Upotoshaji kuhusu mizimu

Naunga mkono hoja
 
Nitausoma baadae kwa utulivu

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Mbona Wazungu nao walipelekewa Injili kama sisi lakini wameendelea.Maana ukweli ni kwamba nao walikuwa na dini zao,walipelekewa Injili wakaachana na dini zao za asili,...tusihalalishe kutokuendea kwetu kwa sababu nyepesi.
[emoji122]
 
Mbona ww umetambua hayo na upo katikati ya wasioendelea , tumeendekeza ngono , ulevi na uchawi tunasingizia din
 
Dunia ina dini maelfu kwa maelfu, lkn kuna dini officially ambazo kubwa kama 5 au6 hiv ambazo zote zna misingi yake tofaut na nyingne huku ikiwa na wafuas ya watu mamilion,,,swal je? huyo Mungu wa kwel ni yupi?? uyo unaemuabudu wew unauwakika kuwa ndye yule wa kwel? kwa ushahid upi??, uliwai muona?? aliwahi kukutokea?? ama aliwahi mtuma nabii wake ama maraika wake toka ukoa alko na kuja kuwathibitishia wazawa wa leo kuwa iman fulan ndyo sahihi??,, achna na kukalil sabbu umezaliwa familia inayoabud iman fulan bas naww ukajua uko right, ama umefundishwa na kiongoz wako wa dini ukajiona uko right, kumbuka dunia ina zaid ya watu billion7 na kila mtu ana din yake tofaut na yako, swal je hilo dhehebu lako ama dini yako ni sahihi kulko wale billions of people wanaoabudu tofaut nawew?? kwa ushahid upi? maana ukisema ushahid wa kitabu chako, kila dini ina ushahidi na historia vile vile,,,,imani ni jambo pana sana ambalo watu wanalivamia paspo kuhoj ama kutumia utashi kufikil,,watu mmejawa kashfa na kukosoana bila kujua upi ukwel,,yaan Mungu awahukum watu fulan wa dhehebu fulan na kuwaacha awa wengine kwa lengo lipi???.....JIBU NI MOJA TU UNALIPATA MUNGU WA KWEL HAUSIANI NA DINI WALA DHEHEBU LOLOTE LILE,,MUNGU WA KWEL HAITAJ DHEHEBU LAKO WALA UJUAJI WAKO ILI KUURITH UFALME WAKE,,MUNGU WA KWEL HANA USHIRIKA NA HAYO MAGENGE YENU MNAYOYAPIGIA DEBE KILA SIKU NA KUHUKUMIANA BILA KUHOJI KWEL N IPI,,MUNGI WA KWEL HANA NABII WALA MTUME ZAMA HIZI,,MUNGU WA KWEL,..MTAKESHA KUPINGANA KILA SIKU SABBU YA UPUMBV WENU MLIOLISHWA NA WAKOLONI WALIOTEKA AKILI ZENU KWA MIGONGO YA DINI....NI AIBU KWA MUAFRIKA KUSHADADIA IMAN ULIYOLETEWA, NI AIBU MWAFRIKA KUMUITA MWENZAKO MPAGANI KWA KUTUMIA TAFSIRI ZA IMAN YAKO....BADIRIKEN
 
UKWEL MCHUNGU...iko hiv, hao wazawa wa mashetan taan wazungu& waarabu baada ya kututawala na kutuibia kwa muda mrefu waliamua kutuletea dini ambazo kimsing hazna ukwel zaid ya upotoshaj mkubwa sana, naongea haya maana nna ushahid wa kutosha, kuwa ktk dini zoote ulimwengun znamuabudu shetan kupitia majina mbalimbal na utambulsho mbalimbal lkn ni yule yule mmoja tuu, Mungu wa kwel alishasahaulika zaman sana tangu mwafrika alipoikana tamadun yake na kuugeukia utandawaz wa iman ya mtu mweupe, Mungu wa kwel hakitambui kizaz cha mtu mweups maana kilikuja kwa bahat mbaya na kilkuja kwa mission ya kuuchafua uzao hasiri wa mtu mweusi, pia kilikuja kuufuta uzao mweus na kukitaaala kizaz cha mtu mweusi, hivyo bas kama hawa watu hawatambuliw na Mungu wa kwel bas usitegemee mkomboz ama ukomboz wako utoke kwa mtu mweupe zaid ya uongo, n meng tumedanganywa, mfani historia ya afrika na dunia nzma, uumbwaji wa dunia, chanzo cha migawanyiko ya rangi za wanadamu, ukwl kuhusu mwisho wa dunia na ukwel kuhusu kifo, na kuhusu kifo iko hiv, kuna vifo vya aina 2 yaan kifo cha asiri ambacho mtu hufa baada ya umr wake na mission yake dunian kutimia(kifo halali) na kifo cha pili ni kifo feki yaan mtu unakufa kabla ya umr wako na mission yako dunian kutimia, sasa nikianza na kifo halal, iki ukifa moja kwa moja roho yako upotea&nafs yako hupotea ama ufutika ktk limwengu zote iwe kimwil,kiroho ama kinafsi yaan unakuwa haupo rohon,nafsin wala mwilin kiufup unakuwa kama memory iliyoformatiwa yaan huend popote iwe jehanam ama pepon, na kifo cha pili hiki utokea inaweza kuwa bahat mby mfano ajar ama makusud kwa kuuwawa, na unapokufa kifo cha baht mbaya , kwakuwa muda wako ulkuwa bado so tegemea nafs yako kuendelea kuish ktk dunia in form of spiritual, yaan unakuaa kama mzkuka unatanga tanga dunian, na inapofikia sku yako, basi hupotea ktk huo ulimwengu, hii ipo hata kwa wale wanaofuga misukule, ikifka siku original ya msukuke kufa ama mtu aliekufa kifo feki, bas hupotea hata uko usukulen, na hakuna wakukujua upo wapi zaid ya Mungu tu, na hakuna wakukufufua zaid ya Mungu tu,..mjue kwamba hakuna jehanam wala ziwa la moto, bali kuna imagination ya jehanamu ambayo hutumiwa na shetan kuwalaghai wanadamu wasambaze uongo dunian kuhusu mateso na kumfanya Mungu aonekane gaid na mkatr
 
mambo ambayo tulidanganywa ni
..uongo kuhusu sadaka
..uongo kuhusu jina la kwel la Mungu
..uongo kuhusu afrika na muafrika
...uongo kuhusu siku za mwisho
....uongo kuhusu falme zilizotawala dunia
...uongo kuhusu muonekano wa dunia, mzunguko wa dunia na jua, siku,masaa,mwez,mwaka,tarehe na kalenda kiujumla
....uongo kuhusu elimu
.....uongo kuhusu sala na maombi
......uongo kuhusu vitabu vya dini
......uongo kuhusu nchi ya misri na israel
......uongo kuhusu mgawanyiko wa mabara
....uongo kuhusu chanzo cha rangi za wanadamu
.....uongo kuhusu alien
.....uongo kuhusu jicho la 3
.....uongo kuhusu pyramid
.....uongo kuhusu technology ya umeme,ndege,matibabu,ujenz na uhandisi,uhandishi, ufugaji,usafirishaji,unajimu, elimu ya anga,
...uongo kuhusu historia ya waanzilish wa dini ya uislam kuwa ni waarabu, kumbe ni mtu mweus ambaye akitoka ktk kizaz cha mbantu ambao ni mzawa wa natumia majina mliyoyazoea kupitia vitabu vyenu vya uongo, ni hiv yule mnaemuita ishmael alizaliwa na baba mbantu na mama mbantu yaan ibrahimu mweusi, na kijakaz wa misri(afrika) ambaye nae alikua mweusi, huyo ishmael hakuwai kuish nje ya afrika maana historia ya kweli inailocate israel ya kale ilkua middle Africa, so how come uislam uanzie uarabuni?, hivo bas wajanja walicheza na ramani original na kuleta historia zao za kishenzi.
pia uongo kuhusu uwepo kristo wa kwel na manabii wote wa Mungu,..inshort uongo ni mwng kulko ukwel, na ukwel huu unaweza kuupokea kama umeachana na itikad ama mahaba ya dini na vifungo vya akili kupitia dini, kwa anaejiona amejazwa Roho mtakatifu ama anajiona naijua historia ya dunia ama anayajua maandiko sana na kupinga iki nilichoandika namuita aje tuchallengiane kupitia shahidi za maandiko na historia ya kwel,...NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK...
 
Hotep Hotep
 
Wakifa si ndio mnawaita watakatifu
 
Hawawezi kukuelewa
 
kwa hiyo uliitishwa mkutano wa maaskofu ili kuanzisha ukristo wakati huo maaskofu Ni viongozi wa dini hiyo hiyo tayari. Sijakuelewa hapa hebu fafanua.
 
Ngoja nami niseme kitu.
Sasa hawa mizimu wetu walikuwa wapi before hawa wageni hawajaja? mbona walishindwa kututetea mababu zetu wasitawaliwe na wateswa na kulazimishwa dini za kigeni? je hawa mizimu ni wenye uezo au wasanii tu? leo hii wapo wapi na madhila tunayoyapata mbona hawajishughulishi ? mpaka waombwe? upendo wao kwetu mbona zero?
nijibiwe kwanza haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…