Upole wa watanzania si ujinga msipuuze Watanzania aisee

Upole wa watanzania si ujinga msipuuze Watanzania aisee

Watanzania sisi ni wajinga na hatujui kudai haki zetu.

Watu wa sengerema wanapiga pesa za umma tuu kmmae zao
Yaani hivi vita vinatakiwa kuanzia chini kwenye level ya Utanganyika!
Yaani WaTanganyika wajue kipi ni chao peke yao na kipi ni cha pamoja na Wazanzibari (WaTanzania).
WaTanganyika kimsingi wanaibiwa sana rasilimali muhimu kwa maslahi ya Wazanzibari...
Nendeni Zanzibar mkayaone maendeleo ya vitu kwa macho! Bandari ya Kizimkazi inajengwa... Barabara zinajengwa... Hospitali, shule, masoko, stendi, flyovers, viwanja vya micheZo...kwa fedha zao zipi?
Viongozi wao wanakuwa matajiri kutokana na rasilimali za Tanganyika!

Natabiri... Ipo siku WaTanganyika watajitafuta na kujipata! Hapatakalika!
 
Dah, wakristo Wana chuki bana!!
Wewe habari zako ni za wakristo tu; kwako hakuna nchi inayoitwa Tanzania? Unaishi nchi gani wewe; kuna nchi inaitwa Islam? Iko wapi hiyo?
Maswala yako ya kidini kwanini uyaweke mbele zaidi ya uraia wa nchi yetu wenyewe?
Wakristo wakiondolewa leo Tanzania, hilo litakuridhisha sana wewe na wenzenu mnaoshinda kutwa mkiimba udini humu?
 
Yaani hivi vita vinatakiwa kuanzia chini kwenye level ya Utanganyika!
Yaani WaTanganyika wajue kipi ni chao peke yao na kipi ni cha pamoja na Wazanzibari (WaTanzania).
WaTanganyika kimsingi wanaibiwa sana rasilimali muhimu kwa maslahi ya Wazanzibari...
Nendeni Zanzibar mkayaone maendeleo ya vitu kwa macho! Bandari ya Kizimkazi inajengwa... Barabara zinajengwa... Hospitali, shule, masoko, stendi, flyovers, viwanja vya micheZo...kwa fedha zao zipi?
Viongozi wao wanakuwa matajiri kutokana na rasilimali za Tanganyika!

Natabiri... Ipo siku WaTanganyika watajitafuta na kujipata! Hapatakalika!
Ndiyo maana huwasikii tena akina Othman Masoud wakililia Mamlaka kamili; kwa sababu wamekwisha jiokotea koloni linalowanufaisha kuliko walivyo tegemea ingewezekana.
Samia Suluhu akiendelea miaka mitano mingine Zanzibar itakuwa imebadilika sana, na haitahitaji tena kuwa kupe kwa kolonilao.
Huo unaweza kuwa mwisho wa mnaouita muungano.
 
Dah, wakristo Wana chuki bana!!
Chuki na upumbavu na unafiki ni nguzo za UISLAMU tofauti ya waislamu na wakristo na wapagani ni hiyo ...hivyo hapo ulipo weka neno "chuki" weka NENO UZALENDO ...YAANI WAKRISTO NI WAZALENDO WAKATI WAISLAMU NI WANAFIKI ,WANACHUKI ,NA UPUMBAVU WANAO ..niliuliza hapa ni kiongozi gani hata mmoja muislamu aliye wahi kuwa MZALENDO NCHINI NITAJIWE MMOJA TU hata ukimtizama shekh ponda siyo MZALENDO kwa sababu yeye madai yake siku zote ni yakubagua dini ....
 
Wale waislam chawa wa ccm wanufaika wa matendo maovu wizi wa Rasilimali za Nchi wengi ni wapumbavu sana, wanafanya mambo ya ajabu hovyo wakiguswa wanakimbilia kujificha kwenye Kisingizio cha Udini , mfano mwizi kama Rostam Aziz rafiki wa mama na kikwete akikemewa wanadai ni Udini na kumshambulia aliyekataa maovu, huu Upumbavu wa kutumia Udini kifala fala ndiyo umelifikisha Taifa kwenye Hali mbaya kisiasa, tukatae tukemee huu upumbavu kwani Tanzania haina Dini na hakuna udini kwenye kukataa maovu
 
gallow bird na wahuni wenzako acha kutafuta njia ya kutugawa. Watanzania siyo wajinga.

Samia na kikwete wake, mlituletea masumu ya chanjo za covid wakati hatukuhitaji. Mmetuharibia gene pool yetu watanzania, nchi ambayo ingekuwa ndo nchi pekee Afrika kuwa na DNA safi. Nyinyi ni washenzi sana.
 
Wale waislam chawa wa ccm wanufaika wa matendo maovu wizi wa Rasilimali za Nchi wengi ni wapumbavu sana, wanafanya mambo ya ajabu hovyo wakiguswa wanakimbilia kujificha kwenye Kisingizio cha Udini , mfano mwizi kama Rostam Aziz rafiki wa mama na kikwete akikemewa wanadai ni Udini na kumshambulia aliyekataa maovu, huu Upumbavu wa kutumia Udini kifala fala ndiyo umelifikisha Taifa kwenye Hali mbaya kisiasa, tukatae tukemee huu upumbavu kwani Tanzania haina Dini na hakuna udini kwenye kukataa maovu
Unavyomwita mwizi kisa umejificha kwenye ID feki? Toa utambulisho wako halisi ili iwe rahisi kuthibitisha uwizi wake, ameiba nini, km kila tajiri ni mwizi na kuiba ni rahisi kwanini usiibe wewe. Chukia umaskini badala ya kuchukia matajiri
 
NCHINI NITAJIWE MMOJA TU hata ukimtizama shekh ponda siyo MZALENDO kwa sababu yeye madai yake siku zote ni yakubagua dini ....
Hili linatatiza sana; na kweli usipokuwa mwangalifu unaweza kutoa lawama za kijumla jumla namna hii. Uamini wangu ni kuwa wapo waTanzania wenye dini ya kiislamu ambao ni wazalendo kabisa kwa nchi yao.
Unaomba utajiwe ni akina nani?

kiutumisha, jinsi alivyo litumikia taifa hili kwa uelewa wanguSalim Ahmed ni mmoja wao; pamoja na kwamba hakupata fursa ya kuuonyesha uzalendo wake halisi bila ya kuwa chini ya uongozi wa juu yake. Kawawa anasutwa sana na hao waislam wa mlengo unaowazungumzia hapa; akilaumiwa kujitoa kutumikia taifa lake bila ya kujikweza kwa udini wake. Yeye kama Salim hatujui ingekuwaje endapo mazingira yangekuwa ni tofauti wakati wa utumishi wake

Sasa hivi kinacho onekana waziwazi ni hili kundi la waislam ambao wameamua wazi kabisa kuweka mbele maslahi ya dini yao juu ya utaifa wa nchi yao. Wamechukulia nafasi hiyo sasa kuhakikisha wanabaki madarakani waendelee kutimiza lengo lao hilo.
 
Back
Top Bottom