usiniguse
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,725
- 1,194
Haya ni matumizi mabaya ya pesa za wananchi, kwanini nasema hivi?
Fikiria mitihani ya kidato cha 4 imeanza tarehe 2/11/2015 na mpaka sasa inaendelea kwa baadhi ya shule hasa zenye watahiniwa wa kujitegemea.
NECTA imelipa wasimamizi, wakuu wa shule na maaskari posho za siku zote za mitihani, hapa hakuna shida. Tatizo linakuja hapa; Ndani ya wiki mbili NECTA tena inaendesha mitihani ya kidato cha pili FTSEE na kulipa posho nyingine kwa kiwango kile kile kwa watu wengine tofauti na wakuu washule mara mbili.
Taarifa nilizonazo wilaya yenye shule chache za sekondari kwa kidato cha 4 bajeti ni karibia shilingi 90 milioni na kidato cha pili 60 milioni. Sasa kwa wilaya zenye shule nyingi na wanafunzi wengi ni shilingi ngapi? mara inchi nzima.
Hivi hawa NECTA wasingeweza kuiendesha hii mitihani kwa kwa kipindi kimoja na kuweza kuokoa mabilioni ya pesa ,kwani wangefanya semina moja, wasimamizi walewale na askari walewale,wakuu wa shule wangelipwa siku zilezile lakini sasa wanalipwa mara mbili halafu mitihani inakutana