Naona wallet ya mshua imenonaIla kwa utaratibu huu kweli sio adabuView attachment 878819
Naona wallet ya mshua imenonaIla kwa utaratibu huu kweli sio adabuView attachment 878819
Zikiwa perfect mapato yatapunguaPana upotoshaji mkubwa kuhusiana na hizi tochi za usalama barabarani ikipelekea kuwakandamiza madereva pasipo uhalali wowote.
Si kweli kuwa camera hizi ziko fool proof na eti kuwa kila zinazochosoma ndiyo hivyo hivyo.
Namna gani mpigaji alikuwa steady, hali ya hewa wakati huo, visibility, state of calibration, na hata uwepo wa magari mengine ni factors ambazo zina count mno.
Camera hizi hupaswa kuwa calibrated na certified agencies angalau mara moja kwa mwaka. Hizi zetu anayejua ni Sub hana u Wataala pekee.
Angalia hapa:
The truth about speed cameras
Hivi serikali haiwezi kushirikisha wadau kuona inawatendea haki wananchi wake?
Ni taste mbaya sana wananchi wanapohisi kuibiwa hata kama mapato ya jinsi hii yanaelekezwa kwenye SGR.
Kwa uelewa wangu hapana.palipo andikwa 80speed tembea hiyo,kama hapakuandikwa tembeaHivi ni kweli private zinaruhusiwa kukimbia hata 140 kwenye vibati vya 80km
Mhmh kwenye kufuata vibao hapo umechemka, ngoja niishie hapoWewe fuata vibao vya speed sio kuanza kulia tuuu
Good questions. Nasubiri nione atakachokujibHujsusikia hili la vibao hamna ila unaambiwa hayo ni makazi ya watu?
Vipi hili ambalo unaambiwa umezidisha speed na picha haina reference yoyote wala coordinates kuonesha imepigwa wapi?
Au wewe mkuu una viatu vinavyohitaji brashi kutoyajua haya?
Inaitwaje kule play store?Mimi nina application nime install kwenye simu yangu. Application hi ina uwezo wa ku detect speed cameras umbali wa kilomita 10. Hata ziwe kamera 4 kwa maramoja itakuonyesha kila kamera na umbali wake ilipo. Ukiwa unakaribia hiyo kamera, app niliyonayo itaanza kukupigia warning alarm zikiwa zimebakia kilometa 2 kuifikia hiyo camera. Ukizidi kuisogelea camera hiyo app itaongeza kukupigia kelele ya kupunguza speed.
Toka nimeiweka hiyo application Trafiki nawa enjoy tu, mimi barabarani napunguza mwendo pale tu Application yangu inaponipa warning ya camera, otherwise ni mwendo mdundo tu barabarani.
Njoo inbox tusiharibu mapato ya SGRInaitwaje kule play store?
huoni kama unahujumu mapatoNjoo inbox tusiharibu mapato ya SGR
Binafsi nilishapigwa faini sh 30,000 kwa kuendesha spidi ya km 51 badala ya km 50. Hawa jamaa wanatakiwa watumie busara. Pia nimeshapigwa faini mahali ambapo hapakuwa na alama ya spidi limit. Nilipomwuliza traffic akasema mahali hapo ni makazi pa watu, hivyo ningetakiwa mwenyewe kuliona hilo!Wapo kazini bila kusahau wapo juu ya Sheria.
Duh nimecheka kweli. Hivi hizi picha huwa mnawapiga saa ngapi?
Eneo lolote lenye makazi ya watu au mbugani hata kama hamna kibao unatakiwa utembee speed isiyozidi 50.Hujsusikia hili la vibao hamna ila unaambiwa hayo ni makazi ya watu?
Vipi hili ambalo unaambiwa umezidisha speed na picha haina reference yoyote wala coordinates kuonesha imepigwa wapi?
Au wewe mkuu una viatu vinavyohitaji brashi kutoyajua haya?
Mimi naunga mkono namna ya kujificha kwa sababu sisi madereva hatuna tabia ya kuheshimu sheria za barabarani, fikiria sehemu kuna vibao vya 50 na kila siku madereva tunakamatwa tena sanaa, mbaya zaidi tuna tabia ya kupeana signal eti mbele wapo au la badala ya kufuata sheria, tumejizoesha kulazimishwa kutii badala ya sisi kutii wenyewe bila shurti, tungekua tunafata sheria kila wakija na matochi yao hawakamati mtu ungekuta hayo makamera sa hivi yanaozea kabatini kwao.Pangekuwa na nia njema, polisi hawakupaswa kujificha, na sheria za barabarani zingekuwa uniform kwa watu wote. Zisingetambua STL wala PT.
Vile vile kwa hoja zao zisizokuwa na mashiko, na huko bank si wajifiche ili majambazi wadhanie hawapo ili wawakamate?
Palipo na nia njema twaona matangazo hata ya kuwapo mbwa wakali, kuwapo mitambo maalumu ya kuzuia wezi, kutegwa umeme nk.
Mimi nina application nime install kwenye simu yangu. Application hi ina uwezo wa ku detect speed cameras umbali wa kilomita 10. Hata ziwe kamera 4 kwa maramoja itakuonyesha kila kamera na umbali wake ilipo. Ukiwa unakaribia hiyo kamera, app niliyonayo itaanza kukupigia warning alarm zikiwa zimebakia kilometa 2 kuifikia hiyo camera. Ukizidi kuisogelea camera hiyo app itaongeza kukupigia kelele ya kupunguza speed.
Toka nimeiweka hiyo application Trafiki nawa enjoy tu, mimi barabarani napunguza mwendo pale tu Application yangu inaponipa warning ya camera, otherwise ni mwendo mdundo tu barabarani.
PIGA hata 180 km/h mpaka 200 km/h na kurudi 0km/h hawakufuatiliii lakini ukikikuta kijiji au makazi ya watu ni 50km/hHivi ni kweli private zinaruhusiwa kukimbia hata 140 kwenye vibati vya 80km