Upo Bongo bahati mbaya?

Upo Bongo bahati mbaya?

Salama mkuu
Shukran sana 🙏🙏
🙏🙏🤝
Asante sana kwa maoni yako mkuu.

Umesema unaipenda Tanzania
Naomba nikwambie kila mmoja wetu hapa anaipenda Tanzania tena sana
Ndiyo maana kila siku tunaandika hapa jukwaani tukidai mabadiliko
Kama unaipenda kwanini useme bongo bahati mbaya🤔🤔🤔🤪 tena ukatupia na wimbo wa Young D ambaye yeye mwenyewe alishapakimbia hapa nyumbani???

Kinachochukiwa si Tanzania kama nchi wala jina lake
Tunachokichukia na kutofurahishwa nacho ni mazingira yaliyopo
Mazingira ya hovyo mwanadamu kuishi karne ya 21
Mkuu haya mazingira magumu ndio changamoto zenyewe na Kila changamoto inafursa ndani yake.

Binafsi naona hizi changamoto tunaweza kuzitatua sisi wenyewe. Mfano uchafu katika masoko tunaweza kuondoa hiyo changamoto kwa kuweka masoko ya mtandao au tukagomea kwenda kununua bidhaa katika masoko machafu.

Mimi nikienda mahali nikakuta mazingira ya uchafu huwa sifumbii macho, nakuchana tuu, Sasa je! Hili la uchafu nalo tunataka Serikali ndio ipige kelele???

Kipindi Cha Magufuli kulikua na utaratibu wa kufanya usafi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi. Kwakweli ilikua ni changamoto sana kupata huduma katika hiyo siku, vijana wa halmashauri walikua wanasumbua sana endapo wataikuta biashara Yako imefunguliwa wakati wa kufanya usafi, Lakini mimi binafsi nilikua nafungua ofisi na nafanya biashara vizuri kabisa. Siku waliyonikamata niliwapa jibu jepesi tuu kwamba MIMI SIHITAJI KUAMBIWA NIFANYE USAFI MAANA BIASHARA YANGU INAHITAJI USAFI.

Pia nilikua nasumbuliwa sana na ushuru wa taka na kusafisha mitaro, lakini ilifikia kipindi nikawaambia ukweli kwamba siwezi kutoa tena Hela yangu kuwapa ninyi mpaka nije kuwaona mkisafisha mitaro pia gari la taka likipita walau mara mbili kwa wiki, kwa msimamo wangu huu tulipekeshana mpaka kwa mtendaji kata baadae polisi mwishowe ilibidi waniache tuu.

Kuna mahali kuna mashamba watu wanalima parachichi za kutosha lakini barabara ni changamoto, walichoamua ni kutafuta bulldozer na kuchonga barabara Yao. Hizi changamoto zingine inabidi sisi wenyewe ndio tuzitatue sio kila kitu ni lazima serikali. Ninachotaka kusema ni kwamba muda mwingine tuzitumie changamoto kama fursa pia kwetu wenyewe.

Mfano mwingine ni huo wa usafiri hapo Dar kwangu Mimi naona ni bonge la fursa lakini kwasasa shida ni mtaji tuu, pia walio na mitaji wanaangalia sehemu watakayopata Hela pasipo kuumia, kitu ambacho sio kweli hakuna mafanikio yasiyo na maumivu. We have to pay the price.
Uzuri ni kwamba baadhi ya kero umezitaja mwenyewe na umesema hukuambiwa bali wewe mwenyewe umeshuhudia

Hayo uliyoyasema na mengine mengi ndiyo yanayofanya baadhi yetu tusivutiwe kuishi Tanzania
Au walio njee ya Tanzania wasitamani kurudi
Lakini haimaanishi kwamba hatuipendi nchi yetu tunaipenda sana
Mkuu unataka nani aje kubadilisha haya???

Tukikimbia wote na kwenda ughaibuni ndio tutakua tumemaliza tatizo???

Akili ya namna hii nimeiona hata kwenye familia yetu, Kuna shamba lilikua porini sana lakini Mimi nilishawahi kwenda na nikakaa miezi mitatu lakini Kuna siku akatokea mteja akalitaka kwa milioni 400, binafsi nilikataa shamba kuuzwa lakini wanandugu wengine wakataka liuzwe eti kwasababu lipo mbali alafu pia hakuna mtu anaweza kuliangalia kwa ukaribu😓😓😡💔. Nikawauliza swali nani kati yenu alishawahi kwenda kukaa kule shamba hata wiki moja tuu??? Hakuna alietoa jibu nikawaambia Mimi nimeshakaa miezi mitatu hivyo hiyo sababu yenu haina mashiko na pia Haina msingi wowote. Shamba lipo mpaka kesho kutwa.

Kutokana na huo mfano ndio maana viongozi wetu wanauza rasilimali zote kwasababu wanaona wananchi wake wako busy kulaumu na wengine wanawaza kukimbia nchi, hivyo na wenyewe wanaona ni Bora wachukue chochote kitu.

Halafu pia mimi naona kama kuna kukosa elimu au uelewa wa masuala Fulani Fulani, hao diaspora wengi wanaishia kwenye masuala ya ubalozini tuu pia wanafikiri kila jambo linafanyiwa maamuzi kwa siasa au Kila tatizo linatatuliwa kwa siasa tuu.

Ngoja niwaibie Siri hapa, sisi watu weusi tumejaa upumbavu, ujinga na ubinafsi.
Hao waarabu na wahindi ndio wanawapa hela wanasiasa wetu ili wakabadilishe sera na kuweka sera zinazowabeba wao wenyewe tuu.

Kitu ambacho wengi wenu hamkifahamu ni hiki. CCM inawaogopa sana matajiri na siku watanzania watakapoamua kutafuta fedha kwa nguvu zote ndio siku ambayo CCM itatoka madarakani kwa njia yoyote ile au CCM itarudi kuwa chama cha siasa, nje na hapo tutasubiri sana na kulalamika sana.

Kuhusu kuongea na kupaza sauti kudai mabadiliko yanayoendana na kasi ya dunia wewe mwenyewe unaona kinachotoke
Pale tu ukijaribu kutoa maoni au kupinga jambo fulani unakutana na kesi za hapa na pale
Hapa nafikiri umemezwa na demokrasia ya uongo uongo, HAKUNA MABADILIKO YATAKUJA KWA KUONGEA ONGEA AU KUPAZA SAUTI.

Shuleni, kazini, nyumbani na hata sehemu yoyote wanayoishi watu wanajitambua ni kwamba hakuna kitu kinaitwa demokrasia hivyo Mimi sisapoti hayo masuala ya kupaza sauti au kukaa kupiga kelele humu mitandaoni. Kama nikiona jambo halipo sawa kwa upande wangu namtafuta muhusika namuelewesha tusipoelewana bhasi mwenye nguvu atapishwa tuu.

Tanzania ni nzuri kuitaja mdomoni
Tanzania ni nzuri kwa kutembelea ngorongoro na serengeti

Lakini ukirudi kwenye maisha halisi na makazi ya watu na huduma za kijami Tanzania haivutii kuishi na mtu aliestarabika
Tanzania ni nzuri sana endapo watanzania wote tutawajibika kuijenga nchi yetu. Nilitoa mifano ya barabara kwasababu kwa Sheria za nchi yetu mtu binafsi hauruhusiwi kuchonga barabara ndio maana nikasema serikali iwajibike kwenye kuchonga barabara, lakini hata hivyo inawezekana kwa mtu binafsi kuchonga barabara pia. Baba yangu Mimi alishawahi kuchonga barabara japokuwa ilileta mgogoro na TANROAD lakini kulikua hakuna namna hatuwezi kusubiri TANROAD waje kwa wakati wanaoujua wao.

Tuache kulalamika, tuache kuwaza kukimbia changamoto alafu tutafute namna ya kuzitatua hizi changamoto zetu.
 
Aliesema anafurahia huduma mbovu ni nani?? Mbona mnahamisha mjadala.
Issue ni kuipenda nchi yako au kutamani ungekua majuu.

Nimechagua kuipenda, na sababu za kuipenda nchi fulani sio hizo tu za huduma, kuna mengi nyuma ya hayo.

Hujawahi kusikia mtu anaenda nje kunamshinda na kwa hiari yake anarudi bongo akidai mazingira ya huko yamemshinda.

Na hizo nchi sio kua haziendeki, zinaendeka kwanini msiende??
Mkuu Kuna watu wanaakili za kitumwa kabisa na Hadi Leo wanaishi nazo.

Mostly ya watanzania wanaotaka kwenda nje ni ili kuwaonyesha waliobaki bongo kwamba wao wameyapatia maisha. Lakini kiukweli mimi sijawahi kuona haja ya kuishi nje ya bongo, Tanzania Kuna Raha sana.

Nimeishi Namibia kwa muda mfupi at least mtu angesema anaondoka bongo bhasi ningemwambia aende Namibia coz ni jamii iliyostaarabika, maisha yao ni bomba sana. Lakini vijana wengi wanawaza kwenda U.S.A, UK, FRANCE, NORWAY, DENMARK ukiwafuatilia kwa ndani kabisa utaona Nia Yao ni kupata wepesi wa.maisha na pia wapate kupost kwenye mitandao. Nothing more.
 
🙏🙏🤝

Kama unaipenda kwanini useme bongo bahati mbaya🤔🤔🤔🤪 tena ukatupia na wimbo wa Young D ambaye yeye mwenyewe alishapakimbia hapa nyumbani???

Mkuu haya mazingira magumu ndio changamoto zenyewe na Kila changamoto inafursa ndani yake.

Binafsi naona hizi changamoto tunaweza kuzitatua sisi wenyewe. Mfano uchafu katika masoko tunaweza kuondoa hiyo changamoto kwa kuweka masoko ya mtandao au tukagomea kwenda kununua bidhaa katika masoko machafu.

Mimi nikienda mahali nikakuta mazingira ya uchafu huwa sifumbii macho, nakuchana tuu, Sasa je! Hili la uchafu nalo tunataka Serikali ndio ipige kelele???

Kipindi Cha Magufuli kulikua na utaratibu wa kufanya usafi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi. Kwakweli ilikua ni changamoto sana kupata huduma katika hiyo siku, vijana wa halmashauri walikua wanasumbua sana endapo wataikuta biashara Yako imefunguliwa wakati wa kufanya usafi, Lakini mimi binafsi nilikua nafungua ofisi na nafanya biashara vizuri kabisa. Siku waliyonikamata niliwapa jibu jepesi tuu kwamba MIMI SIHITAJI KUAMBIWA NIFANYE USAFI MAANA BIASHARA YANGU INAHITAJI USAFI.

Pia nilikua nasumbuliwa sana na ushuru wa taka na kusafisha mitaro, lakini ilifikia kipindi nikawaambia ukweli kwamba siwezi kutoa tena Hela yangu kuwapa ninyi mpaka nije kuwaona mkisafisha mitaro pia gari la taka likipita walau mara mbili kwa wiki, kwa msimamo wangu huu tulipekeshana mpaka kwa mtendaji kata baadae polisi mwishowe ilibidi waniache tuu.

Kuna mahali kuna mashamba watu wanalima parachichi za kutosha lakini barabara ni changamoto, walichoamua ni kutafuta bulldozer na kuchonga barabara Yao. Hizi changamoto zingine inabidi sisi wenyewe ndio tuzitatue sio kila kitu ni lazima serikali. Ninachotaka kusema ni kwamba muda mwingine tuzitumie changamoto kama fursa pia kwetu wenyewe.

Mfano mwingine ni huo wa usafiri hapo Dar kwangu Mimi naona ni bonge la fursa lakini kwasasa shida ni mtaji tuu, pia walio na mitaji wanaangalia sehemu watakayopata Hela pasipo kuumia, kitu ambacho sio kweli hakuna mafanikio yasiyo na maumivu. We have to pay the price.

Mkuu unataka nani aje kubadilisha haya???

Tukikimbia wote na kwenda ughaibuni ndio tutakua tumemaliza tatizo???

Akili ya namna hii nimeiona hata kwenye familia yetu, Kuna shamba lilikua porini sana lakini Mimi nilishawahi kwenda na nikakaa miezi mitatu lakini Kuna siku akatokea mteja akalitaka kwa milioni 400, binafsi nilikataa shamba kuuzwa lakini wanandugu wengine wakataka liuzwe eti kwasababu lipo mbali alafu pia hakuna mtu anaweza kuliangalia kwa ukaribu😓😓😡💔. Nikawauliza swali nani kati yenu alishawahi kwenda kukaa kule shamba hata wiki moja tuu??? Hakuna alietoa jibu nikawaambia Mimi nimeshakaa miezi mitatu hivyo hiyo sababu yenu haina mashiko na pia Haina msingi wowote. Shamba lipo mpaka kesho kutwa.

Kutokana na huo mfano ndio maana viongozi wetu wanauza rasilimali zote kwasababu wanaona wananchi wake wako busy kulaumu na wengine wanawaza kukimbia nchi, hivyo na wenyewe wanaona ni Bora wachukue chochote kitu.

Halafu pia mimi naona kama kuna kukosa elimu au uelewa wa masuala Fulani Fulani, hao diaspora wengi wanaishia kwenye masuala ya ubalozini tuu pia wanafikiri kila jambo linafanyiwa maamuzi kwa siasa au Kila tatizo linatatuliwa kwa siasa tuu.

Ngoja niwaibie Siri hapa, sisi watu weusi tumejaa upumbavu, ujinga na ubinafsi.
Hao waarabu na wahindi ndio wanawapa hela wanasiasa wetu ili wakabadilishe sera na kuweka sera zinazowabeba wao wenyewe tuu.

Kitu ambacho wengi wenu hamkifahamu ni hiki. CCM inawaogopa sana matajiri na siku watanzania watakapoamua kutafuta fedha kwa nguvu zote ndio siku ambayo CCM itatoka madarakani kwa njia yoyote ile au CCM itarudi kuwa chama cha siasa, nje na hapo tutasubiri sana na kulalamika sana.

Hapa nafikiri umemezwa na demokrasia ya uongo uongo, HAKUNA MABADILIKO YATAKUJA KWA KUONGEA ONGEA AU KUPAZA SAUTI.

Shuleni, kazini, nyumbani na hata sehemu yoyote wanayoishi watu wanajitambua ni kwamba hakuna kitu kinaitwa demokrasia hivyo Mimi sisapoti hayo masuala ya kupaza sauti au kukaa kupiga kelele humu mitandaoni. Kama nikiona jambo halipo sawa kwa upande wangu namtafuta muhusika namuelewesha tusipoelewana bhasi mwenye nguvu atapishwa tuu.

Tanzania ni nzuri sana endapo watanzania wote tutawajibika kuijenga nchi yetu. Nilitoa mifano ya barabara kwasababu kwa Sheria za nchi yetu mtu binafsi hauruhusiwi kuchonga barabara ndio maana nikasema serikali iwajibike kwenye kuchonga barabara, lakini hata hivyo inawezekana kwa mtu binafsi kuchonga barabara pia. Baba yangu Mimi alishawahi kuchonga barabara japokuwa ilileta mgogoro na TANROAD lakini kulikua hakuna namna hatuwezi kusubiri TANROAD waje kwa wakati wanaoujua wao.

Tuache kulalamika, tuache kuwaza kukimbia changamoto alafu tutafute namna ya kuzitatua hizi changamoto zetu.
Nitarudi QUOTE yako ni ndefu na nataka kijibu hoja kwa hoja na kwa sasa bado nipo kusaka Tonge sijawa na utulivu

Baadae
 
ZirlovimovicZirkov masuala unayoandika na uhalisia ni vitu viwili tofauti na hata wewe unajua kuhusu hilo

Mimi kusema Bongo bahati mbaya haina maana kwamba siipendi Tanzania

Naipenda chi yangu hapa ndipo kitovu changu kilipozikwa
Lakini wakati mwingine nahisi ardhi yenyewe ya Tanzania hainipendi
Au labda mazingira ndiyo hayanipendi 😄

Kuhusu suala la usafi haimaanishi kwamba mimi niliyeandika ni mchafu au mafurahia uchafu
Lakini tusipindishe hoja suala la ustaarabu kwenye masoko bado ni changamoto
Kuna uhitaji wa usimamizi kutoka kwa mamlaka zinazohusika kwa sababu watu binafsi wanaonekana kulichukulia suala la usafi kama jambo lisilo na umuhimu

Hili la kusema tugomee kwenda kwenye masoko machafu we uliona wapiiii 🤣utagoma wewe peke yako trust me
Watu wameyazoea mazingira hayo na wengine hawajali kabisa
Mamlaka zinazohusika ndizo zinazopaswa kusimamia lakini hazijihusishi ipasavyo
Labda hata wao wenyewe wamezoea hali hiyo

Kipindi cha Rais Magufuli kulikuwa na nafuu kwenye suala la usafi
Na hapo ndipo unapaswa kuelewa kwamba ili usafi uwepo, hasa kwenye masoko wakati mwingine watu wanahitaji kushurutishwa na kusimamiwa
 
Mkuu Kuna watu wanaakili za kitumwa kabisa na Hadi Leo wanaishi nazo.

Mostly ya watanzania wanaotaka kwenda nje ni ili kuwaonyesha waliobaki bongo kwamba wao wameyapatia maisha. Lakini kiukweli mimi sijawahi kuona haja ya kuishi nje ya bongo, Tanzania Kuna Raha sana.

Nimeishi Namibia kwa muda mfupi at least mtu angesema anaondoka bongo bhasi ningemwambia aende Namibia coz ni jamii iliyostaarabika, maisha yao ni bomba sana. Lakini vijana wengi wanawaza kwenda U.S.A, UK, FRANCE, NORWAY, DENMARK ukiwafuatilia kwa ndani kabisa utaona Nia Yao ni kupata wepesi wa.maisha na pia wapate kupost mitandao. Nothing more.
Akili za kitumwa tu, wanahisi huko ulaya maisha ni mzuri na bwelele.
 
Kuna mahali kuna mashamba watu wanalima parachichi za kutosha lakini barabara ni changamoto, walichoamua ni kutafuta bulldozer na kuchonga barabara Yao. Hizi changamoto zingine inabidi sisi wenyewe ndio tuzitatue sio kila kitu ni lazima serikali. Ninachotaka kusema ni kwamba muda mwingine tuzitumie changamoto kama fursa pia kwetu wenyewe.

Mfano mwingine ni huo wa usafiri hapo Dar kwangu Mimi naona ni bonge la fursa lakini kwasasa shida ni mtaji tuu, pia walio na mitaji wanaangalia sehemu watakayopata Hela pasipo kuumia, kitu ambacho sio kweli hakuna mafanikio yasiyo na maumivu. We have to pay the price.

Mkuu unataka nani aje kubadilisha haya???

Tukikimbia wote na kwenda ughaibuni ndio tutakua tumemaliza tatizo???

Akili ya namna hii nimeiona hata kwenye familia yetu, Kuna shamba lilikua porini sana lakini Mimi nilishawahi kwenda na nikakaa miezi mitatu lakini Kuna siku akatokea mteja akalitaka kwa milioni 400, binafsi nilikataa shamba kuuzwa lakini wanandugu wengine wakataka liuzwe eti kwasababu lipo mbali alafu pia hakuna mtu anaweza kuliangalia kwa ukaribu😓😓😡💔. Nikawauliza swali nani kati yenu alishawahi kwenda kukaa kule shamba hata wiki moja tuu??? Hakuna alietoa jibu nikawaambia Mimi nimeshakaa miezi mitatu hivyo hiyo sababu yenu haina mashiko na pia Haina msingi wowote. Shamba lipo mpaka kesho kutwa.

Kutokana na huo mfano ndio maana viongozi wetu wanauza rasilimali zote kwasababu wanaona wananchi wake wako busy kulaumu na wengine wanawaza kukimbia nchi, hivyo na wenyewe wanaona ni Bora wachukue chochote kitu.

Halafu pia mimi naona kama kuna kukosa elimu au uelewa wa masuala Fulani Fulani, hao diaspora wengi wanaishia kwenye masuala ya ubalozini tuu pia wanafikiri kila jambo linafanyiwa maamuzi kwa siasa au Kila tatizo linatatuliwa kwa siasa tuu.

Ngoja niwaibie Siri hapa, sisi watu weusi tumejaa upumbavu, ujinga na ubinafsi.
Hao waarabu na wahindi ndio wanawapa hela wanasiasa wetu ili wakabadilishe sera na kuweka sera zinazowabeba wao wenyewe tuu.

Kitu ambacho wengi wenu hamkifahamu ni hiki. CCM inawaogopa sana matajiri na siku watanzania watakapoamua kutafuta fedha kwa nguvu zote ndio siku ambayo CCM itatoka madarakani kwa njia yoyote ile au CCM itarudi kuwa chama cha siasa, nje na hapo tutasubiri sana na kulalamika sana.

1. Mkuu unataka tutoe pesa zetu mfukoni tuchonge barabara?
Kodi tunazolipa zinakwenda wapi? Kuna mantiki gani ya kuongeza tozo kila uchao?

2. Umesema usafi ni bonge la fursa, ila shida ni mtaji
Sasa hapo huoni kwamba tayari kukosa mtaji kunaweza kuwa ni matokeo ya mazingira magumu ya kiuchumi?
Kwa nini watu wengi wakose mitaji? Hilo si suala la uchumi?

Au pengine kuna wenye mitaji lakini wanabanwa, huoni hapo kuna tatizo? Tutapenda vipi kuishi sehemu ya namna hii?

3. Hatuwezi kukimbia wote kwenda ughaibuni
Ughaibuni si kwa kila mtu
Ndiyo maana bado tupo hapa na tunaendelea kulalamika licha ya kutofurahishwa na mazingira tuliyopo period!

4. Kwa mfano wa shamba lenu, lakini huu mfano hauakisi uhalisia hata kidogo
Kwa nini milioni 400 ikae tu bila kuzungushwa?
Kama shamba halina matumizi yanayoingiza pesa.si lingekuwa limeuzwa ili hiyo hela izae nyingine?

5. Uongoooo ukweli ni kwamba
Viongozi wetu wanauza rasilimali kwa sababu ya ufisadi hakuna kingine Mapori na maeneo mengine wayagawe watu waone kama hawatayatumia kuzalisha na kujiletea maendeleo

6. Upo sahihi CCM inaogopa matajiri
Na ndiyo maana haitaki kuona Mtanzania yeyote akipiga hatua

Wanajua ni rahisi kwao kutawala na kuendesha watu maskini
Ndiyo maana hakuna juhudi za pamoja za kuhakikisha Watanzania wengi wanapiga hatua na walau wanaishi kwa kipato cha kati
Ni rahisi kumuongoza mtu mwenye njaa kwa sababu hata uwezo wake wa kufikiri na kufanya maamuzi unaweza kuathirika
CCM wanalijua hilo
Wanatembea beat njaa haimpendezi mtu
 
Hapa nafikiri umemezwa na demokrasia ya uongo uongo, HAKUNA MABADILIKO YATAKUJA KWA KUONGEA ONGEA AU KUPAZA SAUTI.

Shuleni, kazini, nyumbani na hata sehemu yoyote wanayoishi watu wanajitambua ni kwamba hakuna kitu kinaitwa demokrasia hivyo Mimi sisapoti hayo masuala ya kupaza sauti au kukaa kupiga kelele humu mitandaoni. Kama nikiona jambo halipo sawa kwa upande wangu namtafuta muhusika namuelewesha tusipoelewana bhasi mwenye nguvu atapishwa tuu.

Tanzania ni nzuri sana endapo watanzania wote tutawajibika kuijenga nchi yetu. Nilitoa mifano ya barabara kwasababu kwa Sheria za nchi yetu mtu binafsi hauruhusiwi kuchonga barabara ndio maana nikasema serikali iwajibike kwenye kuchonga barabara, lakini hata hivyo inawezekana kwa mtu binafsi kuchonga barabara pia. Baba yangu Mimi alishawahi kuchonga barabara japokuwa ilileta mgogoro na TANROAD lakini kulikua hakuna namna hatuwezi kusubiri TANROAD waje kwa wakati wanaoujua wao.

Tuache kulalamika, tuache kuwaza kukimbia changamoto alafu tutafute namna ya kuzitatua hizi changamoto zetu.
Naheshimu mtazamo wako wa kusema haukubaliani na mambo ya demokrasia.lakini heshimu sasa mtazamo wako nawe heshimu sisi tunaomini katika demokrasia

Serikali ndiyo imepewa mamlaka ya kuhakikisha inasimamia maendeleo ya wananchi
Sisi wapenda haki tuna wajibu wa kulalamika kukosoa na hata kudogosha ushenzi unaofanywa na serikali bila kulemba mwandiko

Wewe beza wino wa kalamu, lakini kalamu inaweza kuwa hatari kuliko ulimi Tambua hilo

Unasema hata mtu akikukwaza unamfuata live na kumwambia.
Sawa, na sisi njia yetu ni kuandika

Na ndiyo maana huku huku kuandika, kupiga kelele na kulalamika kunawanyima watu usingizi
Nitaandika mada kuhusu kalamu na nitakutag
Sitayasema hapa yale niliyotaka kusema, nitayaweka kwenye uzi

Nimeku-QUOTE sehemu tatu, nimeshindwa kuziunganisha kwa sababu nimeandika kwa kutumia simu na comment yako ilikuwa ndefu mnooo.

Asante kwa maoni na karibu tena.
 
Back
Top Bottom