ukweli unauma.....
Nyelele arikuwa mtu mzuli sana, wakati wa Nyelele aliimalisha sana hari ya watu wake kierimu na rishe bola, vyakura kama mahalage
mchere, sukali, virikuwa vikipatikana kira kona ya Jamhuli ya Tanzania
Sasa mbona tunaopinga sensa tumetoa takwimu huko huko wikipedia?Kazini kwetu tuliambiwa siku nyingi tutumie Wikipedia kama reference point lakini kisiwe chanzo cha habari. Kila mtu anaweza kupost ***** wowote kule na ni shauri yako unayepakua.
Wengi sana tu kwa maelfu kama sio malaki, mbona humuhumu JF zimeshaandikwa habari za maovu yake mengi tu:
Soma hapa mfungwa wake mmoja: https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=5657&d=1250867389
Sasa mbona tunaopinga sensa tumetoa takwimu huko huko wikipedia?
Warekebishe ukweli ili iweje?
I knew Babu very well and we met often after his release in 1977. Babu was glad he was detained on the mainland and not returned to Zanzibar where he would have faced certain death.
Mkuu tatizo la kuchanganya R na L tunalo wengi kumbe ila me kiasi fulani nimelipunguza nikawa nakosolewa hadi nimeanza kuzoea zoeaukweli unauma.....
Nyelele arikuwa mtu mzuli sana, wakati wa Nyelele aliimalisha sana hari ya watu wake kierimu na rishe bola, vyakur a kama mahalage
mchere, sukali, virikuwa vikipatikana kira kona ya Jamhuli ya Tanzania
CAN YOU Mention those PRISONER's? It sometimes Propaganda... NO ONE WAS Imprisoned by NYERERE in 1962
He was not even ruling the country as the PM was Rashid Kawawa; He took Over Afterwards as the Republic President
.......
Warekebishe ukweli ili iweje?
Mhh! afadhali hawa mafisadi wetu wa sasa hivi wengi wao pesa nyingine wanazibakisha na kuwekeza vitega uchumi hapahapa hivyo pesa inazunguka hapahapa nchini na wananchi wengine wanaambulia kazi katika miradi ya mafisadi, lakini FISADI Nyerere yeye kazi yake alikuwa akichota tu na kuwapelekea Wakristo wenzake nje ya nchi mfano Biafra.Ninampenda Nyerere, Hata msemeje! Alilipenda taifa letu kuliko Hata familia yake, !,,, hakuwa fisadi hilo latosha.
- Christopher Kassanga TUMBO
- Joseph Kasela BANTU
hakuna merekebisho yanayo hitajika hapa jamani? I think this is a malicous attempt to rewrite history...
Julius Nyerere - Wikipedia, the free encyclopedia
Political repression
In 1962, Nyerere created the Preventive Detention Act, which was used to imprison opposition and suppress trade unions. People disappeared and victims are estimated to be in the thousands. International human rights organization Amnesty International adopted 141 prisoners of conscience in 1977.[SUP][19][/SUP] In 1979, Nyerere had more political prisoners than even South Africa.[SUP][20][/SUP] Press was controlled through refusal of official registration.
Nyerere's prison camps for political dissidents were notorious for practices such as electric shocks, solitary confinement, and denial of basic necessaries. Almost everyone contracted diseases such as tuberculosis, according to survivors.[SUP][21]
The deficit in cereal grains was more than 1 million tons between 1974 and 1977. Only loans and grants from the World Bank and the IMF in 1975 prevented Tanzania from going bankrupt. By 1979, ujamaa villages contained 90% of the rural population but only produced 5% of the national agricultural output.[SUP][27]
[/SUP]He was criticised[SUP][by whom?][/SUP] for his vindictive actions after unsuccessfully appealing to the Pan Africanist Congress to adopt dialogue and détente with Pretoria instead of armed revolution. He supported a leadership coup that installed David Sibeko but after Sibeko's assassination he crushed PAC resistance at Chunya Camp near Mbeya on 11 March 1980, when Tanzanian troops murdered[SUP][citation needed][/SUP] and split up the PAC army into detention camps. Nyerere then pressured the Zimbabwe government to arrest and deport PAC personnel in May 1981. The PAC never recovered and despite rivalling the ANC from 19591981 quickly declined. Its Tanzanian controlled remnant gained only 1.2% in the South African freedom election of 1994.[SUP][citation needed][/SUP][/SUP]
mmmmh!Mkuu tatizo la kuchanganya R na L tunalo wengi kumbe ila me kiasi fulani nimelipunguza nikawa nakosolewa hadi nimeanza kuzoea zoea
Kama hali yenyewe ilikuwa ndiyo hiyo ilikuwaje Nyerere akamrudisha Kassim Hanga Zanzibar?