Upoteaji wa majina ya asili ya Waafrika

Ni kweli kama ni maharifaa sina, nielekeze yanapatikana wapi, Lakini kama ni maarifa ninayo na nazidi kuwa nayo, day after day
Acha ubishi wa kitoto wenzako tumeona mengi Dunia hii usichukulie vitu simple simple au nikupigie usiku huu twende ukajue mambo ya asili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jokes
 
Hayo ya kizungu wenye hayo majina bado wapo hai? Kuna shule wanangu wanasoma Nadhani ni wanangu tu ndo wana majina ya kilughaNdo wamekuwa ikon huko ... unakuja farasi lina Jayden 4!!!
 
Mfano Lucy, Good luck kimasai kuna majina yake yenye maaha hii hii
Mimi sio mmasai ila wanangu nimewaita Namunyak na Esupat means Bahati / Good luck na Mwena respectively.

Nikipata mwingine namwita Nailejileji means Comfort kimasai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…