Uporaji BPL, kashfa kubwa ya deep state Tanzania

Nadhani hoja hapa ni kwamba mmojawapo wa wamiliki amefariki wiki mbili zilizopita bila ya kupata haki yake.

Luqman ameandika kuonesha kwamba wapo waliodhulumiwa wakati Magufuli akiwa Rais na wanakufa bila ya kupata haki zao.

Dunia haiwezi kusimama kisa tunajadili bandari. Acha mambo mengine nayo yaendelee.
Tatizo hawa waandishi wa habari wa siku hizi hawaaminiki, njaa imewatawala sana, anaweza kuwa anaandika kuujuza umma kwa nia njema, lakini nikitazama wanavyotumiwa na wanasiasa, hasa wa CCM, napata mashaka nao, nikizingatia wakati huu CCM wanavyohangaika kujinasua na balaa walilojitakia la DPW.
 
Nadhani hoja hapa ni kwamba mmojawapo wa wamiliki amefariki wiki mbili zilizopita bila ya kupata haki yake.

Luqman ameandika kuonesha kwamba wapo waliodhulumiwa wakati Magufuli akiwa Rais na wanakufa bila ya kupata haki zao.

Dunia haiwezi kusimama kisa tunajadili bandari. Acha mambo mengine nayo yaendelee.
Nimeshawai kufanya kazi Business times,huyo Mzee Mbuguni alikuwa halipi mishahara Wafanyakazi,mtu anadai mishahara ya miezi sita!!!
Lakini bado kuna kodi alikuwa anadaiwa zinafika Bilioni 1.4,hii si inatosha kuonesha alikuwa muhuni kama Wahuni wengine.Mbona haikupokwa mitambo ya Mwananchi na IPP, kwanini BPL tu, kampuni iliyofilisika!!
 
Nadhani hoja hapa ni kwamba mmojawapo wa wamiliki amefariki wiki mbili zilizopita bila ya kupata haki yake.

Luqman ameandika kuonesha kwamba wapo waliodhulumiwa wakati Magufuli akiwa Rais na wanakufa bila ya kupata haki zao.

Dunia haiwezi kusimama kisa tunajadili bandari. Acha mambo mengine nayo yaendelee.
Wafanyabiashara waliofariki kipindi cha mkasa huu yawezekana na wao yapo makubwa yaliwafika!
 
Machi 19, 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alikula kiapo. Hayakuwa mabadiliko kutoka rais hadi rais, bali mtazamo wa Ikulu ulibadilika.

“Sitaki dhuluma,” alisema Rais Samia.
Kwa hili rais Samia apewe maua yake!
Ila ingependeza kama angechukua hatua kurejesha mali za watu na kutoa fidia pale inapostahili, na pia kuwajibisha wahalifu waliohusika
 
Back
Top Bottom