Upo wapi Anneth Benidicta?

Nakazia.
 
Hauko Siriaz.
Moshi sio mbinguni kwanini usiende kwa anti yake uulizie?
Acha uongo
 
KWA MLIOA KINA 'ANNETH'
KAMA JINA LA PILI NI BENEDICTA.

BASI KUNA MWAMBA ANAHITAJI SANA MSAADA.
 
Hauko Siriaz.
Moshi sio mbinguni kwanini usiende kwa anti yake uulizie?
Acha uongo
Kwenda Moshi kunahitaji nauli, mchawi na hela wapi na wapi. Huyu ni mchawi anataka kumchafua dada wa watu wala asichukuliwe serious
 
Naona roho ya kuwasaka wapenzi wa zamani imeingia nchini muasisi akiwa Kondboi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Embu tuwekee na wewe tusomeπŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…