Upo wapi . . .

Pure Mathematics

Senior Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
174
Reaction score
52
Upo wapi mida hii mwana chit chat . . . Me nipo kwa party nakula vituz vya moto na baridi, lol
 
Mataa ya Ubungo naongoza magari...
 
Sijui hapa ni club gani mama totoo Evelyn Salt ndo kanileta hapa kwa mbaali namuona mamndenyi kakaa ktk sofa pembeni kabisa ya ukumbi nadhani atakuwa anakunywa malta japo anaonekana ana huzuni.
 
Last edited by a moderator:
Sijui hapa ni club gani mama totoo Evelyn Salt ndo kanileta hapa kwa mbaali namuona mamndenyi kakaa ktk sofa pembeni kabisa ya ukumbi nadhani atakuwa anakunywa malta japo anaonekana ana huzuni.

Hapa ni The stone night club dia....
 
Afu na wewe kakangu bwana. Umeulizwa uko wapi, na sio mko wapi? Kuna watu wana wivu kama majoka ya mdimu, kuna siku utazodolewa, ohooo.

hahaha. Mimi sio mbinafsi. Tupo wawili hapa. Sasa kwa niseme kuwa nipo peke yangu?
Narudi
 
mwisho wamwezi ukifika kuna mb mengi sn ikifika tarehe 10 mifuko imetoboka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…