Upungufu wa viongozi CHADEMA

Wakuu habari zenu na poleni na majukumu ya kujenga Taifa letu...

Kwa muda mrefu nimefikiria kama Chadema kweli kikichukua nchi japo ni(Ndoto ya mchana)kinaweza kuwa na Mawaziri japo wa 5 wenye uwezo wa kuliongoza Taifa hili,ukimuondoa Mh.Zitto, Tundu Lissu na Mnyika.

Kiukweli Chadema inahitaji kuwa na Ombwe la viongozi kama hadi Sugu anakuwa Waziri kivuli? Sio kutegemea umaarufu wa wasanii + kupenda fujo ambazo hazina kichwa wala miguu ndo kuja kupata wafuasi. Taifa litapotea kuwa na viongozi wavuta Bang.i, Wapiga Disco na wengine wengi.

NAWASILISHA WAKUU,,MATUSI SIO LUGHA YA MSTAARABU.

Tumeshuhudia uongozi mahiri wa akina Kawambwa na Mulugo ndani ya CCM.
 
Wakuu habari zenu na poleni na majukumu ya kujenga Taifa letu...

Kwa muda mrefu nimefikiria kama Chadema kweli kikichukua nchi japo ni(Ndoto ya mchana)kinaweza kuwa na Mawaziri japo wa 5 wenye uwezo wa kuliongoza Taifa hili,ukimuondoa Mh.Zitto, Tundu Lissu na Mnyika.

Kiukweli Chadema inahitaji kuwa na Ombwe la viongozi kama hadi Sugu anakuwa Waziri kivuli? Sio kutegemea umaarufu wa wasanii + kupenda fujo ambazo hazina kichwa wala miguu ndo kuja kupata wafuasi. Taifa litapotea kuwa na viongozi wavuta Bang.i, Wapiga Disco na wengine wengi.

NAWASILISHA WAKUU,,MATUSI SIO LUGHA YA MSTAARABU.

una upungufu wa akili kichwani(UPAKI),sasa umwondoe mnyika,Lissu na Zitto uwapeleke wapi?
Mnawatamani hawa watu kama nini,hawawezi kuwa na watu wenye UPAKI kama vile wewe,Nchemba,Nnape na vilaza wengine waliotoroka Milembe.
 
Kuhusu Mh.Zitto ni sawa na usilolijua mkuu.
 
Wakuu habari zenu na poleni na majukumu ya kujenga Taifa letu...

Kwa muda mrefu nimefikiria kama Chadema kweli kikichukua nchi japo ni(Ndoto ya mchana)kinaweza kuwa na Mawaziri japo wa 5 wenye uwezo wa kuliongoza Taifa hili,ukimuondoa Mh.Zitto, Tundu Lissu na Mnyika.

Kiukweli Chadema inahitaji kuwa na Ombwe la viongozi kama hadi Sugu anakuwa Waziri kivuli? Sio kutegemea umaarufu wa wasanii + kupenda fujo ambazo hazina kichwa wala miguu ndo kuja kupata wafuasi. Taifa litapotea kuwa na viongozi wavuta Bang.i, Wapiga Disco na wengine wengi.

NAWASILISHA WAKUU,,MATUSI SIO LUGHA YA MSTAARABU.

Hapo kwenye red tuombe radhi watanzania, Mtu anayeweza kusimama jukwaani na kutukana hovyo wakubwa zake (hata kwa umri) leo awe kiongozi wa watanzania zaidi ya milioni arobaini ? Lisu anayeriact kwa kila jambo kabla hata ya hajalichambua, ali mradi tu hisia zake zinamuelekeza.

Kiukweli hawa jamaa wana upungufu mkubwa wa wenye uwezo wa kuongoza na watanzania tukilogwa na kuwapa nchi tutarajie kina Sugu, Lema, Wenje, Msigwa, Mdee ndio wawe mawaziri. Nchi itakuwa kama klabu ya pombe za kienyeji.Haki ya Mungu nitaenda kumalizia sehemu iliyobaki ya maisha yangu Syria. na hatutarajii katiba mpya kuwa on kabla ya 2015.

Huyo Zitto mwenyewe hata hawamuamini.
 
Wakuu habari zenu na poleni na majukumu ya kujenga Taifa letu...

Kwa muda mrefu nimefikiria kama Chadema kweli kikichukua nchi japo ni(Ndoto ya mchana)kinaweza kuwa na Mawaziri japo wa 5 wenye uwezo wa kuliongoza Taifa hili,ukimuondoa Mh.Zitto, Tundu Lissu na Mnyika.

Kiukweli Chadema inahitaji kuwa na Ombwe la viongozi kama hadi Sugu anakuwa Waziri kivuli? Sio kutegemea umaarufu wa wasanii + kupenda fujo ambazo hazina kichwa wala miguu ndo kuja kupata wafuasi. Taifa litapotea kuwa na viongozi wavuta Bang.i, Wapiga Disco na wengine wengi.

NAWASILISHA WAKUU,,MATUSI SIO LUGHA YA MSTAARABU.

Mkuu mbona ccm ina mawaziri wawili magufuri na mwakyembe na inaongoza nchi?
Kama CDM ina watano basi huo ni mwanzo mzuri.
 
Wakuu habari zenu na poleni na majukumu ya kujenga Taifa letu...

Kwa muda mrefu nimefikiria kama Chadema kweli kikichukua nchi japo ni(Ndoto ya mchana)kinaweza kuwa na Mawaziri japo wa 5 wenye uwezo wa kuliongoza Taifa hili,ukimuondoa Mh.Zitto, Tundu Lissu na Mnyika.

Kiukweli Chadema inahitaji kuwa na Ombwe la viongozi kama hadi Sugu anakuwa Waziri kivuli? Sio kutegemea umaarufu wa wasanii + kupenda fujo ambazo hazina kichwa wala miguu ndo kuja kupata wafuasi. Taifa litapotea kuwa na viongozi wavuta Bang.i, Wapiga Disco na wengine wengi.

NAWASILISHA WAKUU,,MATUSI SIO LUGHA YA MSTAARABU.

Inaonekana kila ukilala unaota Sugu anaKULIBERALI!
 
Hivi wewe unafikiria kwa kutumia kichwa kipi?Nauliza hivyo kama wewe ni mwanamume maake wanaume tuna vichwa viwili kile cha ndani ya chupi na kile cha juu so wewe unatumia kipi kati ya hivi viwli maake mie kama naona unatumia kile cha chini.Hivi unataka kuniambia wale kina Wasirra,Nchimbi,Mulungo,Mathayo,Mwigulu,Komba,Lukuvi nk, pamoja na Kikwete hawa nao ni viongozi kweli mkuu,uliona wapi Rais wa nchi hata haffahamu nini chanzo cha Umaskini kwa nchi yake?Ni Rais wa gani kila siku analalamika pasipo kuchukua uamuzi,Rais gani hata haelewi wananchi wanataka nini kwa mfano wananchi wa Mtwara yeye anakomalia ooh hawa wananchi wa Mtwara hawataki Gas itoke wakati si hivyo,wale wanataka waelezwe faida gani watapata,pia kama alivyowaahidi kuwa Mtwara kutakuwa na Viwanda vingi wakati hadi sasa hakuna hata kimoja,bandari kupanuliwa hakuna na mambo mengi tu.Sasa iweje leo hii akomalie Gas itoke wakati ahadi hata hajazifanukisha huyu naye Kiongozi kweli.Mkuu kama kweli unasmema Ccm mna viongozi basi imekula kwako au kwa kuwa unakula huko wewe na wanao basi huwezi kuona tofauti,ni sawa na kichaa anayemuambia mwenzie kichaa kuwa wewe huna akili kichaa mkubwa ilhali yeye mweneye kaisha so kazi unayo.
 
Breaking news: Robin Van Persie amerejea arsenal na kusaini mkataba wa miaka miwili.
Atakuwa akipokea mshahara wa paundi za kiingereza 300,000 kwa wiki.
 
Mungu tulinde Watanzania na utupe hekima na busara na akili ya kutambua mema na mabaya. I thnk aslimia zaid ya hamsin humu jf ni waloenda shule, lakin mnayochangia puuuuu.
 
Si bora hao kuliko Waziri Alosema Muungano wa Tanzania ni baina ya Tanganyika na Visiwa vya Zimbabwe
 
Jamaa wanapita bloks huku udom kuregister member wa cdm then wakichukua nchi eti ndiyo wawe wakuu wa wilaya, mikoa, wakurugenzi n.k. Hata mimi nimeandikwa. Inafurahisha kweli.
 
Wakuu habari zenu na poleni na majukumu ya kujenga Taifa letu...

Kwa muda mrefu nimefikiria kama Chadema kweli kikichukua nchi japo ni(Ndoto ya mchana)kinaweza kuwa na Mawaziri japo wa 5 wenye uwezo wa kuliongoza Taifa hili,ukimuondoa Mh.Zitto, Tundu Lissu na Mnyika.

Kiukweli Chadema inahitaji kuwa na Ombwe la viongozi kama hadi Sugu anakuwa Waziri kivuli? Sio kutegemea umaarufu wa wasanii + kupenda fujo ambazo hazina kichwa wala miguu ndo kuja kupata wafuasi. Taifa litapotea kuwa na viongozi wavuta Bang.i, Wapiga Disco na wengine wengi.

NAWASILISHA WAKUU,,MATUSI SIO LUGHA YA MSTAARABU.

Lakini jambo la Msingi unatakiwa kujiuliza kuna jioni gani isiyo na Asubuhi?
Kila jambo lina wakati wake,huu siyo wakati wa kujua nani atakua waziri,swala ni nitoke vipi,
Hebu lala kutwa nzima then uone kama malaika watakulisha mkate,kua makini unaweza amini Ruto angekua Makamu wa Rais?
R.I.P
 
Mungu tulinde Watanzania na utupe hekima na busara na akili ya kutambua mema na mabaya. I thnk aslimia zaid ya hamsin humu jf ni waloenda shule, lakin mnayochangia puuuuu.

Kama jamaa wakuitwa Mwita Maranya,,,ukubwa wa umbo na akili ni vitu viwili tofauti.
 
Back
Top Bottom