Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,797
Ila mi niligoma hata nyama ya kawaida nikawa nahisi watanilisha na nyama za viumbe ambao siwaelewiHahahaaa. Niliona video moja hiyo yaani hawa madereva wa magari makubwa wanakulaga sana hizi nyama aiseee.
Wanakaushiwa kisha wanauziwa nikasema. Duuhh.