Upo Bongo bahati mbaya?

Upo Bongo bahati mbaya?

Mkuu Kuna watu wanaakili za kitumwa kabisa na Hadi Leo wanaishi nazo.

Mostly ya watanzania wanaotaka kwenda nje ni ili kuwaonyesha waliobaki bongo kwamba wao wameyapatia maisha. Lakini kiukweli mimi sijawahi kuona haja ya kuishi nje ya bongo, Tanzania Kuna Raha sana.

Nimeishi Namibia kwa muda mfupi at least mtu angesema anaondoka bongo bhasi ningemwambia aende Namibia coz ni jamii iliyostaarabika, maisha yao ni bomba sana. Lakini vijana wengi wanawaza kwenda U.S.A, UK, FRANCE, NORWAY, DENMARK ukiwafuatilia kwa ndani kabisa utaona Nia Yao ni kupata wepesi wa.maisha na pia wapate kupost kwenye mitandao. Nothing more.
Mkuu,

Unaelewa kwamba kuna watu ni tofauti kifalsafa, kisaikolojia, kiutamaduni?

Wengine hata Tanzania hapohapo hawataki hata kutoka mikoani mwao kuja Dar?

Wengine hawataki hata kuoa kabila tofauti na kabila lao hapohapo Tanzania?

Na hata Ulaya na Marekani kuna watu hawataki kukaa nchi zao, wanasafiri kuishi nchi za mbali?

Unaelewa kuna sehemu ya hili jambo inaweza kuwa ni falsafa, utamaduni na saikolojia ya mtu tu si lazima iwe utumwa na ulimbukeni kama unavyosema?

Na hata ikiwa utumwa na ulimbukeni bado ni haki ya mtu kuamua anataka kuishi wapi?

Unaelewa kuwa mambo yale yale ambayo yanaweza kukufanya wewe uone Tanzania kuna raha sana, mfano watu kuwa overly social, kupandiana sana, kuchangamana sana, kusalimiana sana bila hata ratiba, kujuana sana, kuzoeana sana, yanaweza kumfanya mtu mwingine asiipende Tanzania kama sehemu ya kuishi kwa kuona ina utamaduni usiothamini faragha, ukimya na uhuru wa mtu binafsi?

Unaelewa kati ya watu wawili hawa hakuna aliyepatia au kukosea, wote wako sawa kwa sababu hili ni suala la mtu binafsi kuamua anataka nini yeye mwenyewe?

Umewahi kufikiria privileges na biases zako ni zipi, na zinakupofusha vipi usiwaelewe watu wengine upande wao ukoje, uka wa dismiss kuwa ni malimbukeni tu?

Nilikuwa na aunt yangu mmoja, alikuwa ana maisha mazuri sana Tanzania, kipindi cha Nyerere wakati bidhaa zilikuwa za shida, yeye alijuana na watu wa serikali na kupata bidhaa, alikuwa anaenda likizo kwenye mbuga za wanyama kaskazini mwa Tanzania, kwa ndege, akitaka chochote anapiga simu kwa marafiki zake waliojaa kwenye serikaki ya Nyerere, anapata, kuanzia nyumba za National Housing zilizo sehemu nzuri, mpaka bia wakati huo bia hazipatikani.

Huyu aunt yangu alikuwa anasema yeye hawaelewi watu wanaotaka kuondoka Tanzania, nchi nzuri kama hii, wanaondoka wanaenda wapi? Kufanya nini wakati maisha nazuri yapo Tanzania?

Huyu aunt yangu hakujua matatizo mengi ya Watanzania, kwa sababu alikuwa anaishi Masaki, ana privilege kubwa sana.

Sasa, na wewe ushawahi kuzitafiti privileges zako na biasea zako, kujua kuwa pengine Tanzania yako si sawa na Tanzania ya watu wengi? Kwamba watu wengi hawana privileges kama zako?

Na pengine si privileges za mali na access to power tu, pengine una privilege ya high tolerane for bullshit, from election fraud toTANESCOS shenanigans.

Ushawahi kufikiria kuwa huenda kuna watu hawajabarikiwa kuweza kukubali ujinga kama ulivyobarikiwa wewe, na hawa unatakiwa uwaelewe na kuwaheshimu tu?
 
Aiseeeeee kwa nyepesi za huku jua kali balaa🤣
Halafu hilo jua la bongo uwe hauna pesa ya lunch, wallah utajuta utasema uko jehanum halafu uwe hauna AC ila una feni linazunguka linapiga kelele kama mashine ya kusaga unga ,badala ya kupuliza upepo linapuliza joto. Mara paaap! umeme umekata na Tanesco wataurudisha kesho mchana, hilo joto ni balaa.
 
Ila we jamaa umedhamiria kukera 🤣🤣
Ujue mi kwa sehemu kubwa kuna muda hua napitia pitia mikocheni hapo umeme ukikatika ni dakk kadhaa umeme umerudi sasa njoo huku kwetu inama nikusweke aloooo wanakata umeme bila taarifa na wala hawaurudishi mapema

Hii nchii imeoza hakuna cha kuvutia cha kufanya mimi binafsi nifie kwenye hii ardhi labda nikose chance

Na kinachofanya niseme hivi ni kwa sababu hakuna dalili ya mendeleo ya kufanya watu waishi kwa standard ya karne ya 21 bila msongo wa mawazo labda matajiri

Dar es salaam ni jiji chafu kwa baadhi sehemu nyumba zipo hovyo hovyo
Yaani tafrani tupu
Mengine nimesema kwenye uzi juu nadhani umeona

Ufisadi tu mambo ya msingi hakuna
 
Ufisadi tu mambo ya msingi hak

Halafu kuna mtu anasema eti anaogopa mamtoni kuna upweke na baridi, Tanesco wanajikatia umeme hata hawajali madhara wanayopata watumiaji na uharibifu wa vitu. Na watu hawana pa kwenda. Hio nchi inahitaji hayo ma ccm yaondoke kwanza waje wengine na timu ya vijana wa kisasa labda ndio inaweza kupiga hatua. Kwa nchi kama bongo, umeme na maji vilitakiwa visimbue kabisa maana kuna maziwa na mito ya kutosha. Nchi zingine huyo Aweso angekua hana kazi na huyo nishati pia, tunashindwa na Rwanda! really.
 
Mkuu,

Unaelewa kwamba kuna watu ni tofauti kifalsafa, kisaikolojia, kiutamaduni?
Nakubali tumetofautiana ukweli.

Wengine hata Tanzania hapohapo hawataki hata kutoka mikoani mwao kuja Dar?

Nimeishi mikoa zaidi ya 20 hapa Tz, nimeongea ma watu aina tofauti tofauti na pia nimesikiliza mawazo yao.

Nimekutana na mtu, amezaliwa njombe, amekulia njombe, amesoma njombe, ameolea njombe tena ni nyumba ya pili na kwao, na watoto wake pia wanaishi kama yeye. Hivyo unachosema ni sahihi.

Lakini swali moja nilimuuliza? Je! Hutamani maisha mengine nje ya hapa ulipokulia na kuishi muda wote?

Jibu lake lilikua ni hivi, kwamba maisha ni Yale yale tuu, hata nikienda sehemu nyingine haitakuwa tofauti na hapa labda mazingira na watu ndio vitakua tofauti.

Hivyo kwa swali lako hili nitakujibu kwamba hawa wote wanaokubali kuishi sehemu Moja na wengine wanaotaka kuhama ni kwamba wote wapo sahihi ila kusema kwamba unaondoka sehemu kwasababu ya changamoto fulani hapo ndio nakataa.

Huyu jamaa niliemtolea mfano kwakweli hakuweza kuniambia shida zao pale kijijini lakini binafsi nilivyofika pale niliona changamoto nyingi sana, Yaani kukaa pale wiki tatu unaweza ukapata presha kwa mawazo😂😂😂. But for them it was like heaven.

Wengine hawataki hata kuoa kabila tofauti na kabila lao hapohapo Tanzania?
Ndio, nakubali na hata sababu zao nazikubali pia.

Nimekaa na wasukuma wao hawawezi kuoa kabila jingine na hata wakioa Hilo kabila na mahari pia inakua ndogo. Yaani kabila tofauti na wasukuma mahali mnaweza kupewa ng'ombe mbili😂😂😂😂🙌

Na hata Ulaya na Marekani kuna watu hawataki kukaa nchi zao, wanasafiri kuishi nchi za mbali?

Sijawashuhudia watu wa namna hii, na endapo wanatoka kwenda nchi zingine ni kwamba wao hawakimbii changamoto kama sisi waafrika. Nafikiri wao hufuata passion zao tuu.

Unaelewa kuna sehemu ya hili jambo inaweza kuwa ni falsafa, utamaduni na saikolojia ya mtu tu si lazima iwe utumwa na ulimbukeni kama unavyosema?

As adventure nakubali, ila unataka kuondoka nnchini kwako ili ukatafute maisha bora sehemu nyingine huu ni upumbavu kwasababu hata huko unakokwenda bado utakutana na changamoto sasa je! Umejipangaje kuzikabili changamoto za huko?? Na kama unaweza kuzikabili changamoto za huko unashindwa Nini kuzikabili changamoto za hapa????

Wazungu wanasema INTELLIGENT IS HOW YOU ADAPT TO CHANGES, Sasa kama mtu ni intelligent enough huwezi kukimbia changamoto.
Na hata ikiwa utumwa na ulimbukeni bado ni haki ya mtu kuamua anataka kuishi wapi?

Ni kweli na sahihi kabisa huwezi kumpangia mtu aishi wapi. Lakini pia ni vyema usipaseme vibaya pale ulipokua/unapokua.

What I mean ni kwamba kama umeona kuna nchi unapendezwa nayo bhasi ni haki Yako kwenda huko pasipo kupasema vibaya hapa ulipo au wengine wanapoishi.

Nakwambia dunia Leo ipo hivi ilivyo kutokana na baadhi ya nchi kuzisema vibaya nchi zingine. Imagine North Korea waishi maisha yao pasipo kuambiwa wapo chini ya udikteta si wataenjoy tuu maisha yao?

Unaelewa kuwa mambo yale yale ambayo yanaweza kukufanya wewe uone Tanzania kuna raha sana, mfano watu kuwa overly social, kupandiana sana, kuchangamana sana, kusalimiana sana bila hata ratiba, kujuana sana, kuzoeana sana, yanaweza kumfanya mtu mwingine asiipende Tanzania kama sehemu ya kuishi kwa kuona ina utamaduni usiothamini faragha, ukimya na uhuru wa mtu binafsi?

Mimi mwenyewe naishi hapa Tz kuna mambo mengi tuu ambayo yananikera, kwa yale ambayo naweza kuyabadilisha huwa napambana kuyabadilisha na yale ambayo siwezi huwa nayaacha tuu yanipite hata siwezi kuangaika nayo.

Watu wengi wanalalamikia siasa zetu, na ni kweli siasa zetu ni mbaya na ni chafu sana. Lakini je! Kila tatizo ni tatizo la kisiasa???

Je! Ugumu wa maisha hapo mjini Dar ni tatizo la kisiasa??? Yaani mtu anafanya kazi ya kulipwa laki4 na anajua kabisa matumizi yake ni zaidi ya hicho kipato chake alafu anataka lawama apewe mwanasiasa kweli???

Ukienda njombe kuna madogo wanamiaka 20+ lakini wanamiliki mitaji ya milioni 50+ Sasa hapo shida ni Nini?

Ni lazima watu wajifunze kutafuta fursa, kama wanavyofikiri ulaya kuna maisha mazuri bhasi wayatafute kwanza hapa Tz, waende mikoa tofauti kwanza.

Binafsi Mimi ni mkazi wa Dar lakini ninamakazi pia Mbeya, Njombe, Iringa na Dodoma huko nalipia Kodi na sifanyi hivyo kwamba ninakipato kikubwa hapana, nafanya hivyo ili kuzitumia fursa tuu.

Unaelewa kati ya watu wawili hawa hakuna aliyepatia au kukosea, wote wako sawa kwa sababu hili ni suala la mtu binafsi kuamua anataka nini yeye mwenyewe?

Ni sahihi lakini Kuna mmoja anakosea sana kupasema vibaya sehemu ambapo Bado yupo.

Kaka tusichokielewa ni kitu kimoja, haya tunayoyaandika huku yatabaki kuwa historia na kuna wadogo zetu pia wanajifunza kutoka kwetu, Sasa tukiacha humu kumbukumbu mbaya ni lazima kizazi kijacho kitakuja kuuishi huo ubaya tunaowafundisha Leo.

Inshort kama mtu ameshindwa kuishi bongo bhasi aseme kwamba yeye ameamua kutafuta maisha upande mwingine wa nchi pasipo kutangaza ubaya wa hapa bongo.

Tunapopishana kati yetu ni kwamba kila mtu analazimisha upande wake ndio uonekane ni sahihi, na mwisho nilihitimisha kwa kusema Kila mtu abakie na anachokiona ni sahihi pasipo kusema Cha mwenzake ni kibaya.

Umewahi kufikiria privileges na biases zako ni zipi, na zinakupofusha vipi usiwaelewe watu wengine upande wao ukoje, uka wa dismiss kuwa ni malimbukeni tu?

Yaani kwa fursa zilizopo Tz ni kwamba kila mtu anaweza kuwa tajiri akitumia akili yake vizuri. Hakuna kitu kinanifumba kwamba nisione changamoto.

Kama rushwa naombwa sana, na huko barabarani ndio usiseme ni changamoto juu ya changamoto but we survive and move on.

Nilikuwa na aunt yangu mmoja, alikuwa ana maisha mazuri sana Tanzania, kipindi cha Nyerere wakati bidhaa zilikuwa za shida, yeye alijuana na watu wa serikali na kupata bidhaa, alikuwa anaenda likizo kwenye mbuga za wanyama kaskazini mwa Tanzania, kwa ndege, akitaka chochote anapiga simu kwa marafiki zake waliojaa kwenye serikaki ya Nyerere, anapata, kuanzia nyumba za National Housing zilizo sehemu nzuri, mpaka bia wakati huo bia hazipatikani.

Huyu aunt yangu alikuwa anasema yeye hawaelewi watu wanaotaka kuondoka Tanzania, nchi nzuri kama hii, wanaondoka wanaenda wapi? Kufanya nini wakati maisha nazuri yapo Tanzania?

Huyu aunt yangu hakujua matatizo mengi ya Watanzania, kwa sababu alikuwa anaishi Masaki, ana privilege kubwa sana.

Sasa, na wewe ushawahi kuzitafiti privileges zako na biasea zako, kujua kuwa pengine Tanzania yako si sawa na Tanzania ya watu wengi? Kwamba watu wengi hawana privileges kama zako?

Na pengine si privileges za mali na access to power tu, pengine una privilege ya high tolerane for bullshit, from election fraud toTANESCOS shenanigans.

Ushawahi kufikiria kuwa huenda kuna watu hawajabarikiwa kuweza kukubali ujinga kama ulivyobarikiwa wewe, na hawa unatakiwa uwaelewe na kuwaheshimu tu?

Mkuu umetolea mfano mkubwa sana, labda nikwambie tuu.

Mbeya, Chunya, Makongorosi kuku wa kienyeji anauzwa mpaka elfu 45 na ni kuku mmoja, debe la pumba ni tsh2000 mtu amekomaa kukaa Dar sehemu ambayo kipato si Cha uhakika kwanini asiende sehemu kama hizo???

Kuna mambo hayahitaji connection Wala mitaji mikubwa Yaani ni mtu tuu kuamua na kuanza safari yake ya kuutafuta utajiri. Na hapa ndipo point yangu ilipo kwamba sisi wote tunaweza kuwa matajiri na endapo kuna mtu atakuja kukuzuia kuwa tajiri wewe kufa nae tuu.

Tuache kulaumu, Bali tutafute maisha bora kwetu wenyewe. Masuala ya siasa tuwaachie wanasiasa na sisi tufanye uliowajibu wetu.
 
Nakubali tumetofautiana ukweli.

Nimeishi mikoa zaidi ya 20 hapa Tz, nimeongea ma watu aina tofauti tofauti na pia nimesikiliza mawazo yao.

Nimekutana na mtu, amezaliwa njombe, amekulia njombe, amesoma njombe, ameolea njombe tena ni nyumba ya pili na kwao, na watoto wake pia wanaishi kama yeye. Hivyo unachosema ni sahihi.

Lakini swali moja nilimuuliza? Je! Hutamani maisha mengine nje ya hapa ulipokulia na kuishi muda wote?

Jibu lake lilikua ni hivi, kwamba maisha ni Yale yale tuu, hata nikienda sehemu nyingine haitakuwa tofauti na hapa labda mazingira na watu ndio vitakua tofauti.

Hivyo kwa swali lako hili nitakujibu kwamba hawa wote wanaokubali kuishi sehemu Moja na wengine wanaotaka kuhama ni kwamba wote wapo sahihi ila kusema kwamba unaondoka sehemu kwasababu ya changamoto fulani hapo ndio nakataa.

Huyu jamaa niliemtolea mfano kwakweli hakuweza kuniambia shida zao pale kijijini lakini binafsi nilivyofika pale niliona changamoto nyingi sana, Yaani kukaa pale wiki tatu unaweza ukapata presha kwa mawazo😂😂😂. But for them it was like heaven.

Ndio, nakubali na hata sababu zao nazikubali pia.

Nimekaa na wasukuma wao hawawezi kuoa kabila jingine na hata wakioa Hilo kabila na mahari pia inakua ndogo. Yaani kabila tofauti na wasukuma mahali mnaweza kupewa ng'ombe mbili😂😂😂😂🙌

Sijawashuhudia watu wa namna hii, na endapo wanatoka kwenda nchi zingine ni kwamba wao hawakimbii changamoto kama sisi waafrika. Nafikiri wao hufuata passion zao tuu.

As adventure nakubali, ila unataka kuondoka nnchini kwako ili ukatafute maisha bora sehemu nyingine huu ni upumbavu kwasababu hata huko unakokwenda bado utakutana na changamoto sasa je! Umejipangaje kuzikabili changamoto za huko?? Na kama unaweza kuzikabili changamoto za huko unashindwa Nini kuzikabili changamoto za hapa????

Wazungu wanasema INTELLIGENT IS HOW YOU ADAPT TO CHANGES, Sasa kama mtu ni intelligent enough huwezi kukimbia changamoto.

Ni kweli na sahihi kabisa huwezi kumpangia mtu aishi wapi. Lakini pia ni vyema usipaseme vibaya pale ulipokua/unapokua.

What I mean ni kwamba kama umeona kuna nchi unapendezwa nayo bhasi ni haki Yako kwenda huko pasipo kupasema vibaya hapa ulipo au wengine wanapoishi.

Nakwambia dunia Leo ipo hivi ilivyo kutokana na baadhi ya nchi kuzisema vibaya nchi zingine. Imagine North Korea waishi maisha yao pasipo kuambiwa wapo chini ya udikteta si wataenjoy tuu maisha yao?

Mimi mwenyewe naishi hapa Tz kuna mambo mengi tuu ambayo yananikera, kwa yale ambayo naweza kuyabadilisha huwa napambana kuyabadilisha na yale ambayo siwezi huwa nayaacha tuu yanipite hata siwezi kuangaika nayo.

Watu wengi wanalalamikia siasa zetu, na ni kweli siasa zetu ni mbaya na ni chafu sana. Lakini je! Kila tatizo ni tatizo la kisiasa???

Je! Ugumu wa maisha hapo mjini Dar ni tatizo la kisiasa??? Yaani mtu anafanya kazi ya kulipwa laki4 na anajua kabisa matumizi yake ni zaidi ya hicho kipato chake alafu anataka lawama apewe mwanasiasa kweli???

Ukienda njombe kuna madogo wanamiaka 20+ lakini wanamiliki mitaji ya milioni 50+ Sasa hapo shida ni Nini?

Ni lazima watu wajifunze kutafuta fursa, kama wanavyofikiri ulaya kuna maisha mazuri bhasi wayatafute kwanza hapa Tz, waende mikoa tofauti kwanza.

Binafsi Mimi ni mkazi wa Dar lakini ninamakazi pia Mbeya, Njombe, Iringa na Dodoma huko nalipia Kodi na sifanyi hivyo kwamba ninakipato kikubwa hapana, nafanya hivyo ili kuzitumia fursa tuu.

Ni sahihi lakini Kuna mmoja anakosea sana kupasema vibaya sehemu ambapo Bado yupo.

Kaka tusichokielewa ni kitu kimoja, haya tunayoyaandika huku yatabaki kuwa historia na kuna wadogo zetu pia wanajifunza kutoka kwetu, Sasa tukiacha humu kumbukumbu mbaya ni lazima kizazi kijacho kitakuja kuuishi huo ubaya tunaowafundisha Leo.

Inshort kama mtu ameshindwa kuishi bongo bhasi aseme kwamba yeye ameamua kutafuta maisha upande mwingine wa nchi pasipo kutangaza ubaya wa hapa bongo.

Tunapopishana kati yetu ni kwamba kila mtu analazimisha upande wake ndio uonekane ni sahihi, na mwisho nilihitimisha kwa kusema Kila mtu abakie na anachokiona ni sahihi pasipo kusema Cha mwenzake ni kibaya.

Yaani kwa fursa zilizopo Tz ni kwamba kila mtu anaweza kuwa tajiri akitumia akili yake vizuri. Hakuna kitu kinanifumba kwamba nisione changamoto.

Kama rushwa naombwa sana, na huko barabarani ndio usiseme ni changamoto juu ya changamoto but we survive and move on.

Mkuu umetolea mfano mkubwa sana, labda nikwambie tuu.

Mbeya, Chunya, Makongorosi kuku wa kienyeji anauzwa mpaka elfu 45 na ni kuku mmoja, debe la pumba ni tsh2000 mtu amekomaa kukaa Dar sehemu ambayo kipato si Cha uhakika kwanini asiende sehemu kama hizo???

Kuna mambo hayahitaji connection Wala mitaji mikubwa Yaani ni mtu tuu kuamua na kuanza safari yake ya kuutafuta utajiri. Na hapa ndipo point yangu ilipo kwamba sisi wote tunaweza kuwa matajiri na endapo kuna mtu atakuja kukuzuia kuwa tajiri wewe kufa nae tuu.

Tuache kulaumu, Bali tutafute maisha bora kwetu wenyewe. Masuala ya siasa tuwaachie wanasiasa na sisi tufanye uliowajibu wetu.
Mkuu,

Unasema kwamba haiwezekani au haitakiwi mtu kuwa

1. Akasema bila kuremba, kwamba Bongo ni objectively pabaya, angalau kwenye mambo muhimu kwake.

2. Na yeye ana haki kupasema pabaya, usimpangie cha kusema, that is censorship. Moja ya matatizo ya Watanzania anayoyakimbia. Jadili kama yuko sawa ama la, usimkataze kusema anavyofikiri.

3. Na yeye hana uwezo wa kupabadilisha, hizo habari zako za kumwambia mtu a adapt to changes wakati hujui uwezo wake kwa kweli ni ukatili na kukosa empathy tu, ni kati ya matatizo anayotaka kuyakimbia Tanzania. Watu wengi wanapenda sana kupangiana maisha kikatili bila kuwafikiria wengine wanataka nini, wana uwezo gani, wana vipaji gani, etc.

4. Na anaishi maisha mara moja tu, and he doesn't want to spend his entire life being a Tanzanian, he is more than that. Hata idea ya Tanzania yenyewe inaonekana kuwa ni magumashi tu, imetengenezwa na Nyerere tu ina maswali mengi sana.

5. Na anataka kuishi sehemu ambayo panaendana na matakwa yake, falsafa zake, standards zake

6.Akasema hayo jambo factually, objectively, bila ulimbukeni.

7. Na hata hao wadogo zetu wakija kusoma wana haki ya kujua facts hizi, angalau fact ya kujua kuwa kuna watu wanafikiri hivi tu

Haya mambo hayawezekani kuwa kweli, sawa, na haki ya mtu?
 
Mkuu,

Unasema kwamba haiwezekani mtu akasema bila kuremba, kwamba Bongo ni objectively pabaya, angalau kwenye mambo muhimu kwake, na yeye ana haki kupasema pabaya, na yeye hana uwezo wa kupabadilisha, hizo habari zako za kumwambia mtu a adapt to changes wakati hujui uwezo wake kwa kweli ni ukatili na kukosa empathy tu, moja ya matatizo anayotaka kuyakimbia Tanzania, na anaishi maisha mara moja tu, and he doesn't want to spend his life being a Tanzanian, he is more than that, na anataka kuishi sehemu ambayo panaendana na matakwa yake, falsafa zake, standards zake?

I would rather use my last minute in doing things that can make me reach my target more than spend it on complaining on things that I cannot change.

Kwenye reply zangu za nyuma niliwashauri wajielekeze zaidi katika kupeana fursa za kwenda nje pia wapeane plan za kutoka nchini kuliko kuyaongelea matatizo ambayo hatuwezi kuyabadilisha.

Mostly people are here to complain and triggering the government so that they can complain asylum to the nation's which they wish to be. Huu ni upumbavu tuu kama unaona unadeserve something good more than what you have, you have to improve too on finding it.

Hizi maada za kulaumu laumu ni za kishamba.

Mimi binafsi nakutana na changamoto nyingi sana zinazohusu serikali lakini I can't complain I only find the alternative way.

Kuna Uzi nimeuandika juzi jinsi nilivyofanikiwa kusovle tatizo la mvua and am happy for it. Sikutaka kumlaumu Mungu ila nilitafuta njia mbadala.

Akasema hilo jambo factually, objectively, bila ulimbukeni.

Na hata hao wadogo zetu wakija kusoma wana haki ya kujua facts hizi, angalau fact ya kujua kuwa kuna watu wanafikiri hivi tu?

Kwanini wasijue fact kwamba tulipambana sana kuondokana na hali tuliyokua nayo kuliko waje kukuta fact kwamba tulikua tukifia baharini, wengine jangwani huku tukitafuta kuikimbia Afrika yetu???
 
I would rather use my last minute in doing things that can make me reach my target more than spend it on complaining on things that I cannot change.

Kwenye reply zangu za nyuma niliwashauri wajielekeze zaidi katika kupeana fursa za kwenda nje pia wapeane plan za kutoka nchini kuliko kuyaongelea matatizo ambayo hatuwezi kuyabadilisha.

Mostly people are here to complain and triggering the government so that they can complain asylum to the nation's which they wish to be. Huu ni upumbavu tuu kama unaona unadeserve something good more than what you have, you have to improve too on finding it.

Hizi maada za kulaumu laumu ni za kishamba.

Mimi binafsi nakutana na changamoto nyingi sana zinazohusu serikali lakini I can't complain I only find the alternative way.

Kuna Uzi nimeuandika juzi jinsi nilivyofanikiwa kusovle tatizo la mvua and am happy for it. Sikutaka kumlaumu Mungu ila nilitafuta njia mbadala.

Kwanini wasijue fact kwamba tulipambana sana kuondokana na hali tuliyokua nayo kuliko waje kukuta fact kwamba tulikua tukifia baharini, wengine jangwani huku tukitafuta kuikimbia Afrika yetu???
Mkuu,

Watu wana haki ya kulaumu, hata bika kufanya kazi, kwa sababu.

1. Kulaumu ni haki yao ya kibinadamu. Kwa hivumyo kimsingi kabisa hata kama ni ujinga, ni haki yao.

2. Inawezekana wewe ni mtu ambaye upo solution oriented, upo structured. Si kila mtu yuko hivyo. Kuna watu wengine wao lengo lao ni kuwasilisha fikra zao, mateso yao, hoja zao, ku connect na watu wanaofikiri kama wao, bila hata ya kujua next steps, au juwa solution oriented saana. Na oengine next steps zinaweza kupatikana katika mazungumzo hayo.

3. Hata next steps na solutions zisipopatikana, watu waka connect tu waka vent, wakajisikia relief, hiyo nayo pia ni comfort kwao. Sio lazima kila mtu aende Ulaya leo, au aibadikishe Tanzania leo, inawezekana kama ulivyosema kutakuja kuwa na watoto zetu watataka kufanya utafiti, Watanzania wa 2026 walifikiria nini kuhusu nchi yao na kuihama, kuiendeleza, wakapata majibu hapa.

Naona kama unakuwa na arrogance of intellectual myopia. Yani ni kama wewe una tabia fulani hivi, ambazo si lazima ziwe mbaya, inawezekana ni nzuri kabisa, hayo mambo ya kuwa solution oriented, kutopenda kulalamika etc, lakini hayo mambo ni yako, si lazima kila mtu awe hivyo.

Kuna watu ambao an emotional connection kwao ni muhinu kuliko hata hiyo kuwa solution oriented, na pengine wao nao wanakuona wewe mjinga kwa kutaka maongezi yaliyo solution oriented sana katika nchi ambayo solutions zenu zote zinategemea watu wachache sana ambao hawataki kubadilika.

Kwa hiyo pengine wewe unavyowaona hawa watu ni wazembe, wajinga, na wao wanakuona huyu nayee, anajiona msomi yuko solution oriented, wakati nchi gmyenyewe usomi hausaidii lolote, uchawa unafanikiwa kuliko usomi.

Wanakuonanwewe ni mtu unayeendeshwa na Status Anxiety kujifanya upo juu wakati kwenye uhalisia huna lolote unaloweza kubadili, bora wao wamekubali ukweli, wewe anaishi kwenye dunia delusional.

Yani wewe unawalalamikia wanaopenda kulalamika, halafu na wao wanakuona "huyu vipii, mbona na yeye hajioni kuwa anatulalamikia na sisi vile vile kama anavyosema sisi tunapenda kulalamika? Mbona hapa wote tunalalamika tu?"
 
Mkuu,

Unasema kwamba haiwezekani au haitakiwi mtu kuwa

1. Akasema bila kuremba, kwamba Bongo ni objectively pabaya, angalau kwenye mambo muhimu kwake.

2. Na yeye ana haki kupasema pabaya, usimpangie cha kusema, that is censorship. Moja ya matatizo ya Watanzania anayoyakimbia. Jadili kama yuko sawa ama la, usimkataze kusema anavyofikiri.

3. Na yeye hana uwezo wa kupabadilisha, hizo habari zako za kumwambia mtu a adapt to changes wakati hujui uwezo wake kwa kweli ni ukatili na kukosa empathy tu, ni kati ya matatizo anayotaka kuyakimbia Tanzania. Watu wengi wanapenda sana kupangiana maisha kikatili bila kuwafikiria wengine wanataka nini, wana uwezo gani, wana vipaji gani, etc.

4. Na anaishi maisha mara moja tu, and he doesn't want to spend his entire life being a Tanzanian, he is more than that. Hata idea ya Tanzania yenyewe inaonekana kuwa ni magumashi tu, imetengenezwa na Nyerere tu ina maswali mengi sana.

5. Na anataka kuishi sehemu ambayo panaendana na matakwa yake, falsafa zake, standards zake?

6.Akasema hayo jambo factually, objectively, bila ulimbukeni.

7. Na hata hao wadogo zetu wakija kusoma wana haki ya kujua facts hizi, angalau fact ya kujua kuwa kuna watu wanafikiri hivi tu?

Haya mambo hayawezekani kuwa kweli, sawa, na haki ya mtu?
Unajitahidi ila ni kama unatwanga maji kwenye kinu
But asante kwa reply zako nimezidi kijifunza vingi sana kwako

Mtazamo wako hua ni wakuacha watu waishi maisha yao na kufikiri bila kudogoshwa kwa mitazamo yao muhimu kuna fact za wazi na hata ukipinga hulazimishi mtu ahame mawazo yake
Thank you brother 🙏
 
Imagine mtu anakwambia usipaseme vibaya Tanzania.

But why? Isn't this censorship?

What is this now, Pravda?
 
Inashangaza tusipaseme Tanzania kua ni pabaya kwa kuhofia nini ?

Na kila kitu kipo wazi

Nimetoa mifano kwenye uzi kwani uongo si kweli niliyosema ni kweli tupu

Usafiri wa umma ni kero
Hospital za umma uchafu mazingira ya hovyo huduma mbovu unenda na mafua unarudi na kadhaa?

Mipango mji hovyoo
Machinga wamezagaa

Huduma kama umeme ni anasa si ni kweli?
Ukiacha mazingira ya pwani huko mbagala sijui temeke kigamboni wanapochimba visima vya maji

Huko kimara tegeta goba maji si anasa kwanini tusiseme haya wakati ni kweli?

Elimu shule za umma wanafunzi darasa moja watoto 300+

Mie siwezi kusema uongo bongo bahati mbaya

Na mbaya zaidi serikali haionesha juhudi kubadili hali iliyopo
Karne ya 21 tunaishi kama mbuni period!
 
Halafu kuna mtu anasema eti anaogopa mamtoni kuna upweke na baridi, Tanesco wanajikatia umeme hata hawajali madhara wanayopata watumiaji na uharibifu wa vitu. Na watu hawana pa kwenda. Hio nchi inahitaji hayo ma ccm yaondoke kwanza waje wengine na timu ya vijana wa kisasa labda ndio inaweza kupiga hatua. Kwa nchi kama bongo, umeme na maji vilitakiwa visimbue kabisa maana kuna maziwa na mito ya kutosha. Nchi zingine huyo Aweso angekua hana kazi na huyo nishati pia, tunashindwa na Rwanda! really.
Hapa Tanzania mambo ya msingi karibu yote ni anasa
 
Inashangaza tusipaseme Tanzania kua ni pabaya kwa kuhofia nini ?

Na kila kitu kipo wazi

Nimetoa mifano kwenye uzi kwani uongo si kweli niliyosema ni kweli tupu

Usafiri wa umma ni kero
Hospital za umma uchafu mazingira ya hovyo huduma mbovu unenda na mafua unarudi na kadhaa?

Mipango mji hovyoo
Machinga wamezagaa

Huduma kama umeme ni anasa si ni kweli?
Ukiacha mazingira ya pwani huko mbagala sijui temeke kigamboni wanapochimba visima vya maji

Huko kimara tegeta goba maji si anasa kwanini tusiseme haya wakati ni kweli?

Elimu shule za umma wanafunzi darasa moja watoto 300+

Mie siwezi kusema uongo bado bahati mbaya
Kuna watu fulani huwa hawapendi kusikia ukweli mchungu.

Wamejitengenezea namna ya ku square a circle kwa cognitive dissonance kubwa sana.

Watu kama hawa wana uwezo mkubwa sana wa kubadilisha mada ili tu kuendeleza ile cognitive dissonance yao.

Mfano, mkiongelea matatizo ya wazi kabisa, ya Tanzania, wao watataka kuku gaslight na ku blame the victim, watakulaumu wewe kwamba umeshindwa ku adapt na mazingira.

Yani nchi inaua watu willy nilly, bila hata kufuata au kujali sheria, na rais anasema nguvu iliyotumika ni sawa, una adapt vipi na mazingira hayo, unakubali kuwa unaweza kutekwa na kuuawa dakika yoyote?

Huyo jamaa anakuwa kama mtu aliye kwenye power structure, kwa kujua au kutokujua.

Anatetea mfumo kandamizi kwa namna moja au nyingine, kwa kusema maisha ni popote pale, you have to adapt to the environment, usiiseme vibaya Tanzania, na ana gaslight watu kusema wanaotaka kuondoka Tanzania ni kama wako weak hawawezi kuishi Tanzania.

Bila kujua kwamba kutaka kuishi bila woga, matatizo, ubaguzi etc ni haki ya binadamu wote.

Na si lazima mtu awe na solution, kuna maongezi mengine ni aspirational tu na pengine hayo ndiyo yana anzisha ku connect watu wanaofikiria sawa mpaka wakapata solution.

Na hakuna mtu aliyetuma maombi kuzaliwa Tanzania.

So why this patriotic overreach fuss?
 
Imagine mtu anakwambia usipaseme vibaya Tanzania.

But why? Isn't this censorship?

What is this now, Pravda?
Haahaha usipaseme vibaya wakati ni ukweli mtupu li nchi libaya mashida mengi tuu, wachache wanafaidi keki ya taifa na wengi wanahangaika na mashida yao hata kula mlo mmoja ni tabu halafu huyo mturutumbi anataka wapasifie tu. Lazima watu waseme ukweli nchi imefika hapa kutokana na fikra kama za huyo jamaa eti watu wakubali wakae wapambanie bongo tu kijinga jinga huku wako kwenye mateso.
 
Kuna watu fulani huwa hawapendi kusikia ukweli mchungu.

Wamejitengenezea namna ya ku square a circle kwa cognitive dissonance kubwa sana.

Watu kama hawa wana uwezo mkubwa sana wa kubadilisha mada ili tu kuendeleza ile cognitive dissonance yao.

Mfano, mkiongelea matatizo ya wazi kabisa, ya Tanzania, wao watataka kuku gaslight na ku blame the victim, watakulaumu wewe kwamba umeshindwa ku adapt na mazingira.

Yani nchi inaua watu willy nilly, bila hata kufuata au kujali sheria, na rais anasema nguvu iliyotumika ni sawa, una adapt vipi na mazingira hayo, unakubali kuwa unaweza kutekwa na kuuawa dakika yoyote?

Huyo jamaa anakuwa kama mtu aliye kwenye power structure, kwa kujua au kutokujua.

Anatetea mfumo kandamizi kwa namna moja au nyingine, kwa kusema maisha ni popote pale, you have to adapt to the environment, usiiseme vibaya Tanzania, na ana gaslight watu kusema wanaotaka kuondoka Tanzania ni kama wako weak hawawezi kuishi Tanzania.

Bila kujua kwamba kutaka kuishi bila woga, matatizo, ubaguzi etc ni haki ya binadamu wote.

Na si lazima mtu awe na solution, kuna maongezi mengine ni aspirational tu na pengine hayo ndiyo yana anzisha ku connect watu wanaofikiria sawa mpaka wakapata solution.

Na hakuna mtu aliyetuma maombi kuzaliwa Tanzania.

So why this patriotic overreach fuss?
Kaka, wengine wetu tunahitaji kuacha kusema ukweli tena ulio wazi kama uchi wa mbuzi?
Ni ngumu sana hasa kwangu, kuanza kukaa na kusifia uozo

Tupo karne ya 21 lakini ni kama bado tupo enzi za ujima
Hovyo kabisa! Oooh, wazungu hivi wazungu vile!
Mtu anayesema hivyo yupo kwenye gari la Mzungu
anatype kwa kutumia PC ya Mzungu Akiugua, hamezi tena miti shamba kama babu zake anakimbilia hospitali kupima kwa kutumia mashine za Mzungu

Maisha ya baadhi ya nchi za Ulaya yanavutia kuishi na ni kwa sababu wenzetu wameendelea kistaarabu na uwajibikaji

Huku kwetu hakuna ustaarabu huo, ndiyo maana hata kukosoa kunakuwa jinai au unaambiwa wewe si mzalendo

Mbaya zaidi mpaka leo hakuna dalili za mabadiliko
Watoto bado hawana madawati wanakaa chini
Utasema ninunue mimi dawati?
Kwani kodi na tozo tunazolipa zinaenda wapi?

Ni upumbavu kusifia upumbavu. I can't!
 
Nakuelewa sana dada.

Ujue kuna wenzetu ambao walishawahi kukaa nje, halafu ama wakashindwa kwenda na maisha ya huku, ama hawakuyapenda, wakarudishwa au kurudi wenyewe nyumbani.

Kati ya hawa, na sisemi huyu mwamba ni mmoja wao necessarily, lakini napanua muktadha tu vitu vya kufikiria, kati ya hawa, kuna watu ambao suala la kukaa Tanzania au nje linakuwa suala very oersonal na ideological kwao, kwa namna ambayo facts don't matter, it is a philosophical, ideological, passionately emotional issue.

Yani ukiisema vibaya Tanzania na kutaka kwenda kuishi nje, which is your human right, kwao hawa, whether wanajua consciously au wanafanya kwa kutokujua subconsciously, unawatonesha kidonda cha siku zao walivyoishi nje na kushindwa au kutopapenda.

Wanakuwa si tu hawakuelewi, which is alright, lakini wanaona huna haki ya kufikiri hivyo, which is not alright.

Kwa hiyo mjadala unakuwa si wa kutazama objective facts, mjadala unakuwa wa kujadili identity politics.

Ndiyo maana unaweza kuona mtu anashindwa kujadili facts, anakuja na hoja ya "mimi nishakaa nje miaka hii na hii na nimeamua kurudi Tanzania etc". That is irrelevant, this is not about you.

Lakini wao wanaifanya inakuwa about them, na hapo ndioo facts wasizozioenda zinakuwa ngumu kumeza wanataka mpaka kufanya censorhsip msiseme mnavyofikiri.

Jambo hili linanipa swali, inakuwaje mtu ameishi nje kama anavyosema halafu haoni tabu kufanya censorship kiwazi hivi? Maana angekuwa hajatoka Tanzania tungeweza kusema labda ni ushamba wa Kitanzania tu, watu wanafanya censorship kwa sababu hata hawajui censorship ni nini. Lakini, huyu je?

Mimi kuna cousin wangu yuko hivyo kwa hiyo naelewa. Yeye alikuja US kabla yangu, lakini alikuwa na mapepe sana ya kurudi Tanzania every summer ajioneshe kwa waja kwamba na yeye anakaa Marekani. Wakati papers zake hazijakaa sawa alihitaji ku renew student visa yake. Kipindi cha 9/11 walivyoanza kufuatilia watu wenye visa za wanafunzi kama kweli wanaenda vyuoni, alivyorudi Tanzania kuongeza visa wakamkatalia. Wakasema wewe mbona hata chuoni kwenyewe hujafika?

Akabaki bongo, uzuri kuna network ndefu ya kifamilia ikambeba akaendelea na kazi huko. Lakini na yeye alipitia hii cognitive dissonance ya "maisha popote, una adjust tu". Hayo ni maneno ambayo ilikuwa lazima aseme ili kujifariji. Ila mwishoni unaona kabisa mambo si mazuri huko, mizinga mingi. Tunasaidiana lakini, that is no biggie.

My point is, kuna baadhi ya watu wanaorudi Tanzania kiukweli kabisa wao wanaona kuishi nje tabu. I know friends of mine who are like this. Kuna mmoja anasema hata likizo atazunguka Africa tu sasa. Na kuna wanaorudi au kurudishwa Tanzania kwa sababu wameshindwa kuishi nje. Na kati ya hawa, wengi kufanya nao maongezi objective ni vigumu, kwa sababu hili si suala la hoja za kimantiki kwao, hiki ni suala la identity politics.

Ndiyo maana unaona mtu anakuambia ujinga wa usiiseme vibaya Tanzania, wewe adapt na mazingira tu.

Wakati hata hajui uwezo wako wa ku adapt na mazingira ukoje.
 
Mkuu,

Watu wana haki ya kulaumu, hata bika kufanya kazi, kwa sababu.

1. Kulaumu ni haki yao ya kibinadamu. Kwa hivumyo kimsingi kabisa hata kama ni ujinga, ni haki yao.
Naweza kukubali hapa Mimi ni mjinga na sijui lolote. Kama kulalamika ni haki bhasi sawa tuendelee kulalamika.

Ninachokiogopa sana ni baadae vijana waje kuwaona matajiri kama ni watu wabaya au ni watu waliopoka haki za watu wengine. But we have equal chance to make changes.

2. Inawezekana wewe ni mtu ambaye upo solution oriented, upo structured. Si kila mtu yuko hivyo. Kuna watu wengine wao lengo lao ni kuwasilisha fikra zao, mateso yao, hoja zao, ku connect na watu wanaofikiri kama wao, bila hata ya kujua next steps, au juwa solution oriented saana. Na oengine next steps zinaweza kupatikana katika mazungumzo hayo.
Sawa, jambo jema ni kuliaddress tatizo na sio kumlaumu.
Ukifuatilia comment zangu Kuna mahali nimewaambia Tanesco kero zangu na hata sio muda mrefu sana.

Nafikiri jambo jema ni kuliaddress tatizo and finding solution for it.

3. Hata next steps na solutions zisipopatikana, watu waka connect tu waka vent, wakajisikia relief, hiyo nayo pia ni comfort kwao. Sio lazima kila mtu aende Ulaya leo, au aibadikishe Tanzania leo, inawezekana kama ulivyosema kutakuja kuwa na watoto zetu watataka kufanya utafiti, Watanzania wa 2026 walifikiria nini kuhusu nchi yao na kuihama, kuiendeleza, wakapata majibu hapa.

Kama kuongea inawapa relief bhasi kwao hii ndio solution. Wale wanaoweza kubadilisha mazingira bhasi tuendelee tuu kubadilisha mazingira tusioyapenda na wale wanaoongea waendelee tuu kuongea.

Naona kama unakuwa na arrogance of intellectual myopia. Yani ni kama wewe una tabia fulani hivi, ambazo si lazima ziwe mbaya, inawezekana ni nzuri kabisa, hayo mambo ya kuwa solution oriented, kutopenda kulalamika etc, lakini hayo mambo ni yako, si lazima kila mtu awe hivyo.
Hata hivyo simlazimishi yeyote kuwa kama Mimi, Mzee hilo jua la Dar haliwezi kuondoka na hiyo foleni haiwezi kupungua la sivyo tununue magari na nyumba zenye AC au tuhame nchi bhaaasi.

Solution siyo lazima uwe kwa jamii nzima sometimes it's only for a self. Sasa hapa ni lazima tutafute self solution na ukiona huwezi kutafuta self solution bhasi wewe komaa kuteseka.

Kuna watu ambao an emotional connection kwao ni muhinu kuliko hata hiyo kuwa solution oriented, na pengine wao nao wanakuona wewe mjinga kwa kutaka maongezi yaliyo solution oriented sana katika nchi ambayo solutions zenu zote zinategemea watu wachache sana ambao hawataki kubadilika.
Mimi sikatai mtu kuniona mjinga ila muhimu Mimi changamoto zangu nazitatua, na hapa ndipo baadae tutakuja kuziona classes. Yaani aliyekula ndizi na aliyekula Ganda😂😂😂

Hii nchi bhana kuna watu ni matajiri na wanaishi porini huko na hata hawagombani na kupigiana kelele na serikali. Kuna mzee Njombe yeye kila mwaka anachana mbao laki mbili 200,000 huyu Mzee anatembelea Land cruiser LX na hiyo Huwa anakwenda nayo mashambani, zile sehemu korofi anapita bila hata shida. Huyu nae utamwambia sijui serikali imefanya Nini akuelewe??

Mtu anaibiwa milioni 10 alafu anaishia kumfukuza kazi kijana wake😂😂😂😂

Tuache mentality za kimaskini.

Kwa hiyo pengine wewe unavyowaona hawa watu ni wazembe, wajinga, na wao wanakuona huyu nayee, anajiona msomi yuko solution oriented, wakati nchi gmyenyewe usomi hausaidii lolote, uchawa unafanikiwa kuliko usomi.

Hili halinipi shida hata kidogo as long as mambo yangu yanakwenda.

Mkuu hizo changamoto watu wote wanazipata, labda nikwambie nilishawahi kuongea na wafanyabiashara wengi na wakubwa nao pia wanaosema hizo changamoto but they always find a way out.

Kwahiyo kunisema Mimi kwamba najifanya nipo solution oriented ni kwasababu mimi nipo huku kucomment but I can stay quiet and make it silently.

Wanakuonanwewe ni mtu unayeendeshwa na Status Anxiety kujifanya upo juu wakati kwenye uhalisia huna lolote unaloweza kubadili, bora wao wamekubali ukweli, wewe anaishi kwenye dunia delusional.

Mkuu sioni chochote serikali unaweza kubadilisha ili kunisaidia Mimi, otherwise naona kwamba natakiwa niwapate watu wenye mentality kama yangu alafu tufanye jambo la kubadili Yale ambayo serikali imeshindwa.

Yani wewe unawalalamikia wanaopenda kulalamika, halafu na wao wanakuona "huyu vipii, mbona na yeye hajioni kuwa anatulalamikia na sisi vile vile kama anavyosema sisi tunapenda kulalamika? Mbona hapa wote tunalalamika tu?"

Sio nalalamika, naweza nikaungana nao but kiuhalisia sipo pamoja nao.
 
Naweza kukubali hapa Mimi ni mjinga na sijui lolote. Kama kulalamika ni haki bhasi sawa tuendelee kulalamika.

Ninachokiogopa sana ni baadae vijana waje kuwaona matajiri kama ni watu wabaya au ni watu waliopoka haki za watu wengine. But we have equal chance to make changes.

Sawa, jambo jema ni kuliaddress tatizo na sio kumlaumu.
Ukifuatilia comment zangu Kuna mahali nimewaambia Tanesco kero zangu na hata sio muda mrefu sana.

Nafikiri jambo jema ni kuliaddress tatizo and finding solution for it.

Kama kuongea inawapa relief bhasi kwao hii ndio solution. Wale wanaoweza kubadilisha mazingira bhasi tuendelee tuu kubadilisha mazingira tusioyapenda na wale wanaoongea waendelee tuu kuongea.

Hata hivyo simlazimishi yeyote kuwa kama Mimi, Mzee hilo jua la Dar haliwezi kuondoka na hiyo foleni haiwezi kupungua la sivyo tununue magari na nyumba zenye AC au tuhame nchi bhaaasi.

Solution siyo lazima uwe kwa jamii nzima sometimes it's only for a self. Sasa hapa ni lazima tutafute self solution na ukiona huwezi kutafuta self solution bhasi wewe komaa kuteseka.

Mimi sikatai mtu kuniona mjinga ila muhimu Mimi changamoto zangu nazitatua, na hapa ndipo baadae tutakuja kuziona classes. Yaani aliyekula ndizi na aliyekula Ganda😂😂😂

Hii nchi bhana kuna watu ni matajiri na wanaishi porini huko na hata hawagombani na kupigiana kelele na serikali. Kuna mzee Njombe yeye kila mwaka anachana mbao laki mbili 200,000 huyu Mzee anatembelea Land cruiser LX na hiyo Huwa anakwenda nayo mashambani, zile sehemu korofi anapita bila hata shida. Huyu nae utamwambia sijui serikali imefanya Nini akuelewe??

Mtu anaibiwa milioni 10 alafu anaishia kumfukuza kazi kijana wake😂😂😂😂

Tuache mentality za kimaskini.

Hili halinipi shida hata kidogo as long as mambo yangu yanakwenda.

Mkuu hizo changamoto watu wote wanazipata, labda nikwambie nilishawahi kuongea na wafanyabiashara wengi na wakubwa nao pia wanaosema hizo changamoto but they always find a way out.

Kwahiyo kunisema Mimi kwamba najifanya nipo solution oriented ni kwasababu mimi nipo huku kucomment but I can stay quiet and make it silently.

Mkuu sioni chochote serikali unaweza kubadilisha ili kunisaidia Mimi, otherwise naona kwamba natakiwa niwapate watu wenye mentality kama yangu alafu tufanye jambo la kubadili Yale ambayo serikali imeshindwa.

Sio nalalamika, naweza nikaungana nao but kiuhalisia sipo pamoja nao.
Hoja zako zina matatizo yafuatayo.

1. Unasema we have equal chances to make changes. We don't. Mtoto aliyezaliwa kwenye familia tajiri mwenye support network nzuri ana chance kubwa ya kufanya mabadiliko anayoyataka kwenye maisha yake kuliko mtoto aliyezaliwa katika familia masikini asiye na connections. Ndiyo maana hapo juu niliongelea suala la privilege na bias, inabidi uelewe somo la privilege na bias.

Watu wakishindwa kubadilisha maisha yao, kwa sababu nyingi tu zilizo ndani na nje ya uwezo wao, wewe unaona huo ni udhaifu wao, wameshindwa ku adapt na mazingira.

Kuna sababu nyingine ziko nje ya uwezo wa watu hawawezi kuzipangua hata wa adapt na mazingira vipi.

2. Unasema jambo jema ni kuli address tatizo si kulaumu. Hujui hata kama watu wanaelewa jinsi ya kuli address tatizo. Pengine kulaumu, ku vent, ku connect emotionally ndiyo stage ya kwanza na baada ya hapo ndipo watu wataanza kujiuliza, now what, what is our action plan? Pengine watu washapiga hesabu washaona hili tatizo kubwa sana hakiishi leo wala kesho, nhoja tu vent tu hapa. Na wewe unayepiga kelele za "solution, solution" bila hata yavju appreciate tatizo ndiyo usiyeelewa mambo hapa.

3. Hoja yako ya kibinafsi ya kila mtu kujinunulia gari ili kupambana na jua la Dar inaonesha si tu ubinafsi wako, lakini pia contradiction. Unaongelea kuwa solution oriented, lakini hujafikiria kuwa kila ntu akinunua gari na mitaa kujaa magari kutakuwa na tatizo la foleni, carbon emissions, na joto litazidi.

Umeshindwa hata kufikiria mfano wa a good public transport system itakayokuwa environmentally friendly and sustainable. This is not being solution oriented, this is just selfish in a very myopic way. You are being selfish and saying "I don't want to hear complains of your hunger while I am having my good time and eating steak you peasants".

4. Huyo Mzee mwenye mashamba ya mbao Njombe mimi ni baba yangu sasa, yeye ana mashamba huko huko Njombe, anatembelea gari kubwa hivyo hivyo, kama hilo, ingawa si model hiyo kwa hiyo najua si yeye exactly, anachanja mbao hivyo hivyo, anapangisha watu nyumba zake Oysterbay na Mbezi Beach na kulipwa US dollar nzuri tu, akichoka kukaa Tanzania anakuja Marekani muda anaotaka kutuona watoto na wajukuu wake kila mwaka. Mwaka jana kapewa offer na mtu anataka kununua nyumba yake moja, $3 million, USD, kakataa, hana shida.

Lakini ana historia ndefu sana ya kusomeshwa na nchi, kuwa mentored na wenzake kazini, kupata advantage za network ya familia aliyoikuta, hata kutangulia kusoma wakati Tanzania wasomi ni wachache tu kwa kiasi kwamba kijana anaye graduate leo kama yeye alivyo graduate miaka hiyo, hana chances zilezile tena.

Na hapo ndipo hoja yako ya kwamba wote tuna nafasi sawa inaposhindwa. Huyu mzee ame graduate chuo kikuu nje in the early 70s huko, kafanya kazi miaka mingi, kanunua mashamba kemkem na kujenga nyumba miaka hiyo bei rahisi, kapanda ngazi siku hizo hakuna wasomi wengi, utasemaje kijana anayeanza maisha leo naye ana nafasi ya kufanikiwa hivyo hivyo wakati idadi ya watu kuongezeka kwenye competition tu inaondoa msingi wa hoja yako?

Achilia mbali huyo, hata mimi mtoto wake, nilivyoanza maisha tu nina advantage mshua msomi, ana kazi ya maana, mazingira ya nyumbani naona mazuri. Nilikuwa najivunia sana utashi wangu na utamaduni wa kusoma vitabu, nikisema watu wengine ni wazembe, hawasomi sana, na mimi nina jitihada binafsi sana za kusoma (currently reading Jared Diamond's new book "Profits, Prophets, Coaches and Kings: (When) Do Leaders Matter?"), until my friends exposed my privilege, kwamba pengine ndiyo kuna juhudi binafsi, lakini ulikulia Oysterbay, kwa mzazi msomi, ukapelekwa Tanganyika Library na kufundishwa umuhimu wa vitabu tangu mdogo, ukajua British Council na USIS. Mama yako alikuwa anazungumza Kifaransa nyumbani wakati Watanzania hata Kiingereza kiliwatatiza. Tena akifanya kazi Ikulu enzi za Nyerere anakutana na Nyerere na wapambe wake kila siku. Wakasema "Check your privilege".

Sasa, na wewe unaposifia watu walioweza kufanikiwa, surely kuna element ya juhudi binafsi pengine imechangia, hatukatai. Lakini je, umeangalia privileges zao zote vizuri?

Na unapowasema wasiofanikiwa, hivi hii nchi ina mifumo kweli mpaka umlaumu mtu kwa kutofanikiwa?

Yani hata ukisema "Mbona Mengi kaitoa?" Sawa. But surely, tuna mifumo ya hata kuhakikisha watoto wanaoenda shule wanapimwa macho na kupewa miwani basoc tu waone vizuri tu kabla hata hatujaanza kusema nani mzembe na nani ana akili?

5. Umeangalia masuala ya maadili, yanayoweza kumfanya mtu brilliant anayefuata maadili asifanikiwe, na mtu mjinga asiyefuata maadili afanikiwe kwa wizi tu?
 
Back
Top Bottom