa na uelewa kama sisi tunalitambua hilo,isipokuwa tatizo ni kwamba hakuna amani Arusha.

Kwa maelezo yangu hapo juu na kwa nguvu iliyonayo CHADEMA mjini Arusha nilitegemea sana kupata matokeo chanya na viongozi wake walipaswa kutumia mwanya huo kuliweka jiji la Arusha katika ramani nzuri kwa sababu kuna faida nyingi kwenye jiji hilo na moja kubwa ni kwamba ni jiji linaloingilika sana na wageni kutoka nje ya nchi,sasa wangetumia kuweka kila kitu sawa ikiwa ni pamoja na siasa zake zinazoongozwa na Chadema ili wageni wapate la kusema.

Kibaya sana na kinachonishangaza ni kiwamba kila vurugu na mauaji ya watu ni lazima zitokee kwenye mkutano wa chadema,ok.yawezekana ni wapinzani wao CCM ndio wanaowafanyia hivyo ili waonekane wana vurugu,lakini kwa sababu kuna watu wengi ndani ya Chadema ni Great Thinker walipaswa kubadili mbinu na kutumia mbinu nyingine katika kufanya siasa zao.

Leo hii hata wageni wanaobahatika kuingia Arusha na kushuhudia matukio hayo,wanaondoka na sura kwamba Chadema ndio wakiorofi.nasema sipendi,sipendi sipendi kabisa.

Nakumbuka usemi wa wahenga usemao "YULE MNYAMA MLINZI UKIMJUA JINA HAKUSUMBUI".Lkn pia wanasema msingi wa maisha ya mwanadamu akishazaliwa ujengwa tangia utotoni mwake hii ni kwa sie tuliye bahatika kucheza pamoja na watoto wenzetu! Mfano kuna mchezo ule wa watoto munaigiza kuna baba,mama,watoto,sungura,mbwa n.k..... Sasa ukiona wewe kila siku unachaguliwa kuwa MBWA kuna hatari ya maisha yako yatakuwa na tabia ya ki mbwa mbwa tu ,Ukichaguliwa kuwa baba kila siku basi kunauwezekano wa kuwa baba bora huko baadae, Na vilevile hata ukiwa mama,Ukiwa sungura utakuwa mjanja mjanja ktk maisha yako,Ukigiza fisi utakuwa na tabia za kifisifisi pia n.k.....
Note;HATA UJINGA NAO NI KIPAJI.Mtu unakiri mwenyewe hujamuelewa halafu unachangia! Sasa unachangiaje hoja usiyoielewa GT wewe?
 
machadema hayatufai tanzania.

watanzania wanaipenda sana tatizo na wasio ipenda ni wewe na magamba wenzako ambao kuiba kwa sasa ni kwa mashaka wote wasio ipenda cdm ni wezi na mafisadi,wapemda haki wote ni chadema upo?
 
Kwanza nenda shule ukajifunze kuandika jambo na kulipa shape ya kueleweka kwa wasomi na waelewa,nashukuru umesema una uelewa mdogo,lakini ndani ya CHADEMA kuna waelewa wengi tena chuo kikuu,jitahidi wakati mwingine waone wakusaidie ku-shape stori yako then leta humu.Humu kuna Great Thinkers kibao sasa unapokuja na uelewa wako mdogo unazidi kujiaibisha pamoja na kwamba una jambo muhimu!

La pili sikiliza wewe Dogo mwenye uelewa Mdogo,hakuna ubishi kwamba Chadema inakubalika Arusha,na hakuna Ubishi kwamba Chadema haiongozi Arusha,hilo liko wazi na kwa watu wenye akili kubwa na uelewa kama sisi tunalitambua hilo,isipokuwa tatizo ni kwamba hakuna amani Arusha.

Kwa maelezo yangu hapo juu na kwa nguvu iliyonayo CHADEMA mjini Arusha nilitegemea sana kupata matokeo chanya na viongozi wake walipaswa kutumia mwanya huo kuliweka jiji la Arusha katika ramani nzuri kwa sababu kuna faida nyingi kwenye jiji hilo na moja kubwa ni kwamba ni jiji linaloingilika sana na wageni kutoka nje ya nchi,sasa wangetumia kuweka kila kitu sawa ikiwa ni pamoja na siasa zake zinazoongozwa na Chadema ili wageni wapate la kusema.

Kibaya sana na kinachonishangaza ni kiwamba kila vurugu na mauaji ya watu ni lazima zitokee kwenye mkutano wa chadema,ok.yawezekana ni wapinzani wao CCM ndio wanaowafanyia hivyo ili waonekane wana vurugu,lakini kwa sababu kuna watu wengi ndani ya Chadema ni Great Thinker walipaswa kubadili mbinu na kutumia mbinu nyingine katika kufanya siasa zao.

Leo hii hata wageni wanaobahatika kuingia Arusha na kushuhudia matukio hayo,wanaondoka na sura kwamba Chadema ndio wakiorofi.nasema sipendi,sipendi sipendi kabisa.

Ujitazame wewe mwenyewe kama umeandika cha maana badala ya kuhangaika kumkejeli mwenzako"
1. ".. kwamba Chadema inakubalika Arusha...hilo liko wazi na kwa watu wenye akili kubwa na uelewa kama sisi tunalitambua hilo,isipokuwa tatizo ni kwamba hakuna amani Arusha" Hapo umeeleza nini cha maana? umeeleza kwamba liko wazi kwako unayejidai kwamba una akili bali kinachokutatiza ni kutokuwepo amani. Umeshindwa kutueleza kinachosababisha ukosefu wa amani lakini bado unajidai una akili. Kama ni CCM ueleze ni kwa vipi na kama ni CDM ni kwa namna gani na utoe vielelezo vinginevyo ulichoandika ni ----- tu. Mimi kwa maoni yangu yanayosababishwa Arusha yanatokana na dola ya nchi ambayo inaundwa na seriakali ya CCM yenye wajibu wa kulinda amani.Muda haunirusu kueleza kwa kina.

2. "walipaswa kutumia mwanya huo kuliweka jiji la Arusha...sasa wangetumia kuweka kila kitu sawa". Mwanya upi na waweke sawa nini? Hivi unapotoa nadharia isiyo na ufafanuzi wowote inamsadia nani.Viongozi wa CDM wananya kazi ya Siasa na wala hawapo kwenye uongozi wa dola. Wanafanya kazi ya kuwashawishi wananchi wawachague viongozi wa chama chao lakini wenye dola ni wengine. Kwa bahati CCM inaitumia dola vibaya kwani inawaagizi wakuu wa mikoa na wilaya na polisi kufanya mambo ya ajabu kama waliyofanya mara nyingi.

3."kila vurugu na mauaji ya watu ni lazima zitokee kwenye mkutano wa chadema,ok.yawezekana ni wapinzani wao CCM...Great Thinker walipaswa kubadili mbinu na kutumia mbinu nyingine katika kufanya siasa zao." Kama unaamini wanaoleta mauaji kwenye mikutano ya CDM ni CCM, suala siyo viongozi wa CDM wabadili mbinu bali ungewashauri CCM waache maaji maana siyo jambo halali. Unashauri watumie mbinu gani? Nadhani huelewi unachokisema. Watu waliokuwa katika mkutano wa kisiasa, hawafanyi vurugu yoyote wala hawamkashifu mtu yoyote, wanaorushiwa bomu halafu mpuuzi kama wewe unakuja na ushauri wa kipuuzi kwamba 'watumie mbinu nyingine katika kufanya siasa".

Kwa taarifa yako waliokufa Arusha wengine hawakuwa kweny mkutano wa siasa bali walikuwa wanafanya shughuli zingine. Vile vile historia inaonyesha kuwa mara nyingi serikali inayotaka kubaki madarakani kwa nguvu huwaua raia wake ikiwaita magaidi, wahaini nk. Vile vile serikali ya namna hiyo haichoki kuwatesa viongozi wa vyama vya upinzani. Jifunza historia wala usihangaike kubuni vitu vipya.
 
Kwanza nenda shule ukajifunze kuandika jambo na kulipa shape ya kueleweka kwa wasomi na waelewa,nashukuru umesema una uelewa mdogo,lakini ndani ya CHADEMA kuna waelewa wengi tena chuo kikuu,jitahidi wakati mwingine waone wakusaidie ku-shape stori yako then leta humu.Humu kuna Great Thinkers kibao sasa unapokuja na uelewa wako mdogo unazidi kujiaibisha pamoja na kwamba una jambo muhimu!

La pili sikiliza wewe Dogo mwenye uelewa Mdogo,hakuna ubishi kwamba Chadema inakubalika Arusha,na hakuna Ubishi kwamba Chadema haiongozi Arusha,hilo liko wazi na kwa watu wenye akili kubwa na uelewa kama sisi tunalitambua hilo,isipokuwa tatizo ni kwamba hakuna amani Arusha.

Kwa maelezo yangu hapo juu na kwa nguvu iliyonayo CHADEMA mjini Arusha nilitegemea sana kupata matokeo chanya na viongozi wake walipaswa kutumia mwanya huo kuliweka jiji la Arusha katika ramani nzuri kwa sababu kuna faida nyingi kwenye jiji hilo na moja kubwa ni kwamba ni jiji linaloingilika sana na wageni kutoka nje ya nchi,sasa wangetumia kuweka kila kitu sawa ikiwa ni pamoja na siasa zake zinazoongozwa na Chadema ili wageni wapate la kusema.

Kibaya sana na kinachonishangaza ni kiwamba kila vurugu na mauaji ya watu ni lazima zitokee kwenye mkutano wa chadema,ok.yawezekana ni wapinzani wao CCM ndio wanaowafanyia hivyo ili waonekane wana vurugu,lakini kwa sababu kuna watu wengi ndani ya Chadema ni Great Thinker walipaswa kubadili mbinu na kutumia mbinu nyingine katika kufanya siasa zao.

Leo hii hata wageni wanaobahatika kuingia Arusha na kushuhudia matukio hayo,wanaondoka na sura kwamba Chadema ndio wakiorofi.nasema sipendi,sipendi sipendi kabisa.
Hapo kwenye RED unamaanisha nini CDM inafanya siasa kwa kuitisha mikutano na mikutano hiyi ndo inavamiwa na Polisi na kushambuliwa kwa Risasi na Mabomu sasa wewe ulitaka wafanyeje au ulitaka wawe wanalihutubia Taifa kupitia TV kama anavyofanya Rais kila mwisho wa mwezi?
 
Back
Top Bottom