KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
i see asiyekubali kushindwa si mshindani pole Keshaijabutege
Asiyekubali kushindwa ndie mshindi.
i see asiyekubali kushindwa si mshindani pole Keshaijabutege
Hodi hooodi uwanjani, (mbuta!, alaf wanaendeleaje tena?)
Enewi, we mpotee mzazi, au siyo....
Mkuu kumbushia zile
Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli, Iwafae masihani
Baada ya hapo mambo yatafloo!
:kev:Nilham...naomba nikutungie shairi.....msisitizo uwe kwenye signecha yako.:A S kiss:
mmmmmhhh okay ngoja nikae sawa kupokea na kuskiliza.... u are welcome...
:kev:
Birungi karibu kwangu, ulinzi ni yangu fani,
Amenijalia Mungu, Hebu toka mashakani,
Utakula na wanangu, ukiingia kambini,
Ombi lako mesikia, Birungi jukuu wangu.
Thenksi nimekugongea, ili upate amini,
Kuwa nimekupokea, hapa kwangu kibandani,
Njoo upate tulia, kashaija sikuwini,
Ila usijisahau, babu akalala njaa.
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:Kashaija ndugu yangu, nakugea zangu pole,
Ulienda wanguwangu, ukajikwaa kidole,
Alichokipanga Mungu, kiwezi kuwa kipele,
Jaribu tena kwingine, Cheusi kwako haramu.
Ila onyo nakugea, Siguse jukuu wangu,
Usije tena kulia, Nikiwarudisha kwangu,
Wajukuu nimelea, wanitunze peke yangu,
Jaribu tena kwingine, Cheusi kwako haramu.
Afrodenzi angalia, simuweke mawindoni,
Maty wala Roselia, na mwanajamiiwani,
Waisiledi achia, na wengineo sebuleni,
Jaribu tena kwingine, Cheusi haramu kwako.
Dada zangu nakwachia, ukiwaweza chukua.
Preta nakuzawadia, Nyamayao naye pia,
LD kiwezea, Lili Flawa Fukuzia,
Mahari ulete kwanza, Babu ninazipokea
]Lipi lako nichukue[/B], na lipi niliamini?,
Uporoto uko nae, wamtaja hadharani,
Ili mie nirudie, ibadilishe saini, (chukua vyote NIACHIE Uporoto01.:angel
Umtusi umatini, ndipo nikurudie.[/QUOTE]
chukua vyote uporoto usiguse.
saini naweza kuibadilisha kukuonyesha jinsi ninavyokujali kama unavyonijali lkn kumtusi Uporoto01 hata nikilogwa sitaweza
Hodi hooodi uwanjani, (mbuta!, alaf wanaendeleaje tena?)
Enewi, we mpotee mzazi, au siyo....
kweli kajaiba ulipenda,cheusi mangala akakutenda
wahenga walishanena,lakini wewe hukupendwa
mpende akupendae ,hasokupenda achana nae
na usipoangalia tena utatendwa na zaidi ya kutendwa.
Uporoto si umwache,cheusi mangala ampakate?
mbona wewe ulikuwa wake na tena ukampa mate?
sasa kwanini umfate fate,na kshikshi zimpate?
yeye kesha sema anawake,tabu ya nini upate?
si kila ufatapo nyuki utapata utamu
wengine hupata manundu ,huku wakivuja damu.
sasa wewe wataka makuu na si tena utamu
ntamwambia uporoto aje akupe hatam.
si kama nakucheka kwa yalokufika
lakini napenda kukueleza,na upende kusikika,
watu wakishapendana ni ngumu kuachanika
waombee maisha mema ,huko walikofika.
hodi hodi uwanjani,
shosti pearl nakusalimu kisha naomba kuteta nawe,
hapo penye blue,penzi langu na Uporoto panalihatarisha,
Uporoto alinikuta 'sijui lolote' akanifundisha kila kitu,
leo hii ukisema Kaishaijabutege alinipa mate si Uporoto atadhani nilikua nilimdanganyanilipomwambia kuwa sijui hata mate yanaliwaje?
be carefuly shosti,nikiharibu penzi langu na Uporoto sijui kama nitapata jengine kama hili ktk dunia hii.
hili foramu jamani halikosi vimbwanga,
kila nikizama ndani nabaki nazimiaga
utasikia fumanizi na kule mtu katengwa
kashaija we jasiri kumwaga mwenzi hadharani.
ulipoanza mfukuzia hukumtungia shairi
mkala kwa kuibia sasa wasema umeghairi
uporoto kakuingilia au hauna umahiri
kashaija we jasiri kumwaga mwenzi hadharani,
aspirin babu nilinde nami niwe kijukuu,
utakula vilivyo na shibe kwani sina makuu
tena busara unipe niwaepuke fataki wakuu
kashaija we jasiri kumwaga mwenzi hadharani
Kashaija ndugu yangu, nakugea zangu pole,
Ulienda wanguwangu, ukajikwaa kidole,
Alichokipanga Mungu, kiwezi kuwa kipele,
Jaribu tena kwingine, Cheusi kwako haramu.
Ila onyo nakugea, Siguse jukuu wangu,
Usije tena kulia, Nikiwarudisha kwangu,
Wajukuu nimelea, wanitunze peke yangu,
Jaribu tena kwingine, Cheusi kwako haramu.
Afrodenzi angalia, simuweke mawindoni,
Maty wala Roselia, na mwanajamiiwani,
Waisiledi achia, na wengineo sebuleni,
Jaribu tena kwingine, Cheusi haramu kwako.
Dada zangu nakwachia, ukiwaweza chukua.
Preta nakuzawadia, Nyamayao naye pia,
LD kiwezea, Lili Flawa Fukuzia,
Mahari ulete kwanza, Babu ninazipokea
hodi hodi uwanjani,
shosti pearl nakusalimu kisha naomba kuteta nawe,
hapo penye blue,penzi langu na Uporoto panalihatarisha,
Uporoto alinikuta 'sijui lolote' akanifundisha kila kitu,
leo hii ukisema Kaishaijabutege alinipa mate si Uporoto atadhani nilikua nilimdanganyanilipomwambia kuwa sijui hata mate yanaliwaje?
be carefuly shosti,nikiharibu penzi langu na Uporoto sijui kama nitapata jengine kama hili ktk dunia hii.
si hivi nipo?haujaniona wewe wajidai tuu uyoo pengine hujui ushadodewa ulijua ntakataa nini ha hahahah lol?
ah ah ah lol
chesui nimekupata,uporoto kakamata
na hakika anakipata ,kile anachokitaka,
katu kasha mate hakupata,wala mda wa kukupakata
na kama mate angepata ,si asingekuacha?
kwa uporoto uliena,bila kujua la kutenda
nae kama mlengwa,alikuonyesha vya kutenda
nawe bila kalenda ukamuacha akatenda
na sasa kesha kupenda,huna budi kupendeka