Upotoshaji kuhusu mizimu

Kuna mzee mtu mmoja nimemuona sasa hivi amevaa tshirt nyeupe (hizi form six) meandikwa mgongoni maandishi haya;

"MTAKATIFU YOSEFU UTUOMBEE"

Nikakumbuka hii mada hapa jukwwaani. Sasa nikajiuliza

"Huyo mtakatifu yosefu akuombee wewe kama nani yake?? Anakujua? Anakujuaje??"

Kuliko nimwombe huyo Yosefu asienijua na wala sina ukoo nae aniombee amabe nae actually kwasasa ni MZIMU (kwa kuwa alishakufa), SI BORA NIOMBE MIZIMU YA WATU WA UKOO WANGU AMBAO NINA UKOO NAO NA WANANIJUA!!
 
Mada inafikirisha. Asante sana
 
Nimekuelewa kiongozi,Safi sana
 
kwa hiyo uliitishwa mkutano wa maaskofu ili kuanzisha ukristo wakati huo maaskofu Ni viongozi wa dini hiyo hiyo tayari. Sijakuelewa hapa hebu fafanua.
hili swali linarukwa sana.....mtoa mada hujaliona ama?
 
Lakini ndugu fafanua kidogo hapo kwenye kumfikishia marehemu kitandani baada ya kumsafirisha, mana umesema aliamkia kitandani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwenda siyo damu yetu mmelichunguza hilo hayo ni majibu mubashara mizimu inafanya kazi kwa wakati sahihi matokeo yanaonekana kwa muda huohuo kuna kitu hakiko sawa kama mngefuatilia vizuri

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
kumbuka mizimu ni mashetani/majini
 
Dini ni moja tu. "Know thyself" kwakweli kwenye Karne hii ya 21 mtu kuwa mjinga ni kujitakia. Information zipo nyingi mitandaoni but watu tayari tumekuwa matrixed,kama ulivyosema bro, akili zetu zimejaa dogmatism. Tuna struggle ku control kila kitu, tunaunda rules and laws tunasahau rules of nature.
Kuna watu wanafikiria ndani ya box na kuna watu wanafikiria nje ya box. Ukiangalia kwa juu juu watu hawa kama wana tofauti lakini ukweli ni kwamba hata anayefikiria nje ya box mara kwa mara anareference sana mambo ya ndani ya box so hawa watu wametofautiana kwa asilimia chache sana. BURN THE BOX!! Be entirely free #amkaTz #Kemet
 
Lakini ndugu fafanua kidogo hapo kwenye kumfikishia marehemu kitandani baada ya kumsafirisha, mana umesema aliamkia kitandani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sioni sababu ya kudanganya ndugu,
hapa na share kitu ambacho nmekishuhudia
stor ni ndefu sema nilifupisha ili nisijaze kurasa
niliandika maelezo muhmu,
kuhusu swali lako kwamba ilikuwaje akaamkia kitandani
baada ya kufariki toka dodoma mjin
alisafilishwa kupelekwa kijijin
baada ya kufika nyumban kwake ule mwili waliulaza kitandan kwake
baada ya mda kupita kma saa moja
ndo akaamka akiwa kitandan
na akasimulia watu yale ambayo alikutana nayo huko aliko toka.
 
Hongela sana mkuu....umenifumbua macho,sikujua kama mizimu yetu ina nguvu kiasi hiki! Sasa utatambua kua mizimu yako inataka uiabudu namna gani?
 
Huyo hakufa
 
Hongela sana mkuu....umenifumbua macho,sikujua kama mizimu yetu ina nguvu kiasi hiki! Sasa utatambua kua mizimu yako inataka uiabudu namna gani?
Ndugu mtu akifa hapa duniani hawezi kukupa msaada wala kujisaidia yeye mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…