Heri wenye mioyo safi maana hao watauona ufalme wa Baba na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Mtoa mada tegemea majibu haya
[emoji117] yoteee
[emoji117]1 na 4
[emoji117]hamna
[emoji117]nashika nafasi
[emoji117]aiseeee
[emoji117]looohhh
[emoji117]napita kusoma komenti tuu
N.k n.k......Unajua kwann ??? watu PM hazipumui!! Sio wanawake sio wanaume ,humu ni Mtu na watu wake au watu na mtu wao!!
Mada yako umeilenga kabisaa penyewe , ila iyo ndo hali halisi.
Watu na watu wao wanapita kusoma polepole..sasa ole wako ukosee!!
Binafsi nipo namba 4.