Upungufu wa viongozi CHADEMA

hivi kwa upana na upeo wako wa mwisho unafikiri chadema ni lissu na mnyika tuu? Masomi zaidi ya 60 percent ni chadema, fanya uchunguzi utajua! mbona mimi msomi na niko chadema unanijua?
 
Katiba za Leo hazitaji mbunge kuwa waziri....pole sana kwa uhaba wako wa uelewa wa siasa....ajabu kweli
 
Hii mada itapona kweli? maana mods hawataki CHADEMA ijadiliwe ila kuna thread ya kumchafua Mwigulu humu imeachwa.[/QUOTE

Hawatotenda haki mkuu kama wakiiondoa.

Yajadiliwe yaliyo ya msingi basi ....! Wapo wanaoita CDU Ujerumani ndo LIBERAL DEMOCRAT (Waliberali)

Mwigulu ni mtanzania pekee asiye polisi au mahakama anayeweza kumpeleleza mtu bila ridhaa ya dola na kutoa vielelezo vya kukamata raia mwingine na asiishie hapo atoe hukumu kuwa ni gaidi....wala pasiwepo na haja ya kumuuliza dhamira yake ilikua nini....leo Lwakatare ni maarufu anaitwa gaidi bila ushahidi ... je ni watanzania wasiovaa mashati ya kijani wangapi wanafia jela kutojana na mahakama watu km Mwigulu?
 
Wakuu habari zenu na poleni na majukumu ya kujenga Taifa letu...

Kwa muda mrefu nimefikiria kama Chadema kweli kikichukua nchi japo ni(Ndoto ya mchana)kinaweza kuwa na Mawaziri japo wa 5 wenye uwezo wa kuliongoza Taifa hili,ukimuondoa Mh.Zitto, Tundu Lissu na Mnyika.

Kiukweli Chadema inahitaji kuwa na Ombwe la viongozi kama hadi Sugu anakuwa Waziri kivuli? Sio kutegemea umaarufu wa wasanii + kupenda fujo ambazo hazina kichwa wala miguu ndo kuja kupata wafuasi. Taifa litapotea kuwa na viongozi wavuta Bang.i, Wapiga Disco na wengine wengi.

NAWASILISHA WAKUU,,MATUSI SIO LUGHA YA MSTAARABU.

umemaliza? b7 zipo mezani kachukue mkuu! kwani TANU wakati inapewa nchi ilikuwa na viongozi gani?
 
Wakuu habari zenu na poleni
na majukumu ya kujenga Taifa letu...

Kwa muda mrefu nimefikiria kama Chadema kweli kikichukua nchi japo
ni(Ndoto ya mchana)kinaweza kuwa na Mawaziri japo wa 5 wenye uwezo wa
kuliongoza Taifa hili,ukimuondoa Mh.Zitto, Tundu Lissu na Mnyika.

Kiukweli Chadema inahitaji kuwa na Ombwe la viongozi kama hadi Sugu
anakuwa Waziri kivuli? Sio kutegemea umaarufu wa wasanii + kupenda fujo
ambazo hazina kichwa wala miguu ndo kuja kupata wafuasi. Taifa litapotea
kuwa na viongozi wavuta Bang.i, Wapiga Disco na wengine wengi.

NAWASILISHA WAKUU,,MATUSI SIO LUGHA YA MSTAARABU.
mawaziri hawatakuwa wabunge wala wanasiasa, watakuwa wataalamu ambao wako Serikalini kila kona, wengine kwenye taasisi za elimu, umma, kiraia na binafsi.
 
Tunao viongozi wengi sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Usihofu mkuu, kwa mujibu wa rasim ya katiba mpya wabunge hawatakiwi kuwa mawaziri na ndani ya cdm kunaraslimali watu wa kutosha, nachokuomba uache kuwa bias, na dharau.
 
Chadem mkiguswa mnawaka wakati hamna watu wa kuwaweka, mnataka kutuwekea wehu kwenye baraza.
 
Wakuu habari zenu na poleni na majukumu ya kujenga Taifa letu...

Kwa muda mrefu nimefikiria kama Chadema kweli kikichukua nchi japo ni(Ndoto ya mchana)kinaweza kuwa na Mawaziri japo wa 5 wenye uwezo wa kuliongoza Taifa hili,ukimuondoa Mh.Zitto, Tundu Lissu na Mnyika.

Kiukweli Chadema inahitaji kuwa na Ombwe la viongozi kama hadi Sugu anakuwa Waziri kivuli? Sio kutegemea umaarufu wa wasanii + kupenda fujo ambazo hazina kichwa wala miguu ndo kuja kupata wafuasi. Taifa litapotea kuwa na viongozi wavuta Bang.i, Wapiga Disco na wengine wengi.

NAWASILISHA WAKUU,,MATUSI SIO LUGHA YA MSTAARABU.

Matusi hutaki at the same time unaita wenzio wavuta bangi na wapiga disco sijui nikueleweje anyway ndo walewale
 
Back
Top Bottom