Upole!!

Mmmmmh... I smell trouble and i dont like it at all......

Wrong smell . . .
You are going to be happy with CPU
Saa moja ndo hii, leo naomba nikuogeshe na nikusugue mgongoni na machicha ya nazi
 
Muhimu ni kutafuta mtu unaeendana nae ili mmoja wenu asiwe muonevu na mwingine muonewaji!!Dah hiyo ishu ya kumwagiana maji ya moto inasikitisha kweli......ni roho mbaya tu ya hao wanawake wala haihusiani na upole wa waume zao!
Kazi ni hapo kwenye red 'kutafuta'.Kuna mahali nilimsoma Sweetlady jana kuhusu kukunja makucha kabla ya kuolewa na kukunjua makucha baada ya kuolewa nakumbuka alisema hiyo ni muhimu 'ili uolewe'maana vinginevyo mwanaume akijua hulka yako mapema hatakuoa.Unaona sasa ugumu unaposimamia Lizzy? Ubinadamu kazi mama!
 
CPU Kumbe dawa yako ndogo... Ukiambiwa ukweli unaona ukali eeeh....

Laiti ungejua . . .
Ondoa shaka mamii wangu, sijahamisha maana hata kidogo, tupo pamoja bado. Wala sijakuelewa kiivyo unavyohofia . . .
 
Wrong smell . . .
You are going to be happy with CPU
Saa moja ndo hii, leo naomba nikuogeshe na nikusugue mgongoni na machicha ya nazi

I wish ningefuatilia huu ushauri, yote haya yasingenikuta...

"Mkuu hata barua kabla ya kumfikia mhusika huwa zinapita Posta kwanza hebu follow procedures basi kwanza lol"


 
Reactions: CPU
Kweli hapo ndipo mtihani ulipo....kutanguliza maombi ni muhimu sana!
 
Laiti ungejua . . .
Ondoa shaka mamii wangu, sijahamisha maana hata kidogo, tupo pamoja bado. Wala sijakuelewa kiivyo unavyohofia . . .


LOL..LOL.... Whoooow!!!
 
Duuuuuh! Mi binafsi mwanamme mpole simpendi kwani wakichukia ni wabaya sana na anaweza akatoa maamuzi ambayo ulikuwa hutarajii bora mtu muongeaji ukikosea atakuambia umekosea hapa mke wangu lkn ambaye ni mpole ukifanya makosa hakuambii siku akikuchoka ataorodhesha makosa yako yote na kuyatolea hukumu ambayo nafkiri unaweza kuathirika vibaya mno so bora niwe na mwanaume ambaye sio mpole
 

Hivi kuolewa ni lazima hadi mtu kufikia kukunja makucha kwa makusudi ili tu kuolewa?
 
mimi sihitaji mwanaume mpole nahisi kama ntakuwa najiendesha kimpango wangu.


Niliwahi lazimishwa kuvua nguo ikatupwa kwenye ndoo ya maji na nikaambiwa niitumie kama tambara la deki right there.Iliniuma sana ila with time nilijamwelewa and i neva break his rules.
 


Je na wewe umeweka 'rules' zako na kamwe hazivunji?
 
Je na wewe umeweka 'rules' zako na kamwe hazivunji?
niligundua his inner circle's rules zinafanana na za kwangu
niliziestablish baada ya heartbreak ya wakwanza so nilifanya analysis who could fit my life cinema nikampata.Nilideviate kabisa kutoka kwa soft going, nikaeleka kwa results (tens of parameters) oriented in patient mode.

the other rules (mine) are so peripherial kwa hiyo zinawezwa kugeuzwa based on time and situation.
 



are you single?
 
Kwa taarifa yako wanaume wapole wako very calculated people so every move you make it is noted,weighted and concluded bila ya wewe kushtukia.
Point yangu hapa ni kwamba huwa wanafikiria outcome kwanza kabla ya kuonyesha ukali wao pia kiasili wao siyo wapole bali ni watu wanaojiamini na wasiopenda kufanya mistake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…