Upuuzi Mwingine wa Muungano

Upuuzi Mwingine wa Muungano

Ndio wakome kuichagua ccm, na pia kushadadia kwao na kubariki ndoa ya ccm na cuf.
Matatizo haya wakamueleze Hamad au shein.
 
Kodi ambazo serikali ja JMT inapaswa kuzikusanya TRA wanazishuhulikia ss hao WaZNZ walalamikie hizo kodi zilizoanzishwa na SMZ. Yaelekea matatizo mengi ya SMZ wanayaita "KERO ZA MUUNGANO". Pia natambua muunganiko wa pande mbili hauwezi kukosa kero na matatizo madogo madogo ambayo hupaswa kutatuliwa kila yanapoonekana kuzidi.

Nawashauri wa Znz wapunguze ukubwa wa serikali yao na vyeo ya kisiasa maana hizo kodi wanazolalamikia kulipa ndio zinaenda kuwalipa posho na mshahara yao
 
Hilo la TRA linatukera hata sisi wa BARA. Hii mamlaka ivunjwe na kodi zikusanywe na halmashauri kwa maendeleo ya halmashauri

Weweeeeeeeeeeeee. Halmashauri unazijua wewe??? Ukitaka nchi ifilisike waachie hao halmashauri wakusanye kodi.
 
Kwani huu muungano faida zake ni zipi? Baada yakuzijua ndo tuangalia umuhimu wa kuwepo ama kutokuwepo
Kuna faida tatu kubwa za Muungano.

1. Kuoa na kuoleana

2. Kabla ya ukoloni tulikuwa wamoja

3. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu
 
​Moja kati ya kero ambazo zimeutia dosari kubwa Muungano wa Jamuhuri ya Tanzania ni juu ya Mamlaka ya Mapato TRA.

Leo hii tumeshuhudia kamata kamata ya daladala na gari zote za biashara kwa kodi ya TRA, ambayo ni laki unusu kwa mwaka, sasa wiki hii ambayo ndio ilikuwa deadline ya kulipa kodi hiyo tangu january 2012 imesababisha kero kubwa kwa wakazi wa mkoa wa Mjini Magharibi kwa kukosekana kwa usafiri wa daladala barabarani. Wamiliki hawajalipa kodi hiyo ya TRA, kwa madai kwamba kodi zishakuwa nyingi, ZRB, insurance, Road license na sasa TRA utadhani gari ni mpya na atakayelipa baada ya tarehe 1 april atatakiwa kulipa faini ya 30,000/-Tsh

Hiki kimekua kilio cha muda mrefu na hapaonekani kuwepo jitihada mahususi ya kuondokana na kero hii hivyo wazanzibari wanaona ni bora Muungano uvunjwe ili kodi hii iondoke sambamba na kero nyingine nyingi!

​

Maweeeeeeeeeeeee kama kufikiria kwa ndugu yetu huyu mwisho ni hapo basi tumekwisha.Tufwileeeeeeee.
Yawezaje hii kuwa kero ya muungano?
 
Back
Top Bottom