Upo wapi ufundi wangu?

Upo wapi ufundi wangu?

😁😁😁 tule pombe wa wivu mkubwa mno , nilitaka kuacha kama ndugu yetu Kiranga nikapata wivu mkubwa mno 😅pale nilipo ona koromeo la mwana linapokea utukufu 🍺😊
Wewe kubali tu huna stamina kwenye show za kibabe .

Kuanzia za tetemeko la ardhi mpaka za kukataa mkojo wa shetani.

Hizi show zote zinataka ubabe fulani hivi kushinda mechi 😂😂
 
Miaka ya 2003 kipindi cha ujana wangu ,na hapo movie mbalimbali zimetoka kwa fujo 😅

Kama muhanga wa movie, nikakutana na movie la spattacus hii anaijuia Seran na Vincenzo Jr mtaalamu wa movie

Nilikua naichapa napiga vitako kispatakasi na kile kifimbo cha manyoya 😅

Ila sasa hivi ni tako moja kwa wivu mkubwa , huku nikiwaza atataka shilingi ngapi gademitt 🤣
Hahahaa kadri umri unavyoenda ,damu inapungua kuchemka ,Mungu akikujalia umri mrefu hadi tako 1 itashindikana.
 
Wewe kubali tu huna stamina kwenye show za kibabe .

Kuanzia za tetemeko la ardhi mpaka za kukataa mkojo wa shetani.

Hizi show zote zinataka ubabe fulani hivi kushinda mechi 😂😂
Bwashee 😅 umenipa hasira mno , 😆 sema inaomba hela sana ila naenda kuichapa ki spattacus kmmmk😁
 
Back
Top Bottom