Uporoto amewini

Ushindwe na ulegee, uongo kunizushia,
Kwa tuo nielezee, wapi kaniingilia?
Birungi nipotezee, popobawa nakemea,
Birungi wewe Mhaya, Kiswahili kwako shida.


kashaija butegetege,sikia nikuelezee
kuhusu kukuingilia,himaya ilivunjwa tenge
kama ulikua legelege,mwenzio alikua rede
shaurido na matege,utabaki unameza mate

kubashiri umekosea,muhaya si kabila langu
nachojua ni mtanzania,naeipenda asili yangu
kiswahili vema nakinyambua,kama wanyambo wenzangu
shaurido na matege,utabaki unameza mate kakaangu
 
Back
Top Bottom