Upo Bongo bahati mbaya?

Upo Bongo bahati mbaya?

Sio kweli unless unataka kukimbia mjadala.

Ni sahihi kabisa kusema kama UNAAKILI timamu huwezi kusubiri serikali ikufanyie jambo lenye maslahi kwako.

Mfano umepata eneo Lina dhahabu huko porini utasubiri serikali ikupelekee barabara???

Mfano umepata soko la uhakika la parachichi utasubiri serikali ipeleke miundombinu shambani kwako ndio ukafanye kilimo???

Sasa nasema kwamba ikiwa utasubiri serikali ifanye hayo kwa maslahi Yako bhasi wewe utakua haupo timamu kwa mtazamo wangu.

Umeuliza kuhusu wajibu wa serikali, wajibu wa serikali ni kukusanya Kodi na kufanya maendeleo kwa wananchi kupitia Kodi zao. Sasa je! Kama serikali inachelewesha maendeleo wewe utaendelea kusubiri???

Kuna comment Yako Moja nimeona unalaumu kwamba serikali haitoi ajira ndio maana watu wanadegree lakini ni bodaboda.

Naomba nikuulize swali hivi mtu anakwenda shule ili aajiriwe au anakwenda shule ili kujifunza mbinu za kupambana na hali ya maisha???

Hivi elimu ndio njia ya kuondoa umaskini au ni nyenzo ya kuondoa umaskini???

Naomba unijibu haya maswali kwanza.
Upo tayari kuitwa chawa au muuaji?
Humu jf usipoiponda serikali unageuka adui.
 
😂😂😂 Vyovyote watakavyonichukulia kwangu naona ni sahihi tuu, inategemea sana na AKILI ya mtu mwenyewe.

Ni kweli serikali yetu inamapungufu mengi lakini hata sisi wananchi tunamapungufu mengi na tena ni makubwa sana.

Mimi napenda kuweka hili wazi, serikali ya CCM inafanya mambo mengi sana fairly kupitia huu ujamaa. Lakini wengi sana wanaweza kunipinga Leo ila siku itakapoingia serikali itakayohubiri ubepari ule wa ukweli ukweli nakwambia watu watapoteana, watu watakufa njaa na fursa zitakua chache kweli kweli.

Kingine nilichokiona, vijana wengi hawana exposure ya ndani ya nchi na hata nje ya nchi. Kuna mtu sahivi hata ukimpa nauli atoke dar es salaam aende mkoani ataanza kuogopa kwamba atafikia wapi? Ataishije akifika huko, lakini mtu huyo huyo ndio mjuaji kweli kweli humu mitandaoni.
 
You are one of a kind.
Watz wachache sana wanaweza kukubali kwamba wana mapungufu. Wengi huamini wako perfect akiwemo mleta uzi.
Nakubali mkuu, yaani Kila kitu tunataka serikali ndio itufanyie.

Sawa ninkweli tunalipa Kodi, lakini je? Kodi yetu inatosha? Hata kama mafisadi wanakula Kodi zetu je! hatuna mbinu mbadala ya kupata matokeo tunayoyataka???

Yaani sisi ni wavivu wa kufikirisha akili zetu, alafu at the same time tunataka matokeo positive.

Huyu mleta maada namuona anaamini kwamba Kila kitu kinatatuliwa kisiasa kitu ambacho sio kweli kabisa.
 
Topic ni mimi tena na sio hoja iliyo mezani?
Nilikua sahihi kukatisha mjadala

Naona wewe ulikua na lengo tofauti na kujadili mada husika ila unataka kujadili mtazamo wangu
 
Ndio inajadiliwa topic na hata mtazamo wa mleta topic.

Refer reply ya FUNGUAMDOMO Kuna sehemu kanijudge kwamba nikubali kuitwa chawa au muuaji.

Namimi pia nikakubali kuitwa hivyo kutokana na mtazamo wa mtu anavyoniona.

Hivyo hapa inajadiliwa maada pamoja na mchangia maada.

Even though Kuna maswali nilikua nakuuliza lakini hukutaka kuyajibu, nilikua nakuuliza ili kujua misimamo yako pamoja na mitazamo Yako. Hivyo sioni shida yoyote kukujadili au kujua mtazamo wako.
 
Mleta mada ni nani?
Wewe unajadili tabia za watu au unajikita kwenye mada?
😊😊😊
Kwani maada inazumgumzia Nini??

Maada inazumgumzia kuhusu mtu amezaliwa bongo bahati mbaya??? Sasa Kuna ubaya Gani kumjadili huyu mtu au kujadili mtazamo wa huyu mtu???

Hold on and relax my dear, this is just a topic.
 
Okay fanya hivyo 👍
 
Ndio inajadiliwa topic na hata mtazamo wa mleta topic.

Refer reply ya FUNGUAMDOMO Kuna sehemu kanijudge kwamba nikubali kuitwa chawa au muuaji.

Namimi pia nikakubali kuitwa hivyo kutokana na mtazamo wa mtu anavyoniona.

Hivyo hapa inajadiliwa maada pamoja na mchangia maada.

Even though Kuna maswali nilikua nakuuliza lakini hukutaka kuyajibu, nilikua nakuuliza ili kujua misimamo yako pamoja na mitazamo Yako. Hivyo sioni shida yoyote kukujadili au kujua mtazamo wako.
Basi poa kila la kheri kwenye mjadala wa kunijadili lakini si unajua nilivyo eeh

Sijali kabisa kuhusu huli nilitaka tu mjikite kwenye mada hivyo tu
 
Okay tufunge mjadala kwa namna hii.

Wanaosema bongo bahati mbaya bhasi wafunge virago vyao wawahi viwanja huko ughaibuni.

Mimi nawashauri muwe mnapeana tips za namna ya kutoka bongo pia na fursa zilizopo huko ughaibuni.

Sisi tulioamua kubakia acha tupambane na wauaji wetu, lakini pia tupambane kuzitumia tunazoona ni fursa kwetu.

Mwisho kabisa tutapata majibu kama Tanzania inajengeka au inabomoka.

Nawasihi kwa upendo mkubwa sana, ninyi bongo bahati mbaya wahini viwanja huko kwenye nchi zilizostaarabika, zenye masoko masafi, ambako serikali inawatafutia watu kazi, ambako hakuna kutekana wala kuuwawa.

Nasema hivi kwasababu hii serikali dhalimu ya CCM haipendi watu wakiiongelea kwa ubaya, hivyo tunawaomba muondoke ndugu zetu ili tusipate machungu ya kusikia mtu ametekwa au ameuawa.

Sisi tutaendelea kuijenga nchi yetu hata kama Kuna watu wanafanya kazi ya kuibomoa.
 
Basi sawa hakuna tabu mkuu 😊
Uwe na wakati mwema
 
Back
Top Bottom