KWA KUTHIBITISHA UNAFIKI WA MAREKANI NISAIDIENI MASWALI HAYA.
1. Museve Ame/Anaongoza Uganda Kwa Muda Gani Sasa?.
2. Je Muda Aloongoza Museven Unatofauti Gani Na Muda Wa Mugabe?.
3. Uganda Na Zimbabwe Zimezingatia Uchaguzi Wa Haki?.
4. Why Mugabe Awekewe Vikwazo Lakn Museven Aachwe?.
5. Kwanini Gadaf Aliwekewa Vikwazo?
6. Je Kagame Kawekewa Vikwazo Gani Na Marekani?.
7. Kama Marekani Wanahubiri Demokrasia, Why Wampige Gadaf, Sadam?.
Tujiulize Haya Maswali Ndugu Zangu.
Mtoa Mada Kaeleza Vizuri Lakn Ameeleza Kwa Upande Mmoja Tu Bila Kujali Mwingine.
Marekani Wanahubiri Demokrasia Lakn Wao Ndio Wakwanza Kuipinga. Demokrasia Kwao Ipo Kwa Kuwafeva Wao Na Si Vinginevyo.
Ujinga Tulonao Watz Ni Kwmb, Tunatafsiri Na Kuamini Demokrasia Ipo Kwny Uchaguzi Pekee Lakn Tumesahau Kuhusu Huduma Za Kijamii Nazo Zinatakiwa Zitolewe Kwa Demokrasia Ambayo Inagusa Misingi Ya Haki Za Binadamu.
Marekani Walitulazimisha Tuingize Haki Za Binadamu Kwny Katiba Yetu, Lakn Wao Ndio Walitoka Kwao Na Kumuua Sadam Na Gadaf.
Hawa Wamarekani Ni Wanafiki Jaman Mbona Hatutaki Kukubali!.
Mpinzani Wa Kiti Cha Urais Na Musevi Mpaka Sasa Yupo Kizuizini Hatakiwi Kabisa Kutoka Wala Huruhusiwi Kumuona, Lakn Museven Hajawekewa Vikwazo Ye Yuko Poa Tu.
TAMBUENI HILI.
Mtu Anapokulea Wewe Na Familia Yako Maana Yake Ni Kwmb, Hata Siku Akimuhitaji Mkeo Aje Kumfulia Hutoweza Kumzuia Coz Utaogopa Kesho Kunyimwa Misaada.
Tujitegemee Watz, Hata Marekani Wanashida Zao Lakn Wanajifanya Wajanja Kutusaidia Sisi.
Tufe Njaa Tu Lakn Misaada Yao Hatutaki.