Ndiyo maana nimekueleza usome tena uelewe alichosema KitimaSina hakika kama majibu yako yanahusiana na ujumbe wangu.
Ndiyo maana nimekueleza usome tena uelewe alichosema KitimaSina hakika kama majibu yako yanahusiana na ujumbe wangu.
Sema upofu wa wajenga chuki kwake na taasisi anayoisemea ni ugonjwa unaohitaji tiba Mujarabu,vinginevyo ni maangamizi yajayo.1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.
Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
View attachment 3074699